KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 21 July 2013

MUUNGANO ULIISHA KWISHA KUFA SIKU NYINGI KISHERIA,ILA KWA SABABU TULIO WENGI HATUJUI SHERIA AU KATIBA BASI MUUNGANO UPO.NI KOSA KUONGOZA KWA KUTOKUFUATA KATIBA YA MUUNGANO MUHIMU KUWA NA SERIKALI TATU.

Tundu Lissu Akizungumza katika Kipindi cha Makutano na Fina Mango
Mbunge wa Singida Mashariki, Mheshimiwa Tundu Lissu amesema Muungano wa Tanzania umekufa kikatiba. Lissu aliyasema hayo wakati alipoulizwa msimamo wake juu ya rasimu ya katiba na muundo wa serikali katika kipindi cha Makutano kinachoendeshwa na Fina Mango, Magic FM.

Akijibu swali hilo alitolea mfano wa wakati wa maadhimisho ya siku ya mapinduzi ya Zanzibar ambayo alisema anaekagua gwaride na kupigiwa mizinga 21 anatakiwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ndiye amiri jeshi mkuu lakini kwa sasa katika maadhimisho hayo rais wa Zanzibar ndiye anayefanyiwa yote hayo kutokana na katiba ya sasa ya Zanzibar kuitambua Zanzibar kama nchi.

Alisema "Katiba ya sasa ya Zanzibar inasema rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar, ni kiongozi wa serikali, ni Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Idara Maalum. Kimsingi sababu kubwa ya Muungano ilikuwa ni  masuala ya ulinzi na usalama na Zanzibar imeyaondoa kwenye Muungano" na kumalizia kusema kuwa katiba ya sasa ya Zanzibar ya leo ni waraka wa Uhuru.

Lissu alimalizia kwa kusema namna pekee ya kubaki na Muungano ni kuwa na serikali tatu huku akiwakosoa wanaosema mapendekezo ya tume ya katiba kuwa serikali tatu ni gharama wanakosea kwani hakutakuwa na gharama kubwa kwa kusema kutakuwa na jumla ya wabunge 314  tu tofauti na sasa ambapo kuna jumla ya wabunge 438 tu.

Hata hivyo alipoulizwa kama CHADEMA inaona kuna haja kuwepo Muungano alisema ipo na kuongezea "Ndoa ya kulazimishana hapana, kama upande mmoja unataka out is out". Lissu alimalizia kwa kusema wananchi wa kawaida wa Zanzibar hawautaki Muungano kwani hawaoni faida yoyote. 


 

Premier League - Paper Round: Time's up at Old Trafford for Rooney

Wayne Rooney to leave Manchester United for certain; United are ready to make Cesc Fabregas their joint top-paid star after inceasing their bid for the Barcelona midfielder; Michael Laudrup could be on his way to Barcelona - here are today's main transfer stories from today's papers.

Saturday 20 July 2013

JE ?WAJUA SIMU ZINATUMIKA KAMA KIOO CHA KUJIANGALIA NYUMBANI NI SIMU ZENYE KAMERA MBELE NA NYUMA

Sayansi ya sasa hivi inakuwa sana wakina dada sasa hawatembei na kioo akiwa na simu anajiangalia na kuijiremba kama kawaida tena kwa screen yenye 3d.

MCHEZAJI AFUNDWA MTOTO WA DIEGO SIMEON NI GIOVANNI KABLA YA KUTIA SAINI MKATABA ALIAMBIWA AKANYOE NYWELE

 Mtoto wa Diego Simeon anayechezea timu ya vijana wa chini miaka 18 Arjentina,baada ya kunyoa stail hiyo aliambiwa aende kunyoa nywele la sivyo hatatia saini mkataba wa kuingia kwenye timu iliyomsajiri kwa mkataba wa miaka 2.
 Taribo West naye staili yake akiwa na miaka 40 hii picha yake ikionyesha staili yake haifai kwenda kwa Papa.
 Staili ya Raheem Sterling akiwa anaenda shuleni kwake hii stail inafaa kwa shule
Robert Baggio akiwa na stail yake ya nywele inayofaa kwenda kwa Papa

HAPANA HAPANA MPAKA KIHINDI NEI NEI SIMBA NI WEWE WENGINE NI YANGA HAKUNA WA KUMBADILISHA KUTOKA FACEBOOK.

UZALENDO HAKUNA HAPA.

MIILI YA MASHUJAA WETU SABA YARUDI NYUMBANI KWA MAZISHI KUTOKA DARFUR SUDAN.POLENI WAFIWA KWA KUONDOKEWA NDUGU HAWA

Miili ya wanajeshi saba mashujaa wa Tanzania waliofariki wakiwa kazini wakitekeleza ulinzi wa amani wa kimataifa katika mkoa wa Darfur nchini Sudan, imewasili leo kwa ndege maalumu ya Umoja wa Mataifa.

Kaimu Mkurugenzi wa habari wa JWTZ, Meja Joseph Masanja amesema miili hiyo imewasili leo Jumamosi majira ya saa 9.45 alasiri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JNIA na imehifadhiwa katika hospitali ya jeshi ya Lugalo hadi Julai 22 ambapo itaagwa rasmi.

Miili iliyowasili ni ya Sajenti Shaibu Othuman, Koplo Oswald Chaula, Koplo Mohamed Juma, Koplo Mohamed Chikilizo, Pte. Rodney Ndunguru, Pte. Peter Werema na Pte. Fortunatus Msofe.

Shughuli za kuagwa miili ya wanajeshi hao zitafanyika katika viwanja vya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa vilivyoko Upanga jijini Dar es salaam.

Kuwapoteza wanajeshi hawa ni la kwanza na kubwa kwa nchi ya Tanzania tangu Tanzania ilipoanza kuchangia walinzi wa amani chini ya Umoja wa Mataifa mwaka 2007. Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania walifariki dunia mwezi uliopita baada ya chombo chao cha kusafiria kusombwa na maji ya mto uliokuwa umefurika huko nchini Sudan.

BARABARA ZETU ZINAHITAJI KUTENGENEZWA KWA KUZINGATIA AFYA NA USALAMA KWA WATU WOTE.

Ninakumbuka barabara ya Ubungo ilipokuwa ikitengenezwa na waDenmark watu walifurahi walipotengeneza mitaro itawakomoa waendesha magari kwa kasi lakini ikawa tatizo pia kwa wapiti njia,MUHIMU ni kubadilisha mfumo huo wa barabara.

MAGAZETI YETU NA VICHWA VYA HABARI


IRINGA IRINGA POMBE YA KIENYEJI(KOMONI)HAPO IKIPIKWA ZAIDI YA MASAA 10.

Mama akiwa anakoroga pombe KOMONI pombe inayotokana na mahindi.Hapo Mhehe akai mbali.

RAGE RAGE AWASHINDA WAPINZANI WAKE.AWAONGOZA WANACHAMA WAKE KWENYE MKUTANO BILA FUJO WALA TAABU.



             
 

Sunday 14 July 2013

UK JOTO LINAZIDI NYUZI JOTO 33 NA WASTANI 31 KAMA DAR ES SALAAM

UK weather: the heat goes on. It could be the longest hot spell in a decade


Parts of Britain are on course to enjoy one of the longest heatwaves in a decade, with the hot, dry weather expected to last into next month.

WANARIADHA MASHUHULI DUNIA GAY WA USA NA POWELL WA JAMAICA WAPATIKANA WAKITUMIA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU KWENYE MWILI NA KUWEZA KUSHINDA

Wanariadha wanatia aibu fani hii.Gay wa USA mwenye jezi nyeupe na Powell wa Jamaica.Hii inaua biashara ya riadha.Ukiangalia sana hawa jamaa wanavyokimbia unajua tu wanakitu mwilini sio mchezo kukimbia kwa kasi hiyo.

AJALI AJALI HABARI KUTOKA FACEBOOK NA KOCHA MANASE INASIKITISHA SANA,HAKUNA WA KUTETEA MTU KILA MTU NA LAKE.KWELI TUNASHINDWA KUWEKA ALAMA NA KUWAFUNDISHA MADEREVA WATUMIE SPIDI FULANI WAKIWA MAENEO YA WATU?

AJALI MBAYA SANA ILIYOTOKEA TEGETA BUS STAND SIKU YA TAREHE 8/JULLY/2013 NILISHUHUDIA MTOTO MDOGO WA TAKRIBANI MIAKA 5 -6 AKIWA ANATOKA KUNUNUA NYANYA ALIPO KANYAGWA KICHWA NA ROLI KUBWA .NIWATAKE RADHI NKWA PICHA HIZI.

TOSAMAWE YAPATA MTOTO WA KIKE TUNASHUKURU MUNGU KWA KUPATA MTOTO.

Mtoto FrancIsca akiwa katika pozi baada ya kuzaliwa,picha hii nilipiga dakika kumi baada kuzaliwa,nawashukuru Madaktari na Wahuguzi wengine kwa kazi nzuri. 

WATANZANIA 7 WANAJESHI WAUA DARFUR SUDAN KWA SHAMBULIO LA GHAFLA(AMBUSH)HABARI KUTOKA ALJAZEERA TV NA ALJAZEERA BLOG.


At least seven international peacekeepers have been killed and 17 wounded when they came under heavy fire from a large group of unknown assailants in Sudan's strife-torn Darfur region, the peacekeeping force UNAMID has said.
The incident on Saturday took place in an area where peacekeeping is the responsibility of Tanzanian forces, and was the force's worst death toll from a single incident since it was deployed five years ago.
The "extended firefight" happened near Khor Abeche in South Darfur, the African Union/United Nations-led force said in a statement, without confirming nationalities. Two of the 17 wounded soldiers and police officers were female.
Years of international peace efforts have failed to end conflict in Sudan's western region of Darfur, where mainly African tribes took up arms in 2003 against the Arab-led government in Khartoum, which they accuse of discriminating against them.
Violence is down from its peak in 2004-05, but has picked up again this year as government forces, rebels and Arab tribes, which were armed by the government early in the conflict, are now fighting among themselves over resources and land.
About 300,000 people have been forced to leave their homes in Darfur this year due to fighting, according to the United Nations.
The International Criminal Court has issued arrest warrants for Sudanese President Omar al-Bashir and some aides on charges of masterminding war crimes in Darfur. They deny the charges and refuse to recognise the court.
Events in Darfur are hard to verify as Sudan severely restricts travel by journalists, aid workers and diplomats.

Monday 8 July 2013

MISRI NCHI YA MAANDAMANO LEO WATU 51 WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI.



MANDELA SIKU ALIPORUDI TENA GEREZANI KUKUMBUKA MIAKA YAKE ALIYOKAA GEREZANI,MUHIMU ALIWASAMEHE WOTE WALIOMTESA

Watu wengi walikuwa wakisema Mandela alikuwa gerezani anaishi kama mfungwa wa kisiasa lakini ukweli ni kwamba Mandela na wenzake waligonga kokoto na kuweza kulijenga Gereza.Ukiangalia na kusoma makala za Wapigania uhuru wa Afrika kusini unaweza kuona uchungu.Lakini mwisho Mandela akawa Rais wa kwanza Mweusi Afrika kusini.

ANDY MURRAY AKARIBISHWA KWENYE OFISI YA WAZIRI MKUU DAVID CAMERON BAADA YA KUSHINDA KOMBE LA TENNIS WIMBLEDON

Andy Murray joins (from left) Deputy Prime Minister Nick Clegg, Prime Minister David Cameron, labor leader Ed Miliband and SNP Westminster leader Angus Robinson during a reception in Downing Street.
Bingwa akikaribishwa kwa makofi na vifijo bingwa kaingia ndani ya ofisi ya Waziri mkuu.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS