KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 11 July 2020

CORONA AU COVID19 INAVYOZIDI KUTISHIA MAISHA YA BINADAMU DUNIANI.KWENYE NCHI ZILIZOPATA MAAMBUKIZI MAKUBWA WANATAMBUA MATATIZO YALIYOWAKUTA NA JINSI YA KUPAMBANA NAYO.TUZINGATIE KANUNI ZA AFYA KUHUSIANA NA CORONA

 Hali ya Corona bado inatishia wananchi wengi hata kama wameruhusiwa kutoka nje bado wananchi wanaogopa kwenda mitaani.Hii ni katika nchi ya Qatar baada ya Locckdown kuruhusiwa bado wananchi wanahofu
 Kwenye usafiri wa Anga bado kazi ipo ya kusafisha kila abiria wanaposafiri.Jitihada ni kubwa lakini bado watu wanaogopa kusafiri
Baadhi ya nchi za Asia ni lazima kuvaa barakoa ikiwa ni njia mojawapo ya kujikinga na maambukizi ya Corona

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS