KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 5 July 2020

KIPINDI HIKI CHA CORONA NA KARANTINI HALI ILIKUWA HIVI HAKUNA MZUNGUKO WA WA WATU MADUKA MASOKO YALIFUNGWA

Mwaka 2020 kama tulivyosherekea mwaka mpya na kuwa na matumaini makubwa lakini hali ilikuwa tofauti na tukaanza na ugonjwa wa COVID19.
Corona imeiweka dunia nzima katika hali isiyo ya kawaida hakuna biashara kama zamani,Uchumi unazidi kushuka hasa kwenye nchi zinazoendelea kutokana na mfumo wa uchumi tegemezi.
Shule zimeendelea kufungwa katika nchi zilizoendelea kwa sababu ya corona.
Tuombe Mungu atupe nguvu ya kupambana na Corona

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS