KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 30 June 2014

UJERUMANI VIFAA VYAO JEZI,VIATU NA VIFAA VYA KIPA VIKIWA VIMEPANGWA KWA UFANISI WA HALI YA JUU LAKINI HII NI KAZI YA MTU ALIYESOMEA SIO MTU KATOKA SHIMO LA UDONGO MFUA JEZI WA SIMBA AU YANGA


ALGERIA YATOLEWA KWA TAABU NA UJERUMANI.MPIRA WA KASI ULIONYESHWA NA ALGELIA NI MZURI TUMEFURAHI INGAWAJE AFRIKA WAMETOLEWA LAKINI MPIRA HUU WA ALGERIA UNAVUTIA

Afrika safari imetufikia Algeria watolewa kwa taabu baada ya dakika 90 kwisha bila kufungana.Mwisho Algeria wamefungwa 2-1 kwa taabu.Algeria wameonyesha mpira wa juu kiasi kwamba waJerumani walikuwa wanatafutana hawaonani

SUAREZ AKIONEKANA NA MAJONZI NA PICHA NYINGINE AKIWA NA WATOTO WAKE WAKIWAPUNGIA WASHABIKI WALIOKUWA WAKIANGALIA MPIRA KARIBU NA NYUMBA YA SUAREZ




SUAREZ NDIO GUMZO DUNIANI BIBI YAKE ALAANI WATU KUMWONA KAMA MBWA NCHI ZOTE WANAMSEMA YEYE TU BIBI YAKE SUAREZ ALISEMA WASIMSEME MJUKUU WAKE

MARADONA NAYE AMTETEA SUAREZ AKIOJIWA NA TV ZA URUGUAY ALISEMA ADHABU ALIYOPEWA NI KUBWA,NAYE ALIWAHI KUKUMBWA NA KASHFA ENZI ZAKE.

Maradona naye anamtetea Suarez amevaa t-shirt yupo pamoja na Suarez ambaye ni Papa wa nchi kavu kwa sababu ya kuuma wachezaji wenzake.

ALGERIA NA UJERUMANI PAMBANO LINAENDELEA NI DAKIKA YA 57 SASA,ALGERIA WAMEWAKAMATA WAJERUMANI MPAKA SASA NI 0-0.GOLIKIPA WA ALGERIA ANAITWA RAIS ANAOKOA MIKWAJU.WAJERUMANI MPAKA SASA WANAANGAIKA


NIGERIA YAFUNGWA KWA TAABU NA UFARANSA 2-0.WASWAHILI WANASEMA HAAA CHENGA TWAWALA LAKINI WATUFUNGA.MPIRA WETU AFRIKA WANASEMA TUNACHEZA MPIRA FREE BILA WASIWASI NA NDIO MAANA TUNAFUNGWA

Mikel mchezaji wa nigeria akijitahidi kumzuia Paulo Pogda kutoka Ufaransa bila mafanikio na Paulo alifinga goli la kwanza kwa Ufaransa.Hadi mwisho wa pambano ni Ufaransa walitoka kidedea bao 2-0

Sunday 22 June 2014

KESI YA EMANUEL MBASHA SASA YAWA GUMZO KILA MTU ANATOA HUKUMU YAKE NA MAGAZETI YANASEMA HIVI NA VILE FLORA MBASHA NAYE ANAHUKUMIWA NA WATU

INASIKITISHA WATU KUTOA HUKUMU TUIACHIE MAHAKAMA ITOE HUKUMU SIO SISI TUHUKUMU,PIA NI KOSA KUTOA MANENO MAKALI YA KASHFA KWA FLORA AU EMANUEL TUSUBIRI HUKUMU.KUNA MAWAKILI MAJAJI WATATOA HAKI KWA KILA MTU.

SHAMRA SHAMRA ZA KOMBE LA DUNIA MASHABIKI WAJIFUNGA KAROTI NA NJIWA ATUA KWENYE KAMERA BRAZIL





Karoti nazo zatumika kushangilia michezo ya kombe la dunia



Washabiki wakiwa na furaha uwanjani na chini ni njiwa walirushwa uwanjani lakini alienda kutua kwenye pod ya kamera

GHANA WAWASUMBUA WAJERUMANI WATOKA SARE MCHEZO ULIKUWA MZURI WA KUTUMIA NGUVU

 Klose akifunga goli la kusawazisha kwa Wajerumani,ameisha funga magoli 15 katika michezo yote aliyocheza ya kombe la dunia.
Klose Mjerumani akiruka sarakasi baada ya kufunga goli la kusawazisha baada ya Ujerumani kuwa nyuma ya 2 kwa 1

Thursday 12 June 2014

BRAZIL YAANZA KWA KISHINDO YAILAZA CROATIA 3 KWA 1


BRAZIL KOMBE LA DUNIA LIANZA RASMI TASWIRA MBALIMBALI ZA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA KATIKA JIJI LA SAO PAULO



Uwanja wa Sao Paulo wakati wa ufunguzi wa kombe la dunia.


Muziki lazima uwepo tu hata kwenye msiba ni waimbaji Jennifer Lopez,Claudia Leitte na Pitbull wakiwapungia mikono wananchi waliopo uwanjani.

IRAQ MAMBO BADO VITA INAENDELEA,VITA YA KUTEMBEA NA MAGARI YENYE MACHINE GUN KUBWA VITA YA JANGWANI MAONI YANGU

Saddam Husein alitumia Mabomu ya Sumu kuwapiga hawa jamaa kwa sababu ya Uwezo wao wa kupigana na Umoja wao,lakini bado haliwashindwa hawa Wakurdish jamaa wapo Uturuki,Ujerumani na sasa wamezagaa Ulaya yote na Wafanyabiashara wana Umoja wanalaani sana Serikali za Iraq Syria na Iran.
Hawa Wakurdish wapo kwenye nchi hizi za Iraq,Iran na Syria.Wanadai taifa lao wanaosema lilivunjwa.
Vita hizo zitaendelea ikiwa Syria na Iraq na Iran inazidi kuwa makini maana wakati wowote wataenda Iran.

AL QAEDA BAADA YA KUANZISHA MASHAMBULIZI MAREKANI BADO WANAONEKANA NI TISHIO KATIKA ULIMWENGU HUU KWA KUENDESHA MASHAMBULIZI KILA KONA YA DUNIA HII NA WANA HARI NA MOYO WA KUENDELEZA MAPAMBANO

Huu mtandao unaonekana bado una nguvu ya kufanya mashambulizi eneo lote hapa dunia.Baada ya Septemba 11 bado ni tishio Pakistan,India,Afhgastan,Afrika,Ulaya Ipo kazi.

IRAQ NCHI HISIYOWEZA KUTULIA KUNA MATATIZO YA KURDISH HAWA WATU WANATAKA KUJITENGA KUANZISHA TAIFA LAO WANASEMA WATAPIGANA MPAKA KUFA

Al Qaeda waonyesha video ya jinsi walivyomua mtu huyu kwa watu ni hatari inasikitisha lakini tutafanyaje tuombe Mungu atusaidie ili watu wapendane

GEORGE BUSH RAIS MSTAAFU SIO ANASHEREKEA MIAKA 90 KWA KURUKA KWENYE PARACHUTE KUTOKA ANGANI IKIWA NI SHEREHE YAKE YA KUZALIWA

BRAZIL KOMBE LA DUNIA NI FUJO FUJO MIGOMO UWANJA WA NDEGE WA RIO HAKUNA HATA MFANYAKAZI MMOJA LEO NI HATARI LAKINI MPIRA UTACHEZWA TU

 Polisi tunakuja nyie hatutishi kabisa,piga piga polisi.
 Kamata huyu piga haaa ndo polisi.
 Mwandishi wa habari wa CNN akiwa hoi baada ya mabomu ya machozi.
Polisi uwa wanasema piga

Wednesday 11 June 2014

MILLION AROBAIN WAMEISHA ANGALIA HUU MUZIKI PSY FEAT SNOOP DOGG M/V HANGOVER



IRAQ TENA TAIFA LATANGAZA NI TAIFA LA VITA BAADA YA WAASI WA AL-QAEDA KUANZA KUITEKA MIJI YA MOSUL NA TIKRIT SASA NI VITA ZANA ZINAPELEKWA NA WANAJESHI.WATU 500,000 WAKIMBIA MJI

 Waasi wa kikundi cha Al-Qaeda wakisonga mbele kwa mapambano na majeshi ya serikali ya Iraq.
 Wananchi wakimbia kuogopa mapambambano yalianza baina waasi na serikali hapo Amani wanaisikilizia kwa mbali.
 Wananchi wakisachiwa kama wana silaha.
Mashambulizi ya kijeshi yakiendelea ndani ya mji wa Mosul.

ROSE MUHANDO NA WOLOLO INAPATIKANA KWA KUNUNUA GOOGLE PLAY



HOW GREAT IS OUR GOD-TUMSHUKURU MUNGU KWA UWEZA WAKE MPAKA SASA TUPO HAI



KOMBE LA DUNIA JEZI ZA TIMU NA WACHEZAJI WENYE KUFUGA NDEVU SASA NI FASHION OSAMA

 Ni jezi za timu zote zinazoshiriki kombe la dunia 2014 Brazil
Mchezaji wa Ureno Raul Perreils akiwa anaonekana na mtindo wake wa Madevu ndio fashion sasa hivi.

KOMBE LA DUNIA KUANZA KESHO BRAZIL NCHI YENYE UTAJILI NA WATU WAKE WENGI NI MASKINI,MAANDAMANO YA KWANINI?SERIKALI YA BRAZIL IMETUMIA HERA NYINGI KWENYE KOMBE LA DUNIA WAKATI WAO NI MASKINI

Ilikuwa Miaka,miaka miezi na sasa imebaki siku moja tu michezo ya kombe la dunia ianze.
NCHI YA ARJENTINA NDIO INAYOPEWA NAFASI KUBWA KUWA BINGWA,SIO TIMU KUTOKA ULAYA.

Sunday 1 June 2014

ENGLAND TIMU WASAFIRI LEO,MTU MMOJA ALITAKA KUZAMIA AKIWA AMEVAA SUTI SAWA NA WACHEZAJI WA TIMU YA ENGLAND

 Comedian kutoka Liverpool alitaka kuzamia safari ya timu ya England kwenda Miami kwa ajili ya mazoezi ya okombe la duniani.Gerald aliakikisha hakuna mzamiaji walimtoa nje na Polisi hapa Johnson wa Liverpool akicheka

Wachezaji wa England wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kusafiri kwenda Miami Marekani leo.

 Picha ya pamoja ya England timu

CCM KINANA NA NAPE WAANZA KAZI YA KUWA KARIBU NA WANACHAMA KWA KUTEMBELEA MIKOANI NA KUWA KARIBU NA WANANCHI KUWASIKILIZA MATATIZO YAO HII INAWAPA NGUVU WANACCM




MAMA WA KIMASAI AKIMPA MTOTO MAZIWA KWA KUTUMIA KIBUYU HAKUNA CHUPA YA MAZIWA ILA NI KIBUYU,ONGERA MAMA YOYOO


Mama na Mwana kweli upendo wa Mama ni wa ajabu kwa mtoto nimeipenda hii picha inanikumbusha Mama anavyoangaika na Mtoto kwanza Miezi 9 tumboni kisha kumlea mtoto bila wasiwasi.Nani kama Mama Hakuna.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS