KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 27 January 2013

SEND OFF YA DINES BIRMINGHAM JUMAMOSI

 Bibi Arusi mtarajiwa Dines akina mpambe wake Win kutoka Birmingham katika sherehe ya Send off ilifanyika katika ukumbi wa kanisa la st Mathew Nechelles jana Jumamosi 
Bibi arusi mtarawajiwa akiingia ukumbini kwa kunyatanyata akiongozwa na muziki na watu wakimshangilia ni furaha tupu wote ni kufurahi.

MAGAZETI YETU LEO JUMAPILI NI GESI GESI



Monday 21 January 2013

HATA WANYAMA WANASHUKURU






UKUTA WAANGUKA NA KUARIBU MAGARI ZAIDI YA 19 LEO KITUO CHA MABASI UBUNGO.BAADHI YA PICHA ZA AJALI HIYO






Tatizo wanasema Mkandarasi alikuwa akivunja ukuta bila kuweka Tahadhari,lakini hawa jamaa waliopaki magari walikuwa wapi?Kazi ni kwa Mkandarasi kwani kosa kubwa ni kwake,Kwa nini umebomoa ukuta bila tahadhari?Tuwaachie wahusika wanaoweza KUCHAKACHUA hakuna tatizo.

 

Friday 18 January 2013

JAMII FORUM RAIS HASHINDWA KUELEZEA MAUAJI YA RAIA YANAYOFANYWA NA POLISI KWA WANADIPLOMASIA KATIKA TAFRIJA


Mauaji ya raia ambayo yanajirudia, katika tafrija kama hiyo ambayo ilifanyika mwaka 2011/12 Rais Kikwete alitamka na kuapa mbele ya Mabalozi kwenye tafrija iliyofanyika Ikulu kwamba mauaji kama hayo katu hayatatokea tena, serikali itafanya kila liwezekanalo hayo yasitokee tena. Nanukuru: "Nawahakikisheni waheshimiwa mabalozi, mauaji ya raia hayatatokea tena, serikali itafanya kila liwezekanalo kuzuia mauaji yasitokee." Leo duniani hadi mahakama ya kimataifa mafaili yaliyosheheni picha mbaya za mauaji ya raia yanayofanywa na polisi zilizoambatanishwa kama ushahidi wa mashtaka dhidi ya serikali ya Kikwete yanamtia kugugumizi kutamka tena mbele ya wanadiplomasia aliowaahidi.

Moja ya kauli ya Kikwete kwamba sakala la gasi Mtwara inatumiwa na wanasiasa kama hoja ya kujiimarisha imefunika mengi ambayo yametokea wiki moja kabla ya tafrija aliyowafanyia mabalozi Ikulu kuukaribisha mwaka mpya kama ilivyoada. Yapo mengi kichwani ambayo vigumu na pengine kupata kigugumizi kuyaongelea kama:
  • Ufisadi serikalini
  • kuficha pesa Uswis
  • Senator ya Marekani kumtuhumu kuvunja haki za binadamu katika utawala wake kwa polisi kuua raia bila kukemea
  • Kufikishwa mahakama ya haki za binadamu duniani suala la mauaji ya raia yanayofanya na chombo cha serikali ambacho ni polisi
  • Mtafaruku wa ardhi
  • Kutorosha wanyama
  • Mikataba feki nk
  • Utoroshwaji wa madini

  • Pengine ameona aibu kutamka kitu alichoahidi na leo mambo ni mabaya zaidi. Badala yake ametumia tukio la gas Mtwara kama kivuli na mahali pa kujenga hoja ya kuwasema vyama vya upinzania, ambapo katika kampeni za uchaguzi Mkuu uliopita alisema ni vyama vya msimu, leo vinamtesa anakosa usingizi hadi kuweka kando sera za CCM nyingi zisizotekelezeka na kuamua kutumiwa na vyama vya upinzania hasa Chadema kutekeleza sera zake kama suala la katiba mpya.

      Tuesday 8 January 2013

      MBWA ANAPOTOLEWA OUT NA MMILIKI WAKE,KUWA NA MBWA NI LAZIMA UWE NA UWEZO WA KUMTOA NJE NA KUMPELEKA MPAKA HOTELI ZA MBWA NINAJITAHIDI NIWALETEE MATUKIO YA MBWA WAKIWA KWENYE HOTEL ZAO.



      Picha hii ni kwenye Basi la abiria Mama akiwa na Mbwa wake,ametulia kimya anatatizo anavuta pumzi tu.

      MESSI ASHINDA TUZO YA FIFA MARA NNE,HAKUNA KAMA YEYE



      Muargentina huyu hasiyeshikika akiwa na mpira uwanjani,amewashinda wachezaji Andres Iniesta na Christiano Ronaldo.Tuzo aliyoshinda inajulikana kwa jina la Ballon D'or akiwa amefunga magoli 91
      PICHA YA CHINI NI MESSI AKIONYESHA UFUNDI KWA MAKIPA KUPANGUA MPIRA ULIOPIGWA KWENYE PEMBE.Vipaji vyote vyake.

       
       

      UINGEREZA-MWANASIASA WENYE MVUTO KWA WATU WA UK NI MEYA WA JIJI LA LONDON

      Meya Boris akiwa na Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron


      Sunday 6 January 2013

      Thursday 3 January 2013

      LOWASSA MH AWAKARIBISHA WAGENI KWA KUSHEREKEA MWAKA 2013 MONDULI

       

      undefined
      Lowassa akihutubia wageni mbali mbali waliohudhulia hafla ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa ajili ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2013, iliyofanyika nyumbani kwake, Monduli.

      Mbunge wa Jimbo la Kilindi,Mh. Beatrice Shelukindo (wa pili kulia) akiambatana na Mbunge wa Jimbo la Bariadi, Mh. Andrew Chenge wakati wakiwasili kwenye hafla ya Chakula cha Mchana iliyokuwa imeandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mhe. Edward Lowassa kwa ajili ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2013.

      undefined
      Wafanyabiashara maarufu jijini Arusha, Papa King na Mathias (MNEC) wakiwasili kwenye hafla hiyo.


       

      BALOTELLI AKWALUZANA TENA NA KOCHA WAKE ROBERT MANCINI BAADA YA KUMCHEZEA RAFU SCOTT SINCLAIR

      Kocha Mancini akimkuda mchezaji wake Balotelli.Muitali kupigana kwao nafikili ni kawaida lakini kwa Uingereza kupigana au kumpiga mtu ni kesi yenye kifungo kikubwa.Tusubiri matokeo nani atalia kati ya Kocha na Mchezaji.
       

      VIFO VYA WASANII NI PIGO KUBWA KWA SANAA NA WAPENZI WA SANAA,TUOMBE MUNGU ATUPE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI CHA HUZUNI


      UJUMBE WA PAPA KWA WATU 2013



      Papa Benedicto katika salamu zake za mwaka 2013 alizungumzia Amani,Syria vita viishe na Uchumi wa dunia ubadilike.Nitaongelea zaidi baadaye.

      MAGAZETI YETU LEO

      Bandari sehemu ya dili lazima pawe na madudu zaidi.

       
       
       

      Tuesday 1 January 2013

      HERI YA MWAKA MPYA KUTOKA KWA NDUGU YANGU KHERI MWACHALAMILA.ASANTE


      BUNGE LA SENETA LA USA LAPITISHA MSWADA WA OBAMA

      Rais wa Marekani Barrack Obama, amewataka wabunge wa bunge la wawakilishi kupitisha maazimio yaliopitishwa na bunge la Senate kuhusu sera mpya ya uchumi bila kusita.
      Bwana Obama, amesema kuwa makubaliano hayo yanawaokoa asili mia sabini ya Wamarekani dhidi kupandishiwa ushuru na pia yataimarisha uchumi uchumi waa taifa hilo.
      Rais Obama, amesema kuwa kwa mara ya kwanza wanaomiliki mabilioni na mamilioni ya fedha watalazimika kulipa ushuru unaohitajika kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka ishirini iliyopita.
      Wabunge wa chama cha Republican, wamesema kuwa watahitaji muda zaidi kusoma mapendekezo hayo.
      Hata hivyo wantarajiwa kupiga kura baadaye hivi leo.

      KOMBORA LA TOMAHAWK LILILO TISHIO DUNIANI KWA KULIPUKA MARA TATU NA KUARIBU ENEO KUBWA NA KUUA.ISRAELI WALITUMIA JUZIJUZI KATIKA VITA YAO NA HAMAS NA KUTOKANA NA HILI KOMBORA KUUA NA KUARIBU ENEO KUBWA HAMAS WALIACHA KUSHAMBULIA ISRAEL

      MLIPUKO WA KWANZA
       
      MLIPUKO WA PILI
       
      MLIPUKO WA TATU.Niliahidi kutoa picha wakati wamashambulizi ya Hamas kwa Israel.Leo nakamilisha.

      SHAMRA SHAMRA ZA MWAKA MPYA 2013 DUNIANI

      SYDNEY AUSTRALIA HARBOURS
      ATHENS GREECE
      MOSCOW
      HONGKONG
       
       
       
       

      MAGAZETI YETU LEO MWAKA MPYA 2013

       
       
       

      Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
      KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS