KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 25 November 2020

MARADONA SIFA ZAKE NA MATATIZO YAKE

Maradona mchezaji aliyekuwa na uwezo mkubwa wa kucheza,mwenye hasira,mtumiaji madawa ya kulevya.Ameacha historia kubwa kwenye medani ya mpira wa miguu. Waingereza hawatamsahau Maradona kwa kuwafunga goli la mkono.

DIEGO MARADONA AFARIKI ARGENTINA YATANGAZA MAOMBELEZO YA SIKU TATU.Maradona kuzikwa kwenye Enron la makumbusho ya Taifa yanaitwaCASA ROSADA yalijengwa meaka 1580

Maradona baada ya kupasuliwa kichwa na kutoa damu iliyoganda kwenye ubongo,Maradona aliruhusiwa hospital lakini ndani ya wiki mbili umauti umemkuta.Mungu amlaze pema peponi Amina.

Monday 2 November 2020

LISSU NAYE AKAMATWA SASA VIONGOZI WAKUU WA CHADEMA WAKAMATWA KISA KUAMASISHA WANANCHI KUANDAMANA PASIPO KIBALI.SASA KAZI YA KUWAWEKA NDANI WAPINZANI IMEANZA TUNGOJEE MENGI YATATOKEA

Tundu Lissu kamatwa akitokea katika ofisi za Jumuia ya Ulaya na baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwa kikaoni Freeman Mbowe na Godbless Lema walikamatwa na baadhi ya wafuasi 30 wa Chadema wawekwa ndani polisi kwa uchunguzi.

TANZANIA SABABU ZILIZOSABABISHA UPINZANI KUSHINDWA KWA KISHINDO NI KAMA HIZI ZA KUSUSIA BUNGE KWA KUFIKILI WANANCHI WANAPENDA AU WANAWAUNGA MKONO.UPINZANI KUTUMIA STAILI ZA NCHI ZILIZOENDELEA WAKATI WATANZANIA BADO HAWANA ELIMU KUBWA YA UPINZANI.

Upinzani kutokuwa na ujuzi wa kujua wananchi wanataka nini?mfano Chadema walikuwa na tatizo la baadhi ya wabunge kutoa malalamiko kwamba chama chao kiliwakata pesa kwa ajili ya kuendesha chama ile kashfa ilikzimwa na kuelezwa na msemaji wa chama lakini kwa muda mrefu huku wananchi hawajui kinachoendelea Tukirudi kwa wenzetu wa Zanzibar wao walifukuzwa Bungeni kwa kufuata kauli ya Maalimu Seif hawakurudi tena mpaka uchaguzi huu kwa makosa hayo ni mojawapo ya sababu kubwa kushindwa kwa upinzani. Kazi sasa ni upinzani kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao na sio kuandamana Watanzania ni Wajumbe hawataki taabu.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS