KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 25 May 2013

JESHI L WANANCHI LAANZA KAZI MTWARA WATU WAPOA FUJO ZAISHA.POLISI WASHINDWA KAZI.HAKUNA MJADALA HAPO



ROBBEN AKIMPA POLE KOCHA WA BORUSSIA DORTMOND KLOPP BAADA YA KUPATA KIPIGO CHA MABAO 2-1


BAYERN MUNICH MABINGWA ULAYA WA KUWAFUNGA WENZAO WAJERUMANI BORRUSSIA DORTMOND







UMOJA WA AFRIKA MAFANIKIO NA MATATIZO YA AFRIKA

UMOJA WA AFRIKA MAFANIKIO NA MATATIZO YA AFRIKA.
Nina machache tu ya kusema,Afrika tunamafanikio mengi lakini MATATIZO ni mengi ingawaje ukiwauliza MARAIS wetu watakuambia kwa Majigambo tunamafanikio mengi.
Kila jambo linauzuri wake na ubaya wake.
MATATIZO ni NJAA na VITA.
Kama tunashindwa kuzalisha Chakula chetu tunategemea Msaada kutoka Ulaya kweli tuna UMOJA WA KUJIVUNIA?
Vita kama Mali na Somalia tunahitaji Msaada kutoka Ulaya,sisi hatuna mipango yetu ya Ulinzi?Ukiangalia Nchi ya Mali mpaka WaFaransa wakasaidia Rais wa Mali anafanya nini?
Asanteni.
 
 

UMOJA WA AFRIKA WATIMIZA MIAKA 50 TUNASHUKURU MUNGU KWA KUANZISHWA KWA UMOJA WA AFRIKA AMBAO BADO UNATEGEMEA MISAADA KUTOKA NCHI ZA MAGHARIBI

Marais wa Afrika wakiwa mkutanoni Addis Ababa kwenye sherehe za miaka 50.


 Baadhi ya marais wastaafu wlikuwa wanaendesha umoja wa Afrika wakiingia kwenye ukumbi wa mikutano.

WAANZILISHI WA AU MWAKA 1963 RAIS WA GHANA ENZI HIZO HAYATI KWAME NKRUMAH NA MFALME WA ETHIOPIA ENZI HIZO SELASSIE WALIKUWA NA MPANGO MZURI KWA AJILI YA AFRIKA




Thursday 16 May 2013

DAVID BECKHAM ANASTAAFU KUCHEZA MPIRA WA KULIPWA INGAWAJE ANAUWEZO WA KUCHEZA SASA ANAACHI NGAZI.



 Leo akitangaza kustaafu kucheza mpir wa kulipwa David anawashukuru watu wote waliomsaidia kufikia kiwango chake hadi sasa.



MAFUTA YALITUMIKA KUKAANGA CHIPS YANAVYOTUMIKA TENA KAMA DIESEL KWENYE MAGARI.JE WAJUA?MAFUTA HAYO YALIKWISHA TUMIKA YANATUMIKA PIA KWA KUTENGENEZEA VYAKULA TENA VYA MIFUGO.HAKUNA KITU CHA KUTUPA TENA.

Leo nimekutna na Kampuni inayofuatilia na kununua Mafuta Machafu yaliyotumika kukaangia Chips,maandazi na Samaki.Picha hii juu inaonyesha mafuta yaliyotumika yakiwa kwenye Magaloni baada ya kutolewa kwenye vikaangio. 

Gari linalokusanya hayo mafuta kila galoni ni sh 2600.

Gari likiendelea kupakia mafuta hayo kutoka kwenye Hotel inayohudumia watu 400 kwa siku kwa Vyakula mbalimbali.



Hii ni sehemu ya kuhifadhi mafuta yaliyotumika kuna tanki la kuhifadhi lita 700.

KUSOMA NI HAKI YA KILA MTU DUNIANI,NILIKUTAN NA BIBI KWENYE BASI AKAWA ANASOMA KWA NGUVU HABARI KUTOKA KWENYE GAZETI LINALOTOLEWA BURE KWENYE BASI.KITU KILICHONIFURAHISHA ALIKUWA AKISOMA KAMA WATOTO WA DARASA LA KWANZA.NILIMPENDA SANA ANAONYESHA UWEZO WAKE ULIVYOKUWA.

ALIKUWA MAKINI AKISOMA KWA KUFUATA MAANDISHI KWA KIDOLE ASIKOSEE.

USHOGA NAO UNAANZA KUINGIA ZAMBIA

Polisi nchini Zambi inawashikilia wanaume wawili wanaosika na Ushoga yaani wanaenda kinyume na maumbile kwa kujamiana wanaume kwa wanaume.Ni kosa kwa wanaume kuishi kinyumba Mume na mke Zambia.Watuhumiwa hao wana umri wa miaka 21 wote.
Chanzo CNN Africa.

Saturday 11 May 2013

MAUA MAUA LEO PAMBO LA BLOG



BRITAIN'S GOT TALENT LEO WAPATA WATANZANIA MAMA NA MWANA WANAJIHITA TANZIE SHAKERS WAJITAMBULISHA NI KUTOKA TANZANIA.

  Mama na Mwana wakiwa katika mashindano ya kutafuta mwenye kipaji wakiojiwa na Mtangazaji wa ITV baada kupita hatua ya kwanza.
 
Akipokea kura kutoka kwa majaji.Majina yao sijapata nawatafuta,ila wanajihita TANZIE shakers.


Mama hapo akimchezea Jaji Simon kiuno kata,iliwafurahisha sana watazamaji walishangilia sana.
 Jaji Simon aliwakubali
Jaji Elisha naye aliwakubali

Monday 6 May 2013

UJUMBE USALAMA WA NCHI YETU UPO HATARINI-DALILI YA MVUA NI MAWINGU

                                                                      MAONI-
Ninapenda kuongelea suala la Ulinzi kwa Taifa letu ambalo tunajivunia Amani lakini Nchi yetu haina Amani kama tunavyojivunia sisi wananchi.Ukianzia na mauaji ya watumishi wa Makanisa na Misikitini.
Nchi yetu iliishapewa taarifa na Wamarekani ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa Nchi kushambuliwa na Magaidi.
Ujumbe huo nafikiri ulikuwa na umuhimu kwa Taifa letu kuwa makini na nyendo za baadhi au vikundi vya watu wanaonekana kuwa tishio kwa Taifa letu.
             Tuanze kuangalia kazi ya USALAMA WA TAIFA nini?kuna siku wabunge waliuliza kazi ya usalama wa Taifa ikawa kama ni kuingilia au kutafuta udadisi husio na maana.Sasa imefika wakati wa kufuatilia nyendo za Watu kwa kuangalia Mitandao yaani Mawasiliano yote yanasaidia kueneza na kujaribu kufanya kazi za kigaidi.
UJUMBE HUU KWA USALAMA WA NCHI YETU.

SALAMU ZA RAIS KIKWETE KWA WAANGA WA BOMU ARUSHA







GAZETI ILI LA THE AFRICAN LINASEMA TANZANIA LAND SOLD CHEAP TO FOREIGNERS HAAAAA


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS