KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 25 April 2015

AJALI ZITAENDELEA KUTOKEA MPAKA MADEREVA WOTE WATAKAPO FUNDISHWA SOMO LA BUSARA TU MAANA BILA BUSARA HAKUNA KITU

 Hii ni hatari lakini watu wanaona ni vichekesho maana hujui kama utafika safari yako
Hapa dereva anawapita wenzake kwa kuonyesha uwezo wa injini ya basi kwamba ni kubwa ndio tatizo
Tatizo hapa ni taa ya kumruhusu huyu apite maana yake anaonyesha naye gari lake ni injini kubwa kwa hiyo ajali zitaendelea tu.Picha kwa Hisani ya Michuzi.

MAGAZETI YETU



Tuesday 21 April 2015

KAHAWA AU CHAI JIONI KARIBUNI


OBAMA AKILA ICE CREAM JOTO KALI


CHOO CHAKO KINAWEZA KUENDESHA BASI ILA INABIDI WATU WATANO ILI KUWEZA KULIENDESHA ILI BASI KWA MASAA 8 NA ZAIDI ONA PICHA ZA MFANO JINSI WATU WANAVYOWEZA KUTOA AJA ZAO NA KULIENDESHA ILO BASI




UINGEREZA UCHAGUZI NI SERIKALI YA MSETO TU CONSERVATIVE NA LABOUR WAO WANAKABANA KOO KWA KOO ILI WAWEZE KUSHINDA NI LAZIMA WAUNGANE NA VYAMA VINGINE KWA HIYO NI LABOUR NA SNP NDIO WANAONEKANA WATAUNGANA ILI WAWATOE CONSERVATIVE



Waziri mkuu wa Scotland Nicola Sturgeon na Ed Milliband kwenye Debate akimweleza Ed ni lazima waungane ili kuwatoa Tories lakini Ed alikataa na kusema haiwezekani kwa sababu SNP wanadai vitu vingi watasababisha serikali iwe na madeni.

UINGEREZA UCHAGUZI KAMPENI ZINAENDELEA CONSERVATIVE NA LABOUR WANAKABANA KOO KWA KOO,INGAWAJE WATAALAMU WANASEMA LABOUR WATAINGIA KWENYE NYUMBA NAMBA 10 KWA KUUNDA SERIKALI YA MUUNGANO NA SNP YA SCOTLAND

 Waziri mkuu anayegombania nafasi yake ambaye sasa inaonekana hatatoka kwenye nyumba namba 10 ila bado ana nguvu Uingereza ya Kusini
 Naye Waziri mkuu wa zamani Uingereza John major naye anaipigia kampeni chama chake cha Conservative.
 Ed Milliband yeye ataingia madarakani kwa kuunda serikali ya Mseto na SNP


Saturday 18 April 2015

MTU WA FEDHA NI SANAMU YA MADINI YA FEDHA ILIYOTENGEZWA NA WAHUNZI WANAFUNZI

 Mtu akionyesha kazi kazi ndio jawabu la maendeleo duniani hakuna kitu kingine

YANGA YANGA YATOKA 1 KWA 1 NA ETOILE DU SAHEL,HATARI KWA YANGA MAANA HAO JAMAA WANA MBINU CHAFU SANA ILI WAWEZE KUSHINDA


MCHEZO UMEKWISHA.
Dk 90, Baghdad analambwa kadi ya njano baada ya kujiangusha.

Dk 89 Kom analambwa kadi ya njano kwa kumchezea madhambi Niyonzima
Dk 83, Tambwe anaifungia Yanga, lakini mwamuzi wa akiba anasema alikuwa ameotea

Dk 81, Yanga wanamtoa Juma Abdul aliyeumia na nafasi yake inachukuliwa na Rajab Zahir.

Dk 80, Niyonzima anawatoka mabeki na kupiga shuti kali lakini kipa analala na kudaka kwa ustadi mkubwa

MAGAZETI YETU LEO AJALI AJALI



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS