KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Friday 15 May 2020

POLISI WAPATA AJALI WAKIWA KAZINI ni kazi kubwa ya kufukuza waharifu Polisi apanda kubambaza na gari kupinduka

Polisi wapata ajali wakiwa kazini na mmoja wa askari apelekwa Hospital kwa kutumia Air ambulance baada ya kupata majeraha makubwa.

TOTTENHAM SPURS MCHEZAJI WAO HODARI DELI ALLI AVAMIWA NA MAJAMBAZI AKIWA NYUMBANI KWAKE ASUBUHI POLISI WALIFIKA NA KUANZA UPELELEZI WAO,WATU WAWILI WAKIWA WAMEJIFICHA USO WALIWEZA KUIBA SAA NA VITO VYA THAMANI

 mchezaji wa Tottenham spurs Delle Alli ambaye alivamiwa na majambazi kwenye nyumba yake akiwa na mpenzi wake.Delle Alli ambaye analipwa £ 150,000 kwa wiki.
 Dele Alli akiwa na mpenzi wake Ruby Mae

 Wezi walifanikiwa kuiba saa tatu zenye thamani ya sh Milion 500
Moja ya saa alizoibiwa Delle Alli

CHINA NCHI INAYOLAUMIWA SANA KWA KUSHINDWA KUZUIA UGONJWA USISAMBAE ULIMWENGUNI NAYO CHINA INAKATAA KUWA ILICHUKUA HATUA MBADALA ZA KUZUIA UGONJWA WA CORONA.

Mama wa kachina akiwa amemubeba mtoto wake wakienda sokoni,akiwa na barakoa na mtoto naye akiwa na barakoa.Maisha yamebadilika mwendo mkubwa ni barakoa.

CORONA UCHUMI UNASHUKA,WATU WAMEISHA KAA NDANI BILA KUTOKA NJE WIKI 8,SERIKALI YA UINGEREZA IMERUHUSU WAFANYAKAZI KURUDI KAZINI ILA KWA KUZINGATIA KANUNI ZA KUZUIA MAAMBUKIZI

Wafanyakazi waanza kurejea kazini lakini washauriwa kutumia usafiri kama kuendesha baiskeli kuepuka misongamano ili kurudisha hali mbaya ya uchumi inayokuja kujitokeza.Uchumi wa Uingereza umeshuka kwa asilimia 2 tangia vita ya pili ya dunia.
Hali ya uchumi katika ulimwengu itakuwa mbaya Zaidi kutokana na ugonjwa huu wa Corona,taarifa za hivi sasa Ujerumani nyenye uchumi imara katika nchi za Ulaya nayo umeshuka kwa asilimia 2.
Mungu tuponye na hili gonjwa.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS