KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 22 April 2020

JPM DAR HAITAFUNGWA KUZUIA WATU KUFANYA SHUGHULI ZAO ZA KIUCHUMI KUTOKA NA MAAMBUKIZI YA CORONA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu hali ya ugonjwa wa Corona nchini, ambapo kabla ya kikao hicho Mhe. Rais amemuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto .Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.

WAZIRI WA MADINI ATAJA VIPAUMBELE 11 VYA KUONGEZA MAPATO YA MADINI NCHINI


 Dodoma,waziri wa madini Mh Dotto Biteko amesema katika mwaka 2020/21 Wizara itaongeza ukusanyaji wa maduhuli yatokananyo ya rasmali ya madini .katika kuimarisha ukusanyaji wa mapatoya serikali wizara imepanga kukusanya shilingi Bilioni 547.7ikilinganishwa na shilingi bilioni 476.38 kwa mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la asilimia 14.98alisema Biteko.

BENKI KUU YA TANZANIA YATOA MAELEKEZO KWA WANANCHI WANAENDA BENKI KUVAA BARAKOA

BOT imewataka wananchi wote wanaoenda Benki Kuu kuvaa barakoa kujikinga na maambukizi ya Corona.Kwa hali ya sasa kuvaa barakoa ni jambo la muhimu kujikinga na Corona maana maambukizi yanapitia hewa.
Kutokana na msemaji wa Benki Kuu hili jambo ni muhimu kwa Afya ya watu wote wafanyakazi na wateja wa benki kuu.Tuige mfano huo wa Benki Kuu kwa sababu hatujui ni nani kaambukizwa na nani mzima hana corona.

ASKOFU KATOLIKI HAZUIA WAUMINI KWA SABABU YA CORONA

Askofu wa Miwemugizi wa kanisa katoliki afafanua kuzia ibada kwa waumini kutokana na ugonjwa wa corona.
Tukifuatilia suala la Corona tunaambiwa tukae mbali mita 1 au mita mbili ili tusiambukizane haya ni masharti ya shirika la Afya duniani.Kwa askofu kuzuia hilo ni muhimu ila kwa serikali bado hawajatangaza kuzuia.
Tuzidi kuomba Mungu kwa kukaa mbali mbali waumini tutumie Ujuzi aliotupa Mungu kwa kutambua maagizo na kuona matatizo yanayotokea kwa watu wa nchi zingine maana madhara yake ni makubwa. 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS