KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 12 July 2020

CHADEMA NA MBIO ZA KUGOMBEA URAIS 2020 AMEANZA KIJANA LAZARO NYARANDU TUNAMUOMBEA WE KIONGOZI BORA

Kampeni za kuwania urais zimeanza kwa kasi ikiwa ni njia mojawapo ya kutafuta kazi kubwa katika nchi yetu ya Tanzania.Kampeni ni kitu muhimu na pia mipango ya chama kuweza kupata nafasi ya kupata urais sio kusindikiza tu.
Tunafurahi kuona vijana wanajitokeza kugombea nafasi kubwa kama ya urais.Ila tunawasiwasi na watia nia ya urais wanajitokeza wengi lakini hawapigi kampeni nchi nzima na wanatokea kwenye karatasi za kupigia kura picha zipo kumi waliofanya kampeni nchi zima wapo watatu tu.Tunaomba Tume ya uchaguzi kuweka masharti mtu hasiyeweza kupiga kampeni mikoa yote watamtoa kwenye karatasi za kupigia kura ili tuwe na watu waliotia nia na kuweza kuwafikia wananchi wengi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS