KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 23 December 2020

CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NI SHEREHE KUBWA KWA NCHI ZA MANGARIBI NCHI ZA UCHUMI WA JUU KWA WANANCHI WAKE KUTUMIA MUDA MWINGI KUHIFADHI PESA KWA AJILI YA SHEREHE HIZO.KWA SASA GONJWA LA CORONA LIMEHARIBU KILA KITU MIGAHAWA IMEFUNGWA NI KUNUNUA VYAKULA NA KWENDA NAVYO KWAKO SIO KUKAA NA KULA HOTELINI

Kwa wenzetu Krismas ni sherehe kubwa na muhimu sana kutokana na gonjwa la Corona mataifa mengi yamezuia mikusanyiko mingi lakini watu bado wanapinga na serikali kutokana na wataalamu wa sayansi wanasema kuzuia watu wasikutane ni kupunguza maambukizi.Tumuombe Mungu atuepushe na huu mlipuko wa pili wa Corona inasemekana ni hatari na rahisi kuambukiza kuliko ule wa mwezi wa Tatu.

CORONA INAVYOSUMBUA UINGEREZA WAMEGUNDUA AINA MPYA YA CORONA AMBAYO NI RAHISI KUAMBUKIZA.WAMETUMIA TIER 4 KWA BAADHI YA MIJI NA SASA WANATAKA KUWEKA TIER 4 KWA NCHI NZIMA MUNGU TUNUSURU NA GONJWA HILI AMBALO LINAAMBUKIZWA KWA HARAKA

Sherehe za Krismas zimeingia doa kwa watu wengi kutegemea kuwatembelea ndugu zao na zawadi za Krismas sasa ni Corona ikifuatiwa na kufungiwa kwa wananchi nchi nzima ya Uingereza ifikapo Boxing day.

Tuesday 1 December 2020

CHADEMA NA SINEMA ZA SIASA YA VYAMA VINGI TUENDAKO CHADEMA WAWE MAKINI NA MBINU ZA KISIASA

Halima Mdee azungumza kwa vijembe kwa wanachama Wanawake waliongelea kufurahia kuvutwa Uanachama na kamati kuu ya chama Vijembe sio jibu la suala lao ni muhimu kuongelea zaidi kutaka kuwa na kikao cha majadliano

Wednesday 25 November 2020

MARADONA SIFA ZAKE NA MATATIZO YAKE

Maradona mchezaji aliyekuwa na uwezo mkubwa wa kucheza,mwenye hasira,mtumiaji madawa ya kulevya.Ameacha historia kubwa kwenye medani ya mpira wa miguu. Waingereza hawatamsahau Maradona kwa kuwafunga goli la mkono.

DIEGO MARADONA AFARIKI ARGENTINA YATANGAZA MAOMBELEZO YA SIKU TATU.Maradona kuzikwa kwenye Enron la makumbusho ya Taifa yanaitwaCASA ROSADA yalijengwa meaka 1580

Maradona baada ya kupasuliwa kichwa na kutoa damu iliyoganda kwenye ubongo,Maradona aliruhusiwa hospital lakini ndani ya wiki mbili umauti umemkuta.Mungu amlaze pema peponi Amina.

Monday 2 November 2020

LISSU NAYE AKAMATWA SASA VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA WAKAMATWA KISA KUAMASISHA WANANCHI KUANDAMANA PASIPO KIBALI.SASA KAZI YA KUWAWEKA NDANI WAPINZANI IMEANZA TUNGOJEE MENGI YATATOKEA

Tundu Lissu kamatwa akitokea katika ofisi za Jumuia ya Ulaya na baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwa kikaoni Freeman Mbowe na Godbless Lema walikamatwa na baadhi ya wafuasi 30 wa Chadema wawekwa ndani polisi kwa uchunguzi.

TANZANIA SABABU ZILIZOSABABISHA UPINZANI KUSHINDWA KWA KISHINDO NI KAMA HIZI ZA KUSUSIA BUNGE KWA KUFIKILI WANANCHI WANAPENDA AU WANAWAUNGA MKONO.UPINZANI KUTUMIA STAILI ZA NCHI ZILIZOENDELEA WAKATI WATANZANIA BADO HAWANA ELIMU KUBWA YA UPINZANI.

Upinzani kutokuwa na ujuzi wa kujua wananchi wanataka nini?mfano Chadema walikuwa na tatizo la baadhi ya wabunge kutoa malalamiko kwamba chama chao kiliwakata pesa kwa ajili ya kuendesha chama ile kashfa ilikzimwa na kuelezwa na msemaji wa chama lakini kwa muda mrefu huku wananchi hawajui kinachoendelea Tukirudi kwa wenzetu wa Zanzibar wao walifukuzwa Bungeni kwa kufuata kauli ya Maalimu Seif hawakurudi tena mpaka uchaguzi huu kwa makosa hayo ni mojawapo ya sababu kubwa kushindwa kwa upinzani. Kazi sasa ni upinzani kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao na sio kuandamana Watanzania ni Wajumbe hawataki taabu.

Friday 30 October 2020

WATANZANIA HAWATAKI VYAMA VINGI KUTOKANA NA UTAWALA WAO KWENYE VYAMA MFANO CHADEMA RUZUKU WALIPATA LAKINI HATA OFISI KUJENGA MIKOANI HAKUNA

Chadema hawakujua nia ya Ccm kuwafutilia mbali upinzani waliongoza kukimbia Bungeni Kususia vikao vya bunge kwa kufikilia wananchi wanawaelewa na kuwapenda

TUNDU LISSU ASHINDWA LICHA YA WANANCHI KUMPA IMANI ATASHINDA.WATANZANIA WALIO WENGI HAWAPENDI UPINZANI KWA KUONA KAMA WAO NI MAFISADI MAKUBWA

LISSU ukujifunza ya Mrema Watanzania ni Wajumbe Watanzania hawataki fujo zilizokuwa zinafanyika Bungeni Watanzania wanataka unyekevu na mengine hawataki lugha chafu Watanzania walio wengi hawaamini kama upinzani unaweza kuongoza nchi kwa kuuliza mbowe atakuwa waziri mkuu,Lema atakuwa Waziri wa Fedha Watanzania walitaka kusikia Hoja za wabunge wa Chadema waliokimbia Chadema na kutoa matatizo ya Mwenyekiti Mbowe ilibakia kimya na wananchi kufikilia ni kweli chadema wanatumia madaraka vibaya

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ASHINDA KWA KISHINDO 84 ASILIMIA NDIO ANGUKO LA UPINZANI TANZANIA

Monday 28 September 2020

TUNDU LISSU AKUTANA NA POLISI NYAMONGO MGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA TUNDU LISSU AZIDI KUKUSANYA WATU WAPENDA KUMSIKILIZA KUTOKANA NA CCM KUWAZUIA KATIKA MIAKA MITANO BILA MIKUTANO SASA WAPO HURU KUMSIKILIZA BILA FIESTA

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Tundu Lissu akiwaomba kura wananchi walikuwa na shauku ya kumsikiliza.Chadema chama kinachokuja juu kwa wafuasi kufika bila Fiesta ni kinawatishia Amani CCM Mpaka sasa kampeni zinaenda vizuri ila kuna utishaji unakuja ili kuwatia hofu wananchi na wananchi wakichoka Amani itapotea


 

KAMPENI ZIKIWA ZIMETANDA KILA KONA YA NCHI LEO RAIS MAGUFULI YUPO IRINGA AWAOMBA KURA WATU WA IRINGA NA KUWAAMBIA NDIO MUDA WAO WA KUCHAGUA KUTOA UPINZANI

Rais akiwahutubia watu wa Iringa kwenye uwanja wa Samora Iringa mjini akiwasitizia wachague CCM ila waweze kuwatoa wapinzani yaani kwa tafsiri ya kawaida ni kuakikisha CCM wanashinda kwa kishindo ili kusiwepo na Upinzani jambo ilo sio nzuri na ndio maana Wabunge na madiwani walinunuliwa ili kuua upinzani.Katika maisha ya sasa upinzani ni muhimu kwa sababu ya Demokrasia.


Monday 27 July 2020

MPYA MPYA ZA LEO NI TUNDU LISSU KATUA DAR ES SALAAM MAELFU WAMPOKEA VILIO VYATAWALA VIFIJO NA MUNGU NI MKUBWA VYATAWALA NA WALIOPANGA KUMUUA NAO ROHO ZAO ZINAWASHUKA NA DHAMBI BADO INAWATEMBELEA KILA WAENDAKO DAMU YA MTU HAIENDI BURE

 Lissu akiwaambiwa wafuasi na wapenzi wa Chadema tulieni nimerudi sasa
 Oyaa washikaji ni mie sio wa udongo ni mimi Lissu
 Daaa nimefika siamini na hii Airport mpya twendeni kazini Lissu akinena
Na wale walijaribu kuniua sasa nimepona

RAIS JPM NA MAKAMU WA KWANAZA WA RAIS NA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR WALIPOFIKA NYUMBANI KWA MKAPA KUTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MJANE WA HAYATI MKAPA

Rais Magufuli akitia sahini kitabu cha maombelezo  na picha chini Rais Magufuli akiongea na mke wa Hayati Mkapa nyumbani Mama Anna Mkapa


 Rais Magufuli akiongea na wanafamilia
Rais wa Zanzibar akiongea na mama Anna Mkapa mke wa Hayati Mkapa pembeni mtoto wa Mkapa Nico Mkapa
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS