KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Tuesday 31 March 2015

ASKOFU GWAJIMA- MAASKOFU MBALIMBALI KUTINGA KWA IGP KUMWOMBEA MSAMAHA ASKOFU GWAJIMA,LAKINI SHERIA INABANA TUIACHE SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE


 MAASKOFU WAKIINGIA UKUMBINI KWA AJILI YA KUTOA TAARIFA YA KUMWOMBEA MSAMAHA ASKOFU GWAJIMA



 MAASKOFU wa makanisa mbalimbali ya Kipentekoste nchini wamesema wanatarajia kwenda kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu ili kulimaliza sakata la Askofu Josephat Gwajima, kwani kuliendeleza ni kuleta mpasuko wa kidini katika jamii.

Tuesday 17 March 2015

WANAOTAJWA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2015 NINI KITU MUHIMU KWA WANANCHI KUMCHAGUA

SIFA ZA KIONGOZI ANAYEFAA KUWA RAIS NI NYINGI SANA UWEZI KUZITAJA ZOTE LAKINI MUHIMU MOJA NI UMEIFANYIA NINI SERIKALI YAKO AU UMEFANYA KITU GANI KIKUBWA MPAKA UNATAKA KUGOMBEA URAIS.?






WATU ZAIDI YA 700 WAANDAMANA KWENDA KWA LOWASA KUMSHAWISHI ATANGAZE NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

 MH LOWASSA ANAPOPIGWA VITA NA WATU,LAKINI WAPO WENGI WANAOFAHAMU MMASAI HUYU ANAWEZA NA ANATOKA KWA SOKOINE,KAZI IPO TUSUBIRI MPAKA HAPO ATAKAPO TANGAZA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS



Saturday 14 March 2015

CCM NA KAMPENI ZA KUTEMBELEA MATAWI CHADEMA WAKO WAPI?

 Mbunge Lowassa na Kinana mafundi Rangi kazi
 Kinana
 Mtoto wa Marehemu Sokoine Namelok Sokoine.
 Nape
CCM hao

ZITTO KABWE KUFUKUZWA KWAKE NI SAWA INGAWAJE ATAENDELEA KUWA MBUNGE WA CHADEMA MPAKA UCHAGUZI UFANYIKE

 MWANASHERIA NAYE AZUNGUMZIA HAKI YA ZITTO LAKINI ARUDI TENA KWENYE KANUNI NA SHERIA ZA CHADEMA SHUGHULI IPO
Mwanasheria ambaye pia ni diwani kupitia CHADEMA, Ndugu Albert Msando amehoji yafuatayo;
 1.Amehoji je, kama CHADEMA kinasema ni Cha Kidemokrasia kwanini kinaaamuru Afukuzwe tu kwa kuwa ameenda mahakamani?
2. Amehoji je, ni nani mwenye mandate ya kumvua mwanachama uanachama wake.
3. Je, uamuzi wa kumvua uanachama ulipaswa kutangulia kwa umma au kwa Zitto kwanza?
4. Amehoji je, imekuwaje mtu anayesimamia sakata la Escrow afukuzwe kwa sasa?
5. Amesema pia kuwa Zitto hana haja ya kubaki CHADEMA kwa kuwa hata akiomba kubaki haitakuwa na mashiko. Pia ameuliza itakuwaje akae meza moja na Tundu Lissu,Wakati Tundu Lissu anatangaza amesema walishamfukuza toka mwaka jana. Naye anaona kuwa Zitto hahitajiki CHADEMA.
6. Pia amesema lengo la kumfukuza Zitto limefanywa kinafiki tu.
7. Amesema kuwa haoni haja ya kulazimisha kila mtu awaze kama Tundu Lissu au Mbowe au Slaa.
9. Pia amesema kuwa mgogoro huu ni funzo kwa Zitto, Wanachadema na Watanzania kujua aina ya viongozi walionao.Pia amesema kuwa migogoro hii isitumike kujenga chuki.







CCM INA WENYEWE NA WENYEWE NDIO HAO

 Mh Lowassa na Mh Nape Monduli shughuli zinaendelea
Mh Lowassa akiwa na Mh Kinana Monduli.

UINGEREZA NA KAMPENI ZA UCHAGUZI LEO ED MILLIBAND YUPO BIRMINGHAM AKINADI SERA ZAKE

 SNP NA LABOUR .CONSERVATIVE KAMPENI ZAO
RAIS WA EU NA CONSERVATIVE NI UKIP KAMPENI ZAO

MAGAZETI YETU NA SIASA


 MAGAZETI YETU NA SIASA ZETU CCM NA CHADEMA,ZITO NAYE ANAOMBA NGUVU YA WATU WAKE JIMBONI KAZI IPO HAPO





Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS