KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 26 May 2014

PAPA FRANCIS AKIWA JERUSALEM UPANDE WA PALESTINA ALIENDESHA MISA JUMAPILI AKIWA NA RAIS WA PALESTINA MAHAMOUD ABBAS AMBAYE ALIKUWA MIONGONI WA WATU WALIOHUDHULIA NA KUPEANA MKONO WA AMANI NA PAPA KISHA RAIS WA WAPELESTINA ALIONDOKA KWENDA NAYE KUSALI ENEO HILO KABLA YA ADHANA


Papa alienda kuomba kwenye ukuta unaotenganisha Wapelestina na Wayahudi
 Misa ya wazi iliendeshwa na Papa
 Watu wa palestina wakimwenyesha Papa ukuta uliojengwa na Waisrael upande wa Palestina

Papa akiondoka kwenye viwanja ambapo alifanya Ibada Jumapili na kasha kwenda Israel upande wa pili kwa kuendelea na ziara yake inayoisha Leo Jumatatu.

PAPA ZIARANI MASHARIKI YA KATI AKIANZIA JORDAN,PALESTINA JERUSALEM NA ISRAEL ATAHITIMISHA LEO JUMATATU

 Mfalme wa Jordan akiendesha kigari kumwonyesha Papa sehemu watakapo ongea Amani ya Mashariki ya kati
 Mtu wa Watu Papa akipokelewa kwa furaha na rais wa Palestina Mahamoud Abbasi
 Akiyagusa maji ya mto Jordan yesu Kristu alibatizwa katika Mto Jordan
Akiwapungia mkono wananchi wa Palestina ilikuwa furaha haijawai kutokea kwa Papa.

REAL MADRID VS ATLETICO MADRID MAGOLI YALIVYOKUWA YA KUTATANISHA

 Bale akifunga goli kwa kichwa baada ya winga Di Maria kuwatoka mabeki na kupiga mpira langoni.
 Dakika ya 88  Sergio Ramos anasawazisha goli ni ajabu kwa mpira wa miguu dakika 90 ndio mpira umeisha kabla ya hapo hakuna kitu.

 Kocha wa Real Madrid Carlo ancellotti akishangilia ushindi kwa nguvu zote ulaji ulaji Chelsea walimkataa.
Christiano Ronaldo anafunga kwa penati kwa kumalizia 4-1

REAL MADRID VS ATLETICO MADRID FAINALI KOMBE LA MABINGWA ULAYA MCHEZO ULIOKUWA WA KUFURAHISHA NA JINSI REAL MADRID WALIVYORUDISHA GOLI DAKIKA YA 88 KABALA MPIRA KWISHA



Goli la kwanza kwa Atletico Madrid lilivyokuwa kuanzia kipa alipotoka na mpira kuwa mbele yake

WATOTO NDIO TAIFA LA KESHO SIO VIJANA,WATOTO WANATAYARISHWA KUJA BAADAYE KUWA VIONGOZI,TANGIA NYUMBANI MTOTO ANAPOANZA KUWA NA MWEZI NA MIEZI UNAANZA KUMWANDAA

LEO NINAANZA NA KAZI YA KUWAFUNDISHA WATOTO WAKIWA NA UMRI MDOGO
Ili tuwe na maendeleo kama ya Michezo au wataalamu wowote ni lazima tuanza na watoto,ukisema vijana basi tunakuwa tumeruka hatua moja mbele ni kuirudisha ni kuzalisha jamii inayopinda pinda pasipo kufuata mpangilio maalum.
Ukiangalia jamii inavyokuwa na matatizo ni kuwasahau watoto kwa kusema hawajui lolote,kutokana na kuwa na mfumo wa kuwaweka watoto wetu bado ni wadogo hawajui lolote,hata chakula tunaanza kula wakubwa kwa NYAMA kama vipo vipande kumi basi Baba au Mama atakula hata vipande Saba.
Muhimu ni vizuri kuwa na utaratibu wa kuwaandaa watoto kwa kila kitu kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu.
TOSAMAWE.

MAGAZETI YETU LEO





Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS