KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 8 September 2013

WANIGERIA WAKIWA MTONI KUOMBA MUNGU KWA KUNAWA MAJI YA MTO WAKIFUATA MILA ZAO NI WAISLAMU NA WAKRISTO WA KABILA LA YORUBA


Huyu dada amekaa kimya haombi akisema sasa hawataki kuomba maana nchi ina matatizo mengi kwa hiyo yeye na watu wengine wamekaa kimya bila kuomba.

WAJUA KWA NINI UNAHITAJI KULALA-USINGIZI


Wanasayansi wanaamini kuwa wamepata sababu moja mpya ya kwa nini tunahitaji usingizi.

Tuesday 3 September 2013

MAPAMBAZUKO ASUBUHI AU KUMEKUCHA SASA NDUGU ZANGU HAMKENI TWENDENI TUKALIME MASHAMBANI HAYA AMKENI


BUNDUKI INAPOCHEZEWA MMOJA LAZIMA AFE TU.ILA HAWANA NIDHAMU YA JESHI HAWA,WALIKUWA MAPUMZIKO BAADA YA MAZOEZI WAKAANZA KUCHEZA NA MPIGA PICHA AKAWAPATA

Unitishi wewe na bunduki yako naye akamwambia unitishi wewe hayo maneno ya maafande wakichezea bunduki bila woga wowote ule.

IRINGA MJI WENYE MABONDE,MAWE NA MILIMA MJINI-PICHA NZURI NAMPONGEZA MPIGAJI WA HII PICHA


NOKIA BIASHARA BIASHARA MICROSOFT YAINUNUA KAMPUNI YA NOKIA KWA BILIONI 7.5.JANA KAMPUNI YA MAREKANI YA SIMU ILINUNUA VODAFONE KUTOKA UINGEREZA GHARAMA YAKE WALISEMA NI BAJETI YA MWAKA YA NCHI YA HUNGARY.NI HATARI HIYO

Biashara inakuwa inafaida kubwa wawekezaji wanaikimbilia sana kwa lengo la kupata faida kubwa na anayeumia ni sisi watumiaji ingawaje naye tajiri anawasiwasi kama biashara hisipotoka basi ni kupata hasara.

OBAMA USA VS ASSAD SYRIA NANI BINGWA?TUSUBIRI YETU MACHO NA MASIKIO.ISRAELI YAFANYA MAJARIBIO YA ZANA ZAKE NA MAREKANI LEO ALIYETOA SIRI NI URUSI BAADA YA KUONA KWA KUTUMIA VIFAA.CIA YAANZA KUWAFUNDISHA WAASI WA ASSAD MBINU ZA VITA

Rais Assad wa Syria akisisitiza jambo atapigana mpaka mwisho wake.

Rais Obama akiwa na makamu wake na waziri wa Ulinzi wakijadiliana kuhusu kuishambulia Syria na kumtoa Rais Assad madarakani.

CONGO CONGO AU ZAIRE TULIOZOEA VITA VITA NA WAPINZANI WA M23 AFRIKA TUUNGANE TUWAMALIZE HAWA JAMAA WANOKIUKA HAKI ZA BINADAMU

Askari wa Kongo wakiwa njiani kwenda kupigana na waasi wa M23 kila siku ni vita tu Afrika tunakuwa kama nchi za Uajemi.

Sunday 1 September 2013

MANDELA ATOKA HOSPITALINI LAKINI HALI YAKE BADO TATA

Mandela mwaka 1961 na picha ya kati wakati akitoka gerezani na Winnie mkewe akimpokea na picha hii ya mwisho ni sasa anaumwa.

MAGAZETI YETU LEO.

 Ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa Upanga kama Saddam na madikteta wengine duniani tusubiri yetu macho na maskio.




Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS