KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 29 January 2015

SI BUSARA KUWEKA MIGUU KWENYE VITI KAMA HIVI NDANI YA BASI NA KWENYE TRENI LAKINI WATU WANAWEKA MIGUU UKIMSEMA UNAWEZA UKAITIWA POLISI HAPO NI KIMYA

Mwingine kaweka miguu kwenye kitu huku amelala hakuna wa kumwambia toa miguu.

PICHA BORA YA WIKI TOSAMAWE



LONDON JIJI LINALOKODISHA BAISKELI KAMA VILE UKIWA TANGA WANAVYOKODISHA BAISKELI,HUU NI MPANGO WA BACKLAYS BANK UNAKODI UKIWA NA KADI YA BANK


 Hii ni sehemu ya kukodia unaweka kadi yako ya Bank kisha unachukua Baiskeli hakuna taabu

 Baiskeli zikiwa kwenye milingoti yake kwa ajili ya kukodishwa

HUDUMA YA CARE UINGEREZA YAPANDA,WATU WENGI HAWANA ELIMU YA JINSI YA KUWEKA AKIBA KWA AJILI YA UZEENI.HILI NI TATIZO KWA WALE WAGENI.

Ukiwa unaishi kuna msemo wa FAINALI UZEENI,hii watu wengi hawaijui ni janga kwa kizazi kinachotegemea ruzuku kutoka serikalini.Ukiwa mgeni umehamia Ulaya na kuishi unaona kila kitu ni rahisi lakini hawakumbuki kwamba kila kizuri kimeumbwa.
Asilimia 90 ya wahamiaji kutoka nchi za dunia ya tatu wanaishi kwa kutegemea serikali,watoto wanapewa Ruzuku na Wazazi hawafanyi kazi ya kujilimbikizia Pesa kwa ajili ya maisha ya Uzeeni.Wazawa wenyewe waliisha jiwekea kila kitu sawa.Muhimu kizazi cha kuhamia wataishia kuwa pale pale na baadaye wataijua Ulaya sio Mchezo ni kazi kazi.
Nawakilisha.

GAZETI,POLISI WANAVYOTESWA NA MAJAMBAZI,KAZI KWELI KWELI.


Thursday 8 January 2015

SAMAKI WA MTERA PELEGE AU WENZETU WA ZIWA NI SATO IRINGA



HALI NI ILE ILE AJALI KILA SIKU NI IRINGA WATU 4 WAMEFARIKI BAADA YA ROLI KUGONGANA NA BASI LEO


UGAIDI WAITINGISHA UFARANSA WATU 12 WAUWAWA NA VIJANA WATATU WAKIWA NA BUNDUKI ZA AK7


 Pichani ni vjijana hao wawili wanaoshukiwa kuwa wauaji na wamepora katika kituo cha mafuta.


Vijana hao wakiwa na bunduki walivamia ofisi za gazeti lililo chora katuni za kumkashifu Mtume SAW kitambo na kuwaua wahariri wa gazeti la JE SUIS CHALIE kumi ofisini na kuwaua Polisi nje ya Ofisi Wawili.Viongozi mbalimbali wamelaani tukio hilo na wapo Pamoja na Ufaransa yenye Waislamu wengi Ulaya.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS