KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 29 July 2012

SAFARI YAKE YA MWISHO BIBI YETU NI KESHO SIKU YA JUMATATU KATIKA KIJIJI CHA BWERA MIPANGO YA MAZISHI IMEISHA KAMILIKA,WAJUKUU,VITUKUU NA VILEMBWE WAMEISHA WASILI KWA AJILI YA MAZISHI.MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI BIBI MAYOZEPHINA

Picha hii ilipigwa mwaka 2008 kijiji Bwera Butainamwa Buyango hapa Bibi naye alikuwa anatoa habari zake kwa wajukuu zake na Mtoto wake.Tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi.Tutakumbuka Bibi yetu mpendwa WAJUKUU.

Thursday 26 July 2012

TUMEONDOKEWA NA BIBI YETU MPENDWA LEO,TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUMPUMZISHA SALAMA BIBI YETU KATIKA SIKU TANO ZILIZOPITA ALIANGALIA PICHA ZETU ZA FACEBOOK KUTOKA KWA KITUKUU WAKE.

Siku ya leo katika Hospitali ya Mkoa Bukoba{Kagera}Bibi yetu  Ma Yozefina,ametutoka na kutangulia mbele za haki,mazishi yake yanatarajiwa kufanyika siku ya jpili baada ya kufika ndugu na jamaa.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,AMINA.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS