KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 23 December 2020

CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NI SHEREHE KUBWA KWA NCHI ZA MANGARIBI NCHI ZA UCHUMI WA JUU KWA WANANCHI WAKE KUTUMIA MUDA MWINGI KUHIFADHI PESA KWA AJILI YA SHEREHE HIZO.KWA SASA GONJWA LA CORONA LIMEHARIBU KILA KITU MIGAHAWA IMEFUNGWA NI KUNUNUA VYAKULA NA KWENDA NAVYO KWAKO SIO KUKAA NA KULA HOTELINI

Kwa wenzetu Krismas ni sherehe kubwa na muhimu sana kutokana na gonjwa la Corona mataifa mengi yamezuia mikusanyiko mingi lakini watu bado wanapinga na serikali kutokana na wataalamu wa sayansi wanasema kuzuia watu wasikutane ni kupunguza maambukizi.Tumuombe Mungu atuepushe na huu mlipuko wa pili wa Corona inasemekana ni hatari na rahisi kuambukiza kuliko ule wa mwezi wa Tatu.

CORONA INAVYOSUMBUA UINGEREZA WAMEGUNDUA AINA MPYA YA CORONA AMBAYO NI RAHISI KUAMBUKIZA.WAMETUMIA TIER 4 KWA BAADHI YA MIJI NA SASA WANATAKA KUWEKA TIER 4 KWA NCHI NZIMA MUNGU TUNUSURU NA GONJWA HILI AMBALO LINAAMBUKIZWA KWA HARAKA

Sherehe za Krismas zimeingia doa kwa watu wengi kutegemea kuwatembelea ndugu zao na zawadi za Krismas sasa ni Corona ikifuatiwa na kufungiwa kwa wananchi nchi nzima ya Uingereza ifikapo Boxing day.

Tuesday 1 December 2020

CHADEMA NA SINEMA ZA SIASA YA VYAMA VINGI TUENDAKO CHADEMA WAWE MAKINI NA MBINU ZA KISIASA

Halima Mdee azungumza kwa vijembe kwa wanachama Wanawake waliongelea kufurahia kuvutwa Uanachama na kamati kuu ya chama Vijembe sio jibu la suala lao ni muhimu kuongelea zaidi kutaka kuwa na kikao cha majadliano
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS