KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 10 December 2017

SNOW BARAFU IMEKUWA GUMZO WA WATU WA NCHI ZA ULAYA MWEZI HUU WA DESEMBA WATU WENGI WANATEGEMEA KRISMAS NYEUPE KAMA LEO BARAFU 10 INCHI

Watoto wanafurahi sana snow kwa kutengeneza snow man na kurushiana snow,wazazi wanafurahia kidogo kwa sababu ya bill za umeme na gesi zinaongezeka

Wednesday 28 June 2017

LONDON JIJI LINALOKODISHA BAISKELI KAMA VILE TANGA AU MOROGORO

Marsha yanafanana sana tofauti ni maendeleo ya teknolojia.Ukiwa Tanga unakodi baiskeli kwa kujuana na mwenye baiskeli.Ukiwa London unatakiwa kuwa na kadi ya bank tu unakodi kwa kutumia kadi ambayo unalipia hiyo huduma.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS