KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 24 March 2013

WALI MAHARAGE,KACHUMBARI NA CHACHANDO YA LIMAO NA PILIPILI HAAAA HAPO WATU HAWACHEZI MBALI NA NYUBANI

Chakula cha watoto nyama mchuzi kwa wali haifai kabisa,maharage ya nazi na wali hapo unashiba mpaka jioni.Ndugu zangu hapa wanakula kwa pamoja na chakula kinakuwa kizuri maana ni kila mtu kuonyesha uwezo wake wa kula.

MAGAZETI YETU LEO



Saturday 23 March 2013

SIASA ZETU ZINATUUNGANISHA VIZURI WATU WAPO PAMOJA NDIO MAENDELEO

Rais akiwahutubia wananchi wakiwa na bendera za vyama vyao ni nzuri sana kwa maendeleo ya Nchi yetu.

WATANZANIA WA BIRMINGHAM NA COVENTRY WAKIWA KATIKA ARUSI YA DINES NA STACHA








IRINGA MAHINDI MWAKA HUU WATAPATA NA KALE KAPOMBE KATAPUNGUA BEI KWA SABABU MAHINDI WATAPATA MENGI




FAMILIA YA MCHUNGAJI CHATAWE WAKISHEREKEA BURUDANI YA NGOMA KUTOKA KIGOMA TUSISAHAU KWETU

 Mchungaji Chatawe na mwanae na pembeni Mama Chatawe wakiburudika ngoma ya kwao Kigoma.


SCOUT SCOUT DUCHESS OF KATE AKIWA KATIKA SHUGHULI ZA SCOUT


Akiwa na viongozi wa scout wakitazama maonyesho ya watoto ndio kazi za jamii wanazofanya watu mashuhuri.
 Kuuliza sio ujinga naye Kate akimuuliza kiongozi wa Scout jinsi ya kuwasha moto kwenye barafu kama inavyoonekana katika picha.
Wakichoma mikate kwa kienyeji ndio kazi ya Scout nzuri sana na kwa watoto ni nzuri kujiunga nayo maana inawajenga kuwa wakakamavu na wavumilivu.

MAGAZETI YETU LEO




Rio Ferdinand ni mpiganai mzuri ambaye anajihamini na kucheza tena timu ya Taifa ya Uingereza ni vigumu kwa sababu sifa moja ya Muingereza ukiisha sema kitu hakuna wa kukubembeleza.ndio sifa yao

Wednesday 20 March 2013

Top 10 best-paid coaches in 2012-13 (Source France Football – figures in Euros)

Kenny Daglish kocha wa Liverpool ndio anayeongoza kulipwa pesa nyingi Uingereza.

Fabio Capello Kocha wa Taifa Russia
1. Jose Mourinho (Real Madrid): 14m
2. Carlo Ancelotti (PSG): 12m
3. Marcelo Lippi (Guangzhou Evergrande) : 11m
4. Guus Hiddink (Anzhi Makhachkala): 10.8m
5. Kenny Dalglish (Unemployed): 10m
6. Arsene Wenger (Arsenal): 9.4m
7. Fabio Capello (Russia): 9.2m
8. Roberto Mancini (Manchester City) 7.6m
9. Sir Alex Ferguson (Manchester United) 7.5 m
10. José Antonio Camacho (China) 6.1m

WATANZANIA ROME NAO WATUWAKILISHA KWENYE SIKU YA KUSIMIKWA KWA PAPA

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS