KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 7 November 2022

NDEGE INAPOANGUKA NI LAZIMA UCHUNGUZI UFANYIKE WA KINA ILI KUONDOA WASIWASI KWA NCHI ZINGINE KUAMINI TUPO VIZURI KWENYE SUALA LA USAFIRI WA ANGA.NA HABARI KUBWA DUNIA YOTE NI AJALI YA NDEGE ZIWA VICTORIA TANZANIA YAUA WATU 19,SWALI TANGIA JANA MPAKA SASA WATAALAMU WANANWEZA KUTUPA CHANZO CHA AJALI IKIWA NI TATIZO LA KIUFUNDI KWENYE NDEGE AU WAONGOZA NDEGE UWANJANI KWA MAANA HALI YA HEWA ILIKUWAJE JE WALISHINDWA KUMRUDISHA RUBANI ARUDI ALIKOTOKA AU AENDE MWANZA TUNAHITAJI MAJIBU NA WAHUSIKA WAKAMATWE WALIOSABABISHA AJALI

Tukiwa kwenye Ndege uwa tunamkabidhi Mungu uhai wetu na uwa tunawategemea wanaotuongoza kusafiri ikiwa ni Rubani na waongoza ndege wa liopo Uwanjani kwenye hali ya hewa.Swali linakuja je kama mmowapo muongoza ndege wa chini akitoa taarifa za uongo au alilewa nini kitatokea au hali ya hewa ikiwa ilirekodiwa vibaya nini kitatokea nfahamu ni Ajali Niliwahi kutembelea Kituo cha hali ya hewa pale uwanja wa ndege Dar es salaam na kukutana na wanavyofanya kazi na kuwauliza maswali na wakaniambia wanakuwa makini sana wakati KLM inapokuja kwa sababu Marubani wanawauliza maswali mengi ili wawe na uahakika wa kutua salama. Sasa sisi watu wa Precision Air tunayajua hayo au Waziri wetu Mkuu anayafahamu hayo. Embu Wananchi tujue chanzo cha ajali sio hali ya hewa ilikuwa mbaya na hizi sallamu zimfukie Mkuu wa Mkoa Bwana Chalamila afuatilie ili skata na kujua ni ni kwa kuwauliza wale waongoza ndege uwanjani pale. Nategemea tutapata ufumbuzi wa kuzuia tena ajali zisitokee

AJALI YA NDEGE TANZANIA ZIWA VICTORIA -YAHITAJI UCHUNGUZI WA HALI YA JUU ILI KUZUIA TENA AJALI HIZO ZISITOKEE KWA WANANCHI WENGI WANANOTUMIA USAFIRI WA ANGA

Ninapenda kutoa salamu za rambirambi kwa Rais wetu na wananchi wote kwa Ujumla,Nikiwa niliwahi kusafiri na ndege ya shirika hilo mara mbili na familia yangu kwa kweli tunapoa pole kwa wafiwa na Mungu hawape nguvu katika kipindi hiki cha majonzi. NINA SWALI KUBWA KUHUSIANA NA HII AJALI KWANZA KWA WAZIRI WETU MKUU NA SERIKALI Ninmeona na kusikia Waziri mkuu akisema ndege ilivyoanguka ni kwamba anafahamu kwamba uelekeo wa ndege sio ule unaotumika kama kawaida kwa hiyo kuna makosa Sasa je Waziri mkuu kwa kutumia madaraka yake ameweza kuweka Wachunguzi wachunguze ajali kwa nini imetokea na hali ya hewa ilikuwa mbaya je hao watu wanaongoza Ndege wa kiwanjani walimruhusu Rubani kushuka chini na wakati hali ya hewa ilikuwa mbaya Au je ilikuwa ni matatizo ya Ufundi kwenye ndege kwa mantiki hiyo tulitakiwa kuona hao wahusika wote wanahisaidia Polisi kwa Uchunguzi Naomba tupewe maelezo zaidi ili waliokosea wapewe Adhabu yao kuanzia Shirika la Ndege waongoza ndege uwanjani sio kusikitika na kesho tena tukawa na Ajali ya Kizembe tena

Thursday 20 October 2022

WAZIRI MKUU ALIYEJIUZULU BORIS JOHNSON ANAITAJIKA AWEZE KUREJEA KWENYE SERIKALI AMBAPO ALIJIUZULU KUTOKANA NA KASHFA YA KUKIUKA SHERIA ZA COVID

Boris Johnson antajwa kuwa mmoja wapo kugombea nafasi ya Uwaziri mkuu tena akiwa na kura nyingi zilizopigwa kwenye mtandao wa serikali ya Uingereza

WAZIRI MKUU ALIYETAWALA UINGEREZA KWA SIKU 44 AJIUZULU UWAZIRI MKUU BAADA YA KUPUNGUZA KODI ILIYOPELEKEA UINGEREZA FEDHA YAKE KUPOROMOKA ANAITWA LIZ TRUSS

Waziri Mkuu aliyetawala nchi kwa muda mfupi sana Liz Truss wa Uingereza amejiuzulu baada ya kuleta sera zilizoendeleza Wawekezaji kukuimbia Nchi na kusababisha pesa ya Uingereza kushuka.Tatizo la Uingereza ni kwamba ukikosea wwew ni kuondoka sio kuwepo tena kwenye serikali. Hii ni funzo kwa nchi zetu za dunia ya Tatu ambazo Waziri wananharibu nchi lakini bado tunaendelea kumwachia kazi aendelee na bado wananchi wanaumia na hakuna jipya linaloendelea

Tuesday 4 January 2022

UPINZANI TANZANIA BADO HAUNA TIJA KWA WANANCHI-MFANO MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI KUMSIFIA SPIKA KAONGEA VEMA NI KOSA KWA UPINZANI KUMTETEA MTU ALIYEONGELEA MAMBO MAGUMU KWA NCHI SEHEMU HISIYO MAALUM WAKATI YEYE NI SPIKA ANA MAMLAKA YA KUONGEALEA BUNGENI

Leo ngoja tuongelee Upinzani husio kuwa makini na Maslahi ya wananchi Mwenyekiti Mbatia kuongea mbele ya umma kwa kusema Mh Spika kafanya vizuri kuongea nchi inakopa sana hiyo sio siasa ya vyama vingi na ni kosa kwa kiongozi kama Mbatia kusema hayo.Rais kaongea vema kuliko Mwenyekiti Mbatia Sasa Tuanze na makosa mengi yanayofanywa na Upinzani ikiwepo suala la kuwaeleza Wananchi ni jinsi gani Serikali iliyopo madarakani inavyotumia pesa za umma na matumizi makubwa ya pesa za serikali. Kuwa na viongozi kama Wakuu wa Mikoa Wakuu wa Wilaya ambao hawahitajiki kwenye uongozi maana tuna Mameya na tuna wakurugenzi leo hii Mwenyekiti Mbatia anamsifia Spika kaongea vema. Upinzani hauongeleei Uchumi kwa nini wafanyakaz hawapandishwi mishahara miaka sita sasa na kwa nini huduma za Afya zipo duni na Elimu ipo hivyo hivyo wao kama Upinzani watafanya nini ili kuwapa wananchi maisha bora sio wangjee kampeni na kuongea kuhusu Spika hasiye kuwa na uwezo wa kuongoza wabunge. Wananchi wanahitaji Elimu nzuri ya matumiziya pesa zao za kodi nani anawasemea ni upinzani lakini upinzani wetu hawana habari ya Uchumi wetu na matumizi ya serikali. Ukija kwenye Afya hospital zetu zipokwenye hali duni ya kukosa vifaa tuna majengo na vifaa hakuna na serikali ya CCM wanajisifia wapo vizuri kwenye huduma za Hospital nyingi za mikoani hawana mashine ya CT Scanner kwa kutumia kupiga picha za ndani ya mwili X ray upinzani hawana habari.Je nani atawasemea wananchi ni upinzani kuwaelezea wananchi nao wafahamu ili waweze kuwachagua. Wapinzani kutumia Ruzuku kwa kutokuendeleza chama mfano kuna vyama vilikuwa na wabunge wengi na Ruzuku kubwa lakini hata kujenga ofisi ya Chama hawana sasa imani kwa wannachi itatoka wapi. Upinzani Tanzania ni lazima kubadilika sasa na kuwaelimisha wananchi kila leo kuhusu serikali ilikwama na wao watafanya nini Kazi kwenu Upinzani kama unataka kuongoza nchi.

HIVI VIKATUNI VYA MH SPIKA NI MUHIMU KWA MH SPIKA KUACHIA NGAZI INGAWAJE KATUBU NA KUOMBA MSAMAHA MUHIMU BILA KUSEMEWA NA KULINDA HESHIMA YAKE SPIKA INABIDI USPIKA

Siasa zetu zimejawa na watu wasikuwa na weledi wa kutambua mazuri na mabaya wanapozungumza ambalo ni kosa kubwa saa katika Uongozi wetu viongozi wengi wanaongoza kwa kujiamini na kuwa na maamuzi yasiyofaa kwa sababu ni kiongozi Tuwe makini na viongozi wetu na tuwe na uwezo wa kuwaambia viongozi wetu hachia uongozi utufai ili tuwe na nidhamu ya uongozi.

CCM TANZANIA WANACHAMA NA WABUNGE KWA UJUMLA MUONDOENI HARAKA SPIKA WA BUNGE MH JOB NDUGAI KWA HESHIMA YA BUNGE KWANI WANANCHI KWA UJUMLA WAMEMSIKIA RAIS AKISEMA MTU ALIYEMWAMINI NA KUWA KIONGOZI WA WABUNGE,KWA KULINDA HESHIMA YA CCM NA WABUNGE NA WANACHAMA WOTE WA CCM NA WANANCHI KWA UJUMLA KWA NINI ASIONDELEWE MH SPIKA KAMA YEYE ASIPOJIUZUU

KUTOKANA NA MANENO ALIYEYATOA rAIS MAMA SAMIA NDUGAI ANGEKUWA AMEISHA ANDIKA BARUA YA KUJIUZULU kIPINDI CHA MWALIMU NYERERE KESHO WANANCHI WANGEANDAMANA KUMUUNGA MKONO RAIS NA KUMWOMBA AMFUTE KAZI SPIKA JOB NDUGAI Matatizo ya Spika Job Ndugai ni mengi na hafai kuwaongoza wabunge hana sifa za kuwa Spika ambaye ni mkuu wa Mhimili wa bunge la Tanzania ni haibu kuwa na kiongozi kama huyo mkuu bungeni. Ni Spika aliwapiga watu kwa fimbo wakati wa kampeni Ni Spika huyu huyu alimsema Yesu Ni Sika huyu huyu alisema yeye ana faili Milembe Sasa wakati umefika kumtoa au Yeye Spika aachie madaraka kwa heshima ya CCM na wabunge wote Kazi kwa CCM vijana wameisha sema sas ni utekelezaji wa vitendo ili iwe fundisho kwa watu viongozi wengine

RAIS SAMIA LEO AHUTUBIA WANANCHI KERO ZA SPIKA WABUNGE ZIMEMWEKA KUWA MTU ALIYEMWAMINI NDIYE MUONGEAJI OVYO

Sakata la Spika wa Bunge la Tanzania lilnalosemwa alina meno linazidi kujionyesha baada ya Spika Job Ndugai kuelezea matatizo ya kukopa huku akimuelekezea Rais Samia anakopa na kuingiza nchi kwenye madeni. Job Spika aliongea ukweli lakini aliongelea sehemu hisiyo takia ilitakiwa azungumzie Bungeni kwenye vikao vyao,kutokana na hilo Job Spika anatakiwa kujiuzulu kwa manufaa ya nchi kwani hatuna imani naye kama Rais kamsema adharani kwa wananchi wote ni aibu kuwaongoza Wabunge huku akiwa hana kasoro nyingi kiongozi. \Spika jiuzulu kwa heshima yako uwe kama Wahehe hawapendi kusemwa na mtu mzima
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS