KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 27 July 2020

MPYA MPYA ZA LEO NI TUNDU LISSU KATUA DAR ES SALAAM MAELFU WAMPOKEA VILIO VYATAWALA VIFIJO NA MUNGU NI MKUBWA VYATAWALA NA WALIOPANGA KUMUUA NAO ROHO ZAO ZINAWASHUKA NA DHAMBI BADO INAWATEMBELEA KILA WAENDAKO DAMU YA MTU HAIENDI BURE

 Lissu akiwaambiwa wafuasi na wapenzi wa Chadema tulieni nimerudi sasa
 Oyaa washikaji ni mie sio wa udongo ni mimi Lissu
 Daaa nimefika siamini na hii Airport mpya twendeni kazini Lissu akinena
Na wale walijaribu kuniua sasa nimepona

RAIS JPM NA MAKAMU WA KWANAZA WA RAIS NA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR WALIPOFIKA NYUMBANI KWA MKAPA KUTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MJANE WA HAYATI MKAPA

Rais Magufuli akitia sahini kitabu cha maombelezo  na picha chini Rais Magufuli akiongea na mke wa Hayati Mkapa nyumbani Mama Anna Mkapa


 Rais Magufuli akiongea na wanafamilia
Rais wa Zanzibar akiongea na mama Anna Mkapa mke wa Hayati Mkapa pembeni mtoto wa Mkapa Nico Mkapa

Saturday 25 July 2020

TAARIFA YA POLISI LEO-POLISI LEO -OLE WAO WATAKAOFANYA MKUSANYIKO WOWOTE WA KUMPOKEA KIONGOZI WA CHADEMA TAREHE 27/07/2020

 Polisi nchi nzima haina taarifa ya mkusanyiko wa kumpokea kiongozi wa chadema july 27/7/20 kama wanavyoelezana mitandaoni,Polisi tunatoa wito kwa wale wanaoitisha mikusanyiko bila ya kufuata sheria kwa makusudi watambue watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
POLISI
Rungu la sheria litawafuata wale wote watakaokusanyika

STEVE NYERERE KAULI MBIU YAKE BAADA YA KUSHINDWA KURA ZA KUTEULIWA UBUNGE NI WAJUMBE SIO WATU HAYA MANENO YANAZIDI KUMWEKA SEHEMU ITAKAYOLETA VISA KATI YAKE NA WAJUMBE.STEVE NAYE ALITOA RUSHWA INABIDI AHOJIWE NA TAKUKURU



Kama Steve Nyerere sasa hivi anahitaji wataalamu wa Saikolojia ili waweze kumsaidia kutokana na mazungumzo yake na Pierre ukiangalia Body Language hayupo sawa.
Tatizo limeanzia Iringa akisema Wajumbe sio watu wanasema hawajala chakula unawanunulia yaani hiyo ni Rushwa Takukuru inabidi kumuoji hawape ushahidi kwa nini alitoa rushwa

MAMIA YA WAOMBELEZAJI WAZIDI KUTOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MZEE MKAPA PICHA ZA KUMBUKUMBU YA MZEE MKAPA KATIKA UHAI WAKE

 Mkapa akiwa na Mzee Mandela
Mkapa na Rais Kenyatta

Friday 24 July 2020

KAMPENI ZA RUSHWA TANZANIA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA KUTEUA WABUNGE KATIKA KURA ZA MAONI NI SAWA NA KUMPIGIA MBUZI GITAA

  CCM ni kazi kubwa sana kuweza kuzuia Rushwa.Watia nia wanatumia sana pesa kuwarubuni wajumbe au Wajumbe wanaomba Rushwa kusema kwamba Mkuu hatujala au mkuu unatuachaje?Au tupe chetu ukipata Ubunge uwezi kutukumbuka ndio chanzo cha kugawana Rushwa kinavyotokea.
Suala lingine ni Mameneja au watu wanaomwakilisha mtia nia kwa kuweza kuwashika wajumbe na huyo anayemwakilisha mgombea fulani yeye ndiye mshika pesa za huyo mtia nia na wajumbe kumfuata na kupata kitu kidogo hiyo ni kazi kuwakamata hawa watoa Rushwa.Nilikuwa na jamaa wakati wa uchaguzi wa kura za kumteua mgombea ubunge watu walikuwa wakitoka Dar es salaam kwenda mikoani kumfanyia kampeni mgombea aliyejipanga kupata Ubunge kupitia CCM sasa tujiulize kwa nini iwe hivyo?je huyo aliyechaguliwa kwa rushwa atakuwa kiongozi anayejali maslahi yako au maslahi yake?Kwa hali hiyo tunaomba Mwenyekiti wa taifa CCM na wajumbe wake wapitie hii hali na kuibadilisha CCM kuanzia mashinani ili kuboresha maendeleo ya chama.Kuna habari Mwenyekiti fulani anasaidia mjumbe fulani ili awe mbunge na wananchi wamekuja juu na kulalamika hiyo ndio hali tulionayo ya Rushwa kwa nini awe anasaidia mtu fulani?kazi ipo kwa kuweza kubadilisha CCM ambayo ina wajumbe Wapiga deal na kwa sababu uchaguzi kila baada ya miaka mitano basi tunasahau.Muhimu ni kwa chama kurekebisha haya matatizo yasije kutokea tena.
Tosamawe





HISTORIA YA MZEE MKAPA AMBAYE AMEFARIKI LEO KATIKA HOSPITAL MOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO 24-07-2020

Historia fupi ya Mzee Mkapa tuanz e na Urais.Alichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania kuanzia Mwaka 1995 mpaka mwaka 2005.
Kuzaliwa 1938 Ndanda Masasi kusini mwa Tanzania.
Alisoma shule ya msingi Masasi na kwenda Elimu ya sekondari katika shule ya Pugu alipokuwa akifundisha Mwalimu Julius K Nyerere ambaye alikujja kuwa rais wa kwanza wa Tanzania.
alienda Makerere na kumaliza degree ya kiingereza,pia alienda kwa masomo zaidi katika chuo cha Columbia na kupata Masters katika mambo ya diplomasia ya kimataifa.
Nyazifa alizowahi kufanya ni nyingi kama kuwa Waziri wa Sayansi na teknolojia na elimu ya juu.
Ameshika kazi katika balozi nje ya nchi Canada 1982 na Marekani mwaka 1983 mpaka 1984.
Alikuwa Waziri wa mambo ya nje kutoka 1977 mpaka mwaka 1980 na alirudishwa tena waizara ya mambo ya nje tena mwaka 1984 mpaka 1990.
Mungu aiweke roho ya marehemu Mzee Mkapa peponi Ameni.

MKAPA ATAKUMBUKWA KWA KUJENGA UWANJA WA TAIFA NI JITIHADA ZAKE KUINUA MICHEZO TANZANIA

Mzee mkapa ametuachia kumbukumbu kubwa sana kwa wanamichezo Tanzania

TAARIFA YA MSIBA WA RAIS MSTAAFU MH BENJAMINI WILLIAM MKAPA AMBAYE AMEFARIKI LEO KATIKA HOSPITAL JIJINI DAR ES SALAAM


 Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamini William Mkapa amefariki,Rais John Pombe Magufuliametangaza usiku huu kupitia Luninga ya taifa taarifa ya kufariki dunia kwa kiongozi huyo wa awamu ya tatu katika hospital moja jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwakwa matibabu  



 Mzee Benjamini Mkapa akiwa na Mama Mkapa
 Mzee Benjamin akiwa na Mkewe Mama Mkapa katika sherehe yao ya Jubilee

Sunday 19 July 2020

TOSAMAWE MATUKIO YA WIKI-CORONA VIRUS INAVYOSUMBUA DUNIA UCHUMI KUSHUKA NA NJAA KUWEPO MAELEZO YA WATAALAMU


 Kutokana na janga kubwa lililozikumba nchi nyingi duniani ni kwamba sasa Uchumi unazidi kudidimia asa kwa zile nchi zinazotegemea misaada kutoka nje yaani nchi za dunia ya tatu.
Tukija kwenye uchumi wa nchi zilizoendelea wao wana mbinu nyingi za kuwasaidia watu wao kwa kuwapa msaada wa mikopo na pesa za kujikimu sasa kwa nchi za dunia ya tatu watu wanajiendesha wenyewe.
Utalii unazidi kudidimia kwa kasi kwa sababu Watalii wananogopa kusafiri na Oda zote zilizokwisha lipwa kwa ajili ya Utalii kwa mfano serikali ya \uingereza imewaambia Mawakala wa utalii kuwarudishia wateja wao pesa.Hii ni pigo kbwa kwa utalii kwa nchi nyingi zikiwemo za Afrika Asia na Amerika kusini.
Utalii wa kutumia Meli umeisha punguza wafanyakazi 200,000 ili kwendana na wakati kukiwa hakuna watu wanao safiri kwa kutumia Meli.
Tuzidi kumwomba Mungu atuepushe na hili gonjwa linalosumbua dunia.


EU LEADER THREE DAYS MEETING DISCUSSIONS OVER MASSIVE POST CORONAVIRUS ECONOMIC RECOVERY PLAN

 Kikao kikiendelea katika bunge la jumuia ya Ulaya
 Mwenye nguo Nyekundu ndio Rais wa baraza la Jumuia ya Ulaya
Waziri mkuu wa Ujerumani na rais wa Ufaransa wakiteta jambo hawa ndio wananguvu katika jumuia ya Ulaya Kiuchumi nchi zao zipo vema.

MTIA NIA YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA ACT WAZALENDO NDUGU BERNARD MEMBE ARUDISHA FOMU ZAKE ZA KUWANIA URAIS KUPITIA ACT WAZALENDO KARIBU KATIKA MBIO ZA KUWANIA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA




Wednesday 15 July 2020

PICHA YA VIONGOZI WETU WAKIONGEA JAMBO HUKU MAMA SAMIA MAMA MWENYE BUSARA AKIWASIKILIZA KWA MAKINI KWELI MAMA UPO SAFI

Rais wa Zanzibar Rais mstaafu na Makamu wa Pili wa Rais wakiongea jambo katika mkutano mkuu wa CCM Dododma

MHESHIWA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ANAGOMBEA NAFASI YA KUTEULIWA ILI AWEZE KUWKILISHA WANANCHI WA WILAYA YA KIGAMBONI

 Hatimaye mkuu wa mkoa wa dar es salaam awania jimbo la Kiganboni,hatua nzuri lakini anapingana na maagizo ya mkuu wake wa kazi aliyesema wakuu w mikoa wilaya bado wananhitajika kuwa kwenye nafasi zao.Hatakaye kihuka masharti atamtoa kwenye nafasi yake ya ukuu wa mkoa au wilaya.Sasa Makonda atenguliwa ukuu wa mkoa na kuwekwa mwingine.Hatuna wasiwasi Makonda atakuwa wa kwanza kupata hiyo nafasi na kuwakilisha wananchi wa Kigamboni.

Tuesday 14 July 2020

MARARIS WASTAAFU MZEE WMWINYI,MZEE MKAPA,JAKAYA MRISHO KIKWETE WAKIWA DODOMA KWENYE KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA NA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI DODOMA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Marry Majaliwa,Mama Sitti Mwinyi,Rais Mstaafu
,Mke wa Mgombea Urais Zanzibar Mariam Nwinyi,Mgombea Urais Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi,Mama Salma Kikwete,Rais Mstaafu Alhaj Hassan Mwinyi,Mama Anna Mkapa,Rais Mstaafu Benjamin Mkapa
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS