KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 7 November 2022

NDEGE INAPOANGUKA NI LAZIMA UCHUNGUZI UFANYIKE WA KINA ILI KUONDOA WASIWASI KWA NCHI ZINGINE KUAMINI TUPO VIZURI KWENYE SUALA LA USAFIRI WA ANGA.NA HABARI KUBWA DUNIA YOTE NI AJALI YA NDEGE ZIWA VICTORIA TANZANIA YAUA WATU 19,SWALI TANGIA JANA MPAKA SASA WATAALAMU WANANWEZA KUTUPA CHANZO CHA AJALI IKIWA NI TATIZO LA KIUFUNDI KWENYE NDEGE AU WAONGOZA NDEGE UWANJANI KWA MAANA HALI YA HEWA ILIKUWAJE JE WALISHINDWA KUMRUDISHA RUBANI ARUDI ALIKOTOKA AU AENDE MWANZA TUNAHITAJI MAJIBU NA WAHUSIKA WAKAMATWE WALIOSABABISHA AJALI

Tukiwa kwenye Ndege uwa tunamkabidhi Mungu uhai wetu na uwa tunawategemea wanaotuongoza kusafiri ikiwa ni Rubani na waongoza ndege wa liopo Uwanjani kwenye hali ya hewa.Swali linakuja je kama mmowapo muongoza ndege wa chini akitoa taarifa za uongo au alilewa nini kitatokea au hali ya hewa ikiwa ilirekodiwa vibaya nini kitatokea nfahamu ni Ajali Niliwahi kutembelea Kituo cha hali ya hewa pale uwanja wa ndege Dar es salaam na kukutana na wanavyofanya kazi na kuwauliza maswali na wakaniambia wanakuwa makini sana wakati KLM inapokuja kwa sababu Marubani wanawauliza maswali mengi ili wawe na uahakika wa kutua salama. Sasa sisi watu wa Precision Air tunayajua hayo au Waziri wetu Mkuu anayafahamu hayo. Embu Wananchi tujue chanzo cha ajali sio hali ya hewa ilikuwa mbaya na hizi sallamu zimfukie Mkuu wa Mkoa Bwana Chalamila afuatilie ili skata na kujua ni ni kwa kuwauliza wale waongoza ndege uwanjani pale. Nategemea tutapata ufumbuzi wa kuzuia tena ajali zisitokee

AJALI YA NDEGE TANZANIA ZIWA VICTORIA -YAHITAJI UCHUNGUZI WA HALI YA JUU ILI KUZUIA TENA AJALI HIZO ZISITOKEE KWA WANANCHI WENGI WANANOTUMIA USAFIRI WA ANGA

Ninapenda kutoa salamu za rambirambi kwa Rais wetu na wananchi wote kwa Ujumla,Nikiwa niliwahi kusafiri na ndege ya shirika hilo mara mbili na familia yangu kwa kweli tunapoa pole kwa wafiwa na Mungu hawape nguvu katika kipindi hiki cha majonzi. NINA SWALI KUBWA KUHUSIANA NA HII AJALI KWANZA KWA WAZIRI WETU MKUU NA SERIKALI Ninmeona na kusikia Waziri mkuu akisema ndege ilivyoanguka ni kwamba anafahamu kwamba uelekeo wa ndege sio ule unaotumika kama kawaida kwa hiyo kuna makosa Sasa je Waziri mkuu kwa kutumia madaraka yake ameweza kuweka Wachunguzi wachunguze ajali kwa nini imetokea na hali ya hewa ilikuwa mbaya je hao watu wanaongoza Ndege wa kiwanjani walimruhusu Rubani kushuka chini na wakati hali ya hewa ilikuwa mbaya Au je ilikuwa ni matatizo ya Ufundi kwenye ndege kwa mantiki hiyo tulitakiwa kuona hao wahusika wote wanahisaidia Polisi kwa Uchunguzi Naomba tupewe maelezo zaidi ili waliokosea wapewe Adhabu yao kuanzia Shirika la Ndege waongoza ndege uwanjani sio kusikitika na kesho tena tukawa na Ajali ya Kizembe tena
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS