KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 21 November 2011

KUPANDA NA KUSHUKA KWA MTOTO WA GADDAFI-SAIF AL ISLAM GADDAFI


Mtoto wa Gaddafi wakati wa utawala wa baba yake alitegemea kuwa Rais wa baada ya baba kustaafu lakini ndoto imekufa na sasa yupo mikononi wa sheria anangojea kesi kwenye mahakama ya kimataifa.

Hapa Saif akiwaogopa wananchi wenye hasira wakigongagonga ndege iliyomchukua ashuke ili wamwazibu maskini Saif kutoka ikulu na kujificha ficha lakini mwisho wake ndo huo

Kutoka ikulu Ac Feni magari ya kifahari sasa alikuwa akipigwa na jua la Jangwani kweli ujafa ujaumbika.Baba yake aliuwawa naye mungu kamunusuru.Tunangojea kesi yake ianze
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS