Monday 30 November 2015
Tuesday 29 September 2015
Thursday 17 September 2015
Tuesday 15 September 2015
Sunday 6 September 2015
Tuesday 25 August 2015
Tuesday 11 August 2015
Wednesday 29 July 2015
Saturday 25 July 2015
BUSH-GEORGE W BUSH ALIYEKUWA RAIS WA MAREKANI SIKU YA 9/11 BAADA YA SAA MOJA YA SHAMBULIO LA KIGAIDI,PICHA ZINAONYESHA JINSI GANI ALIVYOKUWA NA WASIWASI SIO WASIWASI NI ANAJIULIZA KWANINI,KWANINI WAMETUFANYIA HIVYO SISI WATEMI DU SASA SUBIRINI KIPIGO
Bush akiwa hana furaha ni majonzi,akiwa na makamu wake Dick Cheney na Condaleeza Rice kikaoni wakijadili jinsi ya kujibu mashambulizi.
Cheney akiwa na huzuni Kwanini?Bush akiwa anauliza hawa ni kina nani?
Suburini kipigo ikawa Afghanistan kipigo
Kiusalama viongozi wakuu waliingia wote kwenye ndege ikiwa ni usalama
Thursday 23 July 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)