KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Friday 29 August 2014

UREMBO UREMBO WA MWAFRIKA NI KUTUMIA MADAWA KUTOKANA MAGAZETI YANASEMA MWAFRIKA HAJIAMINI NDIO MAANA ANATUMIA MADAWA ILI AWE MWEUPE MIMI SIJUI,ILA UKIANGALIA KWA UNDANI WEUSI WA MWAFRIKA UNAVUTIA

ISIS WAENDELEZA KUKATA KICHWA CHA MTU NA KUWATANGAZIA MAREKANI KUACHA KUWASAIDIA WAKURD INASIKITISHA LEO BAADA YA IJUMAA KWENYE MSIKITI WA MOSUL NJE KAKATWA MTU IPO VIDEO YAKE INATISHA HUSIANGALIE



Askari kutoka Iraq akatwa kichwa tena ikiwa ni tishio kwa Marekani kuendelea kuwasaidia Wakurd na wapo wengine 15 mateka kama Marekani itaendelea na Mashambulizi basi wawakata vichwa mateka



MARIO BALOTELI NA MATANUZI ALIPOKUWA NA MAPUMZIKO BEACH MIAMI MCHUMBA WAKE ANAITWA FANNY NEGUESHA


Mario Baloteli na Mchumba wake walipokuwa Miami beach wakifurahia mapumziko Holiday mchumba wake anaitwa Fanny Neguesha

UGAIDI TISHIO SASA KWA UINGEREZA SERIKALI YATANGAZA HALI YA HATARI NA WAPO TAYARI KUPAMBANA NA MAGAIDI,SERIKALI IWA NA NGUVU NI MAGAIDI WATASHINDWA

Waziri Mkuu David Cameron akihutubia Taifa kutokana na tishio la Ugaidi ndani ya UK

Thereza May waziri wa Mambo ya Ndani UK akizungumzia Tishio la Ugaidi kutokana na Isis.Wapo tayari kukabiliana na Ugaidi wowote.

AJALI MBAYA MBEYA MJINI YAUA WATU 10 HAPO HAPO DALADALA NA FUSO NI GARI AINA YA TATA LILOKUWA LIKIINGIA BARABARA KUU


 

MBUNGE FILIKUNJOMBE AKIWASAIDIA WAPIGA KURA WAKE KWA KUCHIMBA MASHIMO YA NGUZO ZA UMEME KAZI NZURI

Thursday 28 August 2014

WANAJESHI WANAOPIGANIA SERIKALI YA KIISLAMU WAKIWAPA MWENDO WA KWENDA KUPIGWA RISASI,ASKARI WA SERIKALI YA SYRIA BAADA YA KUWATEKA,MWISHO WAKE WALIAMBULIA KUPIGWA RISASI KAMA PICHA YA NDANI INAPOONYESHA THAMANI YA BINADAMU HAKUNA

EBOLA INAVYOWASUMBUA WAAFRIKA KIASI CHA MAELFU KUPOTEZA MAISHA.WATAALAMU WANASEMA KUGUSANA NDIO NJIA KUBWA YA KUAMBUKIZANA KWA UGONJWA HUU LAKINI SISI TUTAPONA KWA NGUVU ZA MUNGU.PICHA YA CHINI INAONYESHA MGONJWA MWINGEREZA ALIYEAMBUKIZWA SIERRA LEON AKISAFIRISHWA KURUDI UINGEREZA KWA MATIBABU SASA ANAENDELEA VIZURI KWA MATIBABU



Ugonjwa wa Ebola unatishia Maisha ya Wa Afrika kwa sababu Afrika haina mipango dhabiti ya Afya.Cha sikitisha ni pale viongozi wenye madaraka makubwa wanatibiwa Ulaya au Marekani na Nchi za Asia kama India.Kutokana na hili inamaanisha kwamba kiongozi mkuu wa Nchi hana mipango ya kuendeleza Afya kwa kujua ataenda kutibiwa Ulaya.

UINGEREZA SIASA KAMA TANZANIA-MBUNGE WA CONSERVATIVE AHAMIA UKIP SASA HIVI AKISEMA CHAMA CHAKE CHA ZAMANI KIMESHINDWA KUTEKELEZA ILANI ZA UCHAGUZI IKIWA SUALA LA UHAMIAJI JUMUIA YA ULAYA


Mbunge wa Conservative ambaye hivi punde ametangaza kujitoa kwenye chama cha Conservative na kujiunga na UKIP Mbunge Douglas Carswell wa Essex ndiye gumzo la siasa kwa sasa hapa Uk.Mwenyekiti wa UKIP Mr Farage anafuraha sana kwa sababu sera zake za Jumuia ya Ulaya ndizo chanzo cha watu wa Uingereza kukipenda chama hiki chenye mvuto kwa Wananchi.

MLIMA KILIMANJARO,KIJANA WA MIAKA 18 MWANAFUNZI KUTOKA UINGEREZA ANAYEITWA BEN BOLEYN ALIAMUA KUVUA NGUO KWENYE KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO KUKIWA NA BARIDI -12 C ANASEMA TENA ATAENDA KUPANDA MLIMA MWINGINE PERU NA KUTOA NGUO HIVYO HIVYO KAMA ALIVYOFANYA TANZANIA NI KILA MTU ANATAKA KUTIMIZA NDOTO ZAKE




Tuesday 26 August 2014

TAJIRI WA IRINGA ABRI AU ASAS APEWA CHEO CHA UKAMANDA WA VIJANA WA CCM IRINGA KAZI IMEMPATA MWENYE UWEZO.


IRINGA JIJI WODI ZA WATOTO MSAADA KUTOKA KWA WANNCHI WA ITALIA KWA WATU WA IRINGA,MSAADA HUU NI WA PILI MKUBWA KWA HOSPITAL YA IRINGA,KATIKA MIAKA YA 80 NA 86 YAANI 1980 ITALIA ILIBOMOA HOSPITAL YA MKOA NA KUJENGA HOSPITAL MPYA.



Picha na Kheri mwa Chalamila kutoka Mufindi.

HII NI ALAMA YA JIJI LA IRINGA NI KIHENGE CHA MAHINDI PICHA ALINITUMIA KHERI MWA CHALAMILA KUTOKA MUFINDI IRINGA


LIVERPOOL WACHEZEA KIBANO KUTOKA KWA MAN CITY 3-1 INAFURAHISHA,KOCHA WA MAN CITY ALISEMA KABLA YA MECHI WAO MAN CITY HAWAJAWAHI KUIHOFIA LIVERPOOL


Wachezaji wa Liverpool wakitoka uwanjani wakiwa wameloa kwa kipigo cha magoli matatu kwa moja.Ni Richie lambert,Alberto Moreno,Steven Gerald.

IRAN YATUNGUA NDEGE HISIYO NA RUBANI KUTOKA ISRAEL NA IRAN YASEMA ITAWASAIDIA WAPALESTINA,ISRAEL HAIJASEMA LOLOTE KUHUSU NDEGE HIYO KAMA YA KWAO.ILIKUWA IKIPITA KARIBU NA SEHEMU YENYE KINU CHA NYUKLIA IRAN.HII SI MARA YA KWANZA KWA IRAN KUTUNGUA NDEGE YA UPELELEZI,KWANZA ILIKUWA YA MAREKANI


DI MARIA AMEKUWA KIVUTIO KWA MAN UNITED KUTOKANA NA UWEZO WAKE WA KUWEZESHA TIMU KUFUNGA NA KUSAIDIA TIMU NDIO KIGEZO KINACHOTUMIKA KWA MCHEZAJI KUWA NA SOKO KUBWA ULAYA.MPIRA WA MIGUU NI SAYANSI INAYOTAKIWA KUFANYIWA KAZI KATIKA NCHI YETU SIO MANENO MANENO NI KUANDAA WATOTO KUWA WACHEZAJI


Di Maria ni mchezaji bora kuliko hawa wachezaji wengine kutokana na mchango wake akiwa uwanjani.
Bale Ronaldo Suarez Neymar Rodriguez Di Maria
Appearances 44 47 37 41 38 52
Goals 22 51 31 15 10 11
Minutes per goal 151 79 105 189 290 342
Shots on target 44 134 87 45 29 46
Shooting accuracy % 43 57 53 54 42 60

Hii ni uwezo wa wachezaji wakiwa uwanjani kufunga goli,kutoa pasi ndio inayomsaidia mchezaji kuwa na soko kubwa.

Saturday 23 August 2014

IS JESHI HILI LINALOPIGANIA SELIKARI YA KIISLAM KWA KUUA WATU KWA KUWAPIGA RISASI HUKU WAMEWAFUNGA KAMBA NA KUWALENGA SHABAHA WATU WALIOWATEKA NI HATARI LAKINI HUKIFUATILIA SANA SADDAM HUSEIN ALIKUWA AKIFANYA HIVYO KWA KUWAUA WAKURD

Kiongozi wa IS Abu Bakr al-baghdadi aliyesomea Chuo kikuu cha Baghdadi cha Islamic science ndiye mkuu wa IS anaendesha ili kundi lenye zana kali za Vita linalowasumbua watu wa Magharibi.Lakini lina mwisho wake.Damu za watu ni nzito kulilo maji.


Kumchinja binadamu kama kuku inasikitisha sana lakini kila kitu tunamwachia Mungu.

SCOTLAND WANAVYOTAKA KUJITENGA NA UK KWA MAELEZO YA KUNYONYWA NA LONDON,JUMATATU HII TENA NI DEBATE KATI YA SALMOND WAZIRI MKUU WA SCOTLAND NA ALISTAIR ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA

Debate ya kwanza Waziri mkuu anayeendesha kampeni za kuijtenga alishindwa baada ya maelezo ya Pesa gani watatumia wakijitenga na Uk yeye anasema watatumia Pound wakati Uk wanasema wawe na pesa yao.Ila watu wengi hawataki kujitenga na Uk.
Sasa kazi ipo kwa Waziri mkuu Salmond hakishindwa na chama chake kitakosa kura katika chaguzi zijazo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS