KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 27 July 2023

DEBATE YA BANDARI-ANGALIZO KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA TV NA RADIO KWA PAMOJA ZINATAKIWA KUWEKA DEBATE ILI WANANCHI WASIKIE SIO KILA MTU AONGEE KIVYAKE

Ikiwa mimi ni mzalendo ninaomba tuwe na Debate ya mkataba wa DP world na Sreikali yetu Sisi wananchi tunakosa habari nzuri HII NI KAZI YA TV NA RADIO KUWEKA DEBATE KWA WALE WOTE WAHUSIKA WA SERIKALI NA WANAOPINGA KILA MTU AJE NA HOJA ZAKE Nchi yetu inahitaji malumbano ya hoja ili kuwa sawa na matatizo ya mikataba ya kijinga inayoingizwa kama ya Wakolni na Chifu wetu Mangungo. VYOMBO VYA HABARI MUWE WABUNIFU WA KUTULETEA HABARI SIO HABARI ZA MFUGA PAKA NA MAFISI KAZI KWENU WANA HABARI KUTUSAIDIA SISI WANANCHI SIO VYAMA VYA SIASA VINAVYOKANUSHA HABARI KILOA SIKU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS