KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 5 June 2013

VITA NDANI YA SYRIA VINAENDELEA-MAJESHI YA SERIKALI YAURUDISHA TENA MJI WA QUSAYR BAADA YA MAPIGANO YA WIKI NA MAJESHI YA WAPINZANI WA SERIKALI YA ASSAD

Wanajeshi wa Serikali ya Syria wakitembea baada ya kuukomboa mji wa Qusayr leo kwa mapigano,Majeshi ya Upinzani yamejitoa lakini wanasema watarudi tena kwa mapigano.

RAIS WA KOREA KASKAZINI ALIZITISHA NCHI MBILI MAREKANI NA JIRANI YAKE KOREA YA KUSINI KWA KUZISHAMBULIA KWA MAKOMBORA,LAKINI SASA NI KIMYA TUNASHUKURU MUNGU KWA KUEPUSHA VITA HIYO.

Rais wa Korea ya Kaskazini.
Bomber 2 Marekani,ndege zinazotumika kuanzisha vita kwa Marekani hakuna kitu kinachoweza kuikamata hii ndege ina sifa tofauti na ndege zingine,haipigwi na kombora lolote,haionekani kwenye Lada,inavyopita mawasiliano yanakatika.

Kombora la Korea Kaskazini
B-52 Marekani.


RAIS KIKWETE ZIARANI SINGAPORE NI ZIARA YA KUKUZA UHUSIANO WA KIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA SINGAPORE



Rais Kikwete akiwa na Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam katika Ikulu ya Singapore.


WAKAZI WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KWA WINGI KUAGA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR VIWANJA VYA LEADERS





                      Taswira za shughuli ya kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwair zafanyika leo.

BEYONCE SIO MJAMZITO WATU WALIZUSHA MAMBO,ATUMBUIZA LONDON NA MUME WAKE JAY-Z


  1. Jay-Z akiimba na mke wake Beyonce London akiwaonyesha wapenzi wake wa muziki Beyonce sio mjamzito.

MICHAEL JACKSON FAMILIA YAKE MATATANI BAADA YA MWANAE WA KIKE PARIS MICHAEL JACKSON KUJARIBU KUJIUA MWENYEWE APELEKWA HOSPITAL


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS