KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 26 February 2015

TANZANIA SHERIA ZINAVYOWAUMBUA WATU WASIOJUA SHERIA CHENGE MWANASHERIA WAWEKA PINGAMIZI-TATIZO NI MAADILI YA VIONGOZI NCHINI HAKUNA,WATU WATAONGEA MWISHO WATACHOKA


Dar es Salaam.
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge ameibuliwa tuhuma nzito kwenye Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kudaiwa kuwa aliishawishi kampuni ya Independent Power Solution Limited (IPTL) kuingia mkataba na Tanesco na baadaye kuwa mshauri wa kampuni hiyo binafsi iliyomuingizia Sh1.6 bilioni zinazohusishwa na sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow.

JIHAD JOHN NA TANZANIA--WAMEREKANI WAMEISHA MTAMBUA JIHAD JOHN ANAYEKATA VICHWA WATU KWENYE ISIS ALIISHA PANGA KUJA TANZANIA KUNA HABARI ZAKE Friends identified the man who beheaded Western hostages as Mohammed Emwazi, born in Kuwait.

The world knows him as “Jihadi John,” the masked man with a British accent who has beheaded several hostages held by the Islamic State and who taunts audiences in videos circulated widely online

 Abu Talib and Muhammad ibn Muazzam, both in their mid-20s, and a German friend travelling with them, allege they were threatened with beatings by members of Tanzania's security forces. After being refused entry to Tanzania they were returned to the Netherlands, where they say they were questioned by MI5 agents who accused them of having links to Islamic extremists. 

 The terrorist apparently studied computer sciences at Westminister University. The Washington Post describes Emwazi as Kuwaiti born and in his mid-20s. He was apparently raised in a middle class neighbourhood in north London and occasionally prayed at a mosque in Greenwich. Friends told the Post that Emwazi began to radicalise after a planned safari to Tanzania following his graduation from Westminster.
Emwazi and two friends were arrested in Dar-es-Salaam in May 2009 and then deported. He then flew to Amsterdam where he apparently claimed an officer from MI5 accused him of trying to join al-Shabaab.
One of Emwazi’s close friends who identified him told the Post

Wednesday 25 February 2015

ASKARI WA PRO RUSSIAN AKICHEZA MPIRA NA BUNDUKI MKONONI HAPO UKIMPITA TU ANAFYATUA RISASI,KAZI YA JESHI HIYO.

Baada ya kusitisha mapigana na UKraine askari wa Pro Russian akicheza mpira na siraha mkononi.Sasa hapo Amani hakuna vita inaweza kuanza tena.

SIASA ZA UINGEREZA CHAMA CHA GREEN PARTY CHALIZWA NA BBC KWA KIONGOZI WAKE KUSHINDWA KUJIBU MASWALI

 Kiongozi wa chama cha GREEN party aomba radhi kwa kushindwa kujibu maswali ya Sera za chama chake yeye ajitetea alikuwa akiumwa Mafua.Ni Natalie Bennatt pichani.

YA MOTO BAND NDANI YA UBALOZI WA TANZANIA LONDON UINGEREZA


 Balozi akiongea na wanabendi hao ofisini kwake jijini London.Watia fora kwenye Onyesho lao kwa Waafrika na Wazungu.Hongereni.

WABUNGE WAKISHINDWA HOJA NI MAKONDE ILO NI BUNGE LA UTURUKI WAPEANA KISAGO

 WABUNGE WA UTURUKI WAKIPIGANA MAKONDE KUNG-FU KAZI YA SIASA
 Wabunge wakijadiliana ikishindikana basi ni ngumi tu,huyo ni siasa za vyama vingi.Ni kawaida kwa baadhi ya Mabunge Wabunge wake kupigana

Friday 20 February 2015

MTUHUMIWA WA UGAIDI KIJANA WA MIAKA 19 MKONGO MWINGEREZA ALIYEBADILI DINI KUTOKA YEHOVA WITNESS NA KUWA MUISLAM AKAJIUNGA NA KUNDI LA MUHAJIROUN ANANGOJEA HUKUMU TAREHE 20 MARCH MWAKA HUU



 Kijana Brusthom Ziamani akiwa jijini London alipokamatwa na Polisi akijiandaa kumuua askari wa kikosi cha nchi kavu.
 Hapa akishiriki maandamano yaliongozwa na Chodri
Ushaidi wa kisu.

CHELSEA WABAGUZI WAANZA KUPEWA ADHABU.UBAGUZI WA RANGI KWA ULAYA NI KAZI KUBWA KUUSHINDA HIZO PICHA NI ZA TUKIO LA MWAFRIKA MFARANSA KUSUKUMWA NJE YA TRENI NA MASHABIKI WA CHELSEA JIJINI PARIS


 Jamaa aliingia kasukumwa nje na mashabiki wa Chelsea

 Hawa ndio wahusika watatu wameisha fungiwa wasiende kwenye mechi zote za mpira hapa Uingereza na Ulaya.Utashangaa kwa nini wanakatazwa?Majina yao na anuani zao na picha zao zipo kwenye rekodi za Club na chama cha Mpira.
 Wameisha mjua huyo Uingereza wakiisha kuona kwenye CCTV ushaidi tosha
 Huyu kasimamishwa kazi mpaka uchunguzi huishe.




MAGAZETI YETU LEO NA MAKONDA MKUU WA WILAYA



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS