KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 19 October 2013

GARI LA USAFIRI KWA AJILI WA WAIGIZAJI WA SINEMA WA HOLLYWOOD LIKIWA NIMESHEHENI KILA KITU VYUMBA STUDIO ZA MAHOJIANO


YANGA NA SIMBA BIASHARA KUBWA INAYOTISHA TANZANIA LAKINI WACHACHE WANAFAIDI WENGINE HAWAFAIDI.MICHEZO NI BIASHARA KUBWA SANA ILA TANZANIA HAKUNA ANAYETAKA KUONGEZA FAIDA KWA WATANZANIA ILA WACHACHE WANAFAIDI,KUANZIA MILANGONI NA POLISI.

Washabiki wa Yanga na Simba wakitangaza mechi hiyo kupitia VODA com,biashara hiyo ni maendeleo makubwa kwa soka letu.

KIJANA ALIYEPOTEZA FAHAMU WAKATI WA HALAIKI SIJUI ALISAIDWAJE WAKATI WIMBO WA TAIFA UKIPIGWA.ILI NI SOMO NITAMUULIZA NDUGU YANGU WA NJOMBE BAADAYE


Mtoto aliyekuwa akicheza halaiki akiwa amepoteza fahamu baada ya kuanguka ghafla wakati wa kuimba wimbo wa Taifa

MAGAZETI YET LEO

 CHINA WAKITUSAIDIA KUJENGA RELI TUTAKUWA NA MAENDELEO YA USAFIRI.
 MSHAHARA WA RAIS UNATISHA BADO ATALIPWA PENSION BADO ATATUNZWA MPAKA MWISHO WAKE NA MAWAZIRI WETU WAKUU,SHULE HAKUNA MADAWATI DU.
POLISI NDIO ZAO HAKUNA WASIWASI INASIKITISHA UNAPOENDA KUOMBA MSAADA WA KULINDWA NA MTU ANAYEKUTISHIA MAISHA WAKATI POLISI WOTE 
AMEWAWEKA KIGANJANI.

Friday 18 October 2013

AFGHANSTAN PICHA ZA SHEREHE YA IDD ILIVYOSHEREKEWA NCHI MBALIMBALI NA SYRIA

Watoto wa Afghanstan wakiwa na furaha ya Idd wakichezea siraha za plastiki bunduki na bastora
Watoto wa Syria kwenye vita Jijini damascus wakiwa wanabembea kwa kuzunguka ingawa vita ipo hapo lakini michezo kama kawaida na ilikuwa siku ya Idd.

TEMBEA UONE KIATU NAMBA 20 NIKE NA WATU WAPO WENGI TU WANAJARIBU NA KUNUNUA


Hivi ni viatu namba 20,nilikuwa sijawahi kuona jana katika tembea tembea duka la Nike nikaviona hivyo na watu walikuwepo wanajaribu hiyo namba 20.Ukiangalia pana maboksi yenye namba 17 na la chini ni namba 20 tusubiri labda kuna namba 25 zaidi.

MZEE MTEI ATETA KUHUSU MWALIMU NYERERE VIZURI,AELEZEA UKWELI WA MWALIMU NYERERE LAKINI LA KUSEMA LABDA NYERERE ANGEAMIA CHADEMA MMMM SIJUI.

Aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha na Gavana wa Tanzania (BoT) na baadaye mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei ameeleza jinsi alivyokuwa karibu na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere hadi kupata kazi hiyo ya juu.
Zaidi, kwenye mahojiano maalumu, nyumbani kwake Tengeru, Arusha, Mtei anabashiri kuwa iwapo kiongozi huyo angekuwa hai hadi leo, bila shaka angeachama na chama chake alichokiasisi na kujiunga na Chadema. Endelea…
Swali: Umepata kufanya kazi na Mwalimu Julius Nyerere, hivi huyu alikuwa ni mtu wa aina gani?
Jibu: Nilimfahamu Mwalimu mwaka 1959 mwishoni niliporudi nyumbani nikitokea masomoni Makerere nchini Uganda

Thursday 17 October 2013

KOCHA WA ENGLAND ROY HODGSONS ALIKUWA HANA RAHA KATIKA KIPINDI CHOTE BAADA YA KUANZA KUIFUNDISHA ENGLAND MAANA WAPENZI WA MPIRA WANATAKA USHINDI.

Kocha Roy Hodgsons kocha ambaye hakuwa na furaha wakati timu yake ya Taifa ya England ilipokuwa na nafasi finya ya kuingia kombe la dunia baada ya kutoka sare na Montenegro ambapo wachezaji wa zamani walimlaumu sana kocha wa timu hiyo kwa kuendesha isivyo timu hiyo.Bahati nzuri sasa kocha Roy analia kivulini hakuna matata.

ENGLAND YAINGIA KOMBE LA DUNIA KWA KUZIDI POINTI MOJA KATIKA KUNDI LAO WAKIFUATIWA NA UKRAINE SIFA KWA KOCHA WA ENGLAND ROY.

Goli la kichwa la Rooney liliipa nguvu England na kuweza kupata tena goli la Pilili lifungwa na Gerrald.
Gerrald akishangilia kwa nguvu zake zote wamefuzu kwenda Brazil England hawanatena ugonjwa wa moyo.

SIKUKUU YA IDD INDIA NI MSIKITI WA NEW DELHI WATU NI WENGI SANA INDIA NA WAUMINI WAMEJAA SANA MSIKITINI


WAUMINI WA KIISLAM BANGLADESH WAKIWA NJIANI KURUDI NYUMBANI KWA MATAYARISHO YA IDD NA PICHA YA PILI NI MSIKITI WA TAIFA DHAKA


SIKUKUU YA IDD ILIVYOSHEREKEWA ULIMWENGUNI JANA TUKIANZIA NA MECCA SAUDI ARABIA NA ISRAELI.

Sikukuu ya Idd Mecca Saudi Arabia mahujaji toka pande zote za dunia walikuwa Mecca
Jerusalem Idd kijana wa Kipalestina akitoka msikitini Jijini Jerusalem.


Wednesday 16 October 2013

UFUNGUZI WA WADI MPYA JIJINI IRINGA.MKE WA RAIS MAMA KIKWETE ALIFUNGUA WADI ILIYOJENGWA WA HISANI YA WANANCHI WA ITALIA.HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA ILIJENGWA PIA NA WAHISANI KUTOKA ITALIA.





Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifungua rasmi jengo la wodi ya watoto katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa. Hospitali hiyo inahudumia pia wananchi wa Mkoa wa Njombe.  Wengine katika picha hiyo (kulia kwenda kushoto) ni  Baba Askofu Tarciusius Ngalalekumtwa wa Kanisa Katoliki Jimbo la Iringa akifuatiwa na Balozi wa Italia hapa Tanzania Mheshimiwa……..,Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt. Christine Ishengoma, Mama Salma, Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali Mama Mofore na wa mwisho ni mmoja wa wageni waliotoka nchini Italia.

MSIBA WA KIMATAIFA WAAMIAJI KUTOKA AFRIKA NA SYRIA WALIOKUWA NA NIA YA KUINGIA ULAYA KWA KUTUMIA NJIA YA BAHARI YA MEDITEREAN LAKINI SAFARI YAO ILIISHIA KUZAMA KWA BOTI YAO NA KUPELEKEA VIFO VYA MAMIA YA WATU


Papa naye alienda kuwapa pole wale waliopona katika janga hilo.Huu ni upendo ambao unafaa kwa kuwasaidia hawa Wahamiaji wanao kimbia vita,njaa na majanga mbalimbali.
Hii ni njia mojawapo ya kuwapenda na kuwaenzi Watoto kwa kuwawekea Tedd ina maana UPENDO kwa watoto.Watoto wanatakiwa kulindwa na kupendwa maana hawajui kinachofuata au kilichopita.
Haya ni masanduku yenye miili ya watoto waliofariki baada ya boti kuzama karibu na visiwa vya Sicilly Lempodusa yakiwa yamepambwa Teddy kuonyesha UPENDO kwa watoto wasio na hatia hawa KWELI INAUMA.

PICHA ZA MKUTANO WA RAIS KIKWETE NA VIONGOZI WA UPINZANI IKULU SASA ZINATOA MAONI TOFAUTI JAMII FORUM WATU WANATOA MAONI YAO MENGINE NI VICHEKESHO NA MTAZAMO HUSIO FAA KWA JAMII YETU.


Tuesday 15 October 2013

MWIZI WA MWENGE IRINGA AKAMATWA KABLA YA JARIBIO LAKE LA KUTAKA KUHUCHUKUA MWENGE KUSHINDWA.SWALI NI KWELI ALITAKA KUIBA AU ALITAKA KUUSHIKA NAYE AWE NA SIFA YA KUHUSHIKA MWENGE?

Wanausalama wakiwa tayari wamemkamata huyo kijana aliyejaribu kuiba Mwenge wa Uhuru haaa.

IRINGA MJI UNAOGEUKA JANGWA,WANANCHI WAKIWA KIMYA NA KUJISIFU IRINGA SASA JIJI,WANYARUKOLO TUNASIKITISHA SANA KWA KUTOKUJALI MAZINGIRA

 Uwanja wa Samora ona jinsi ulivyokuwa jangwa hii ni sehemu ya kati ambapo wanachezea mpira kwa hiyo inaonyesha viongozi wetu wapo bila kufuatilia hali ilivyo na kutatua tatizo.Ninaanza na WABUNGE na kufuatia na SISI WANANCHI.
Ukitembelea uwanja wa Samora utaona vichekesho maana viti hakuna uwanja tangia mwaka 1977 ulipojengwa haujawahi kufanyiwa matengenezo kweli na pesa ipo ya WALIPA KODI ni AIBU kutokulisema hili ILA ni tabia yetu kuwaona Viongozi wetu ni Miungu Watu.

MAGAZETI YA LEO UINGEREZA NI MPIRA KATI YA ENGLAND NA POLAND NA TIKETI ZIMEISHA YASOME HAYO MAGAZETI VICHWA VYA HABARI


Saturday 12 October 2013

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS