KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Friday 27 December 2013

MTANZANIA AKAMATWA MACAO CHINA NA MADAWA YA KULEVIA KETE 64,MWANAMITINDO MTANZANIA AMBAYE ANAJULIKANA SANA




Mwanamitindo na video vixen maarufu, Jackie Cliff mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao.

Jackie, ambaye pia aliwahi kushiriki mashindano ya umiss na kushika nafasi ya juu alikutwa na dawa hizo tumboni mwake baada ya kushtukiwa airport na kufanyiwa X-ray.

Baada ya uchunguzi alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.Mrembo huyo ambaye hivi karibuni ali-hit kama video vixen katika video ya Nataka Kulewa ya Diamond Platinums, alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita.
Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko China.

MAGAZETI YETU LEO





WABUNGE NAO NI WATU KAMA WATU WENGINE.KUJICHUBUA KUNA SABABU ZAKE MOJA NI KUONYESHA UNA NGOZI INAWAKA UNA PESA,JAMNI TUWAACHE WAONEKANE NAO WANAUWEZO,LAKINI HATA WATU WA MANZESE UWANJA WA FISI NAO WANAJICHUBUA

Kuwa na ngozi nzuri ni kula tu chakula bora utaonekana unawaka wanaita ana SIA jamani.

JASUSI AU MKARANDASI ALIYEKUWA AKIFANYA KAZI KATIKA SHIRIKA LA UPELELEZI LA MAREKANI(ALIYEASI)SASA ANAISHI URUSI KAMA MKIMBIZI,ATOA SALAMU ZA MWAKA MPYA AKISEMA HAKUNA SIRI YAANI WIGO KWA VIJANA KUTUMIA MITANDAO MAANA WANAANGALIWA YAANI HAKUNA(WIGO)

Kijana Mkandarasi wa NSA National Security Agency Edward Snowden ambaye ameharibu SIRI za kijasusi za USA kwa kueleza wanavyokufuatilia Mawasiliano ya Simu za Viongozi kama Chancellor wa Ujerumani,Marekani inavyofuatilia EU na hakuna Wigo wowote unavyotumia Internet watu wanajua kila kitu wanaweza kuona unachofanya iwe Siri.
USA wanamwita Mkosaji na wakimkamata hukumu yake ni Kifo kutokana na sheria ya Marekani.Sasa anaishi Urusi kama mkimbizi.

Thursday 26 December 2013

MANCHESTER CITY YAIFUMUA BILA HURUMA LIVERPOOL 2-1

 Kocha wa Man City Pellegrini acheka.
 Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers alia

BIBI MLOWOKA AKIWA NA WATOTO ZAKE WAKIPATA PICHA YA PAMOJA-ANAWAPA SALAMU ZA MWAKA MPYA UNAOKUJA 2014

Bibi Rustika Sechangwa Mlowoka maskani yake kwa Iringa ni mtaa wa Mlowoka Kata ya Kilosa Mlandege nyuma ya Jukwaa la Uwanja wa Samora Iringa au nyuma ya Bar ya Miami.Bibi anapenda Pipi za kijiti ndio chaguo lake Lolly pop anasubiri zawadi yake nami mwaka mpya atapokea mifuko miwili ya Lolly pop

DHAHABU ZINAVYOTUMIKA SISI AFRIKA TUNATOA DHAHABU LAKINI MATUMIZI YAPO ULAYA.TANZANITE NAYO INASOKO ULAYA



UINGEREZA SASA KUONGOZA KWA UKUAJI WA UCHUMI ULAYA YAWAPITA WAJERUMANI NA WAFARANSA SASA POUND JUU


Kutokana na wataalamu wa Uchumi duniani watangaza Uingereza ndio nchi yenye uchumi mkubwa katika bara la Ulaya,ikizipita Ujerumani na Ufaransa.
Sababu za Uingereza kuwa juu kiuchumi ni kwamba
-Ukuaji wa Idadi ya Watu.
-Nguvu ya biashara nje ya Ulaya.
-Kupungua kwa Utegemezi KUKOPA.
Tosamawe Naongezea Ubepari Mkubwa.
Ubepari unauzuri wake katika Uchumi Wachache kumiliki njia za Uchumi.

WATU KUTOKA AFRIKA WANATUMIA KILA NJIA ILI WAWEZE KUINGIA ULAYA HAWA NI WATU WA ERITEA WAKIWA HAI BAADA YA WENZAO ZAIDI YA WATU 300 KUFA MAJI BAADA YA BOTI WALIOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA AFRIKA KUZAMA KATIKA BAHARI YA MEDITTERANIA

Hawa vijana kutoka Eritea walioponea chupu kuzama katika bahari ya Mediterranean waliokolewa na vyombo vya usalama vya Italia katika kisiwa cha Lempasuda Italia wakiwa na furaha na Huzuni baada ya kuingia Ulaya.Maisha mapya Ulaya ni tegemeo lao na wameisha fika hawana tatizo watakaa kwenye Ukimbizi mwishowe watakuwa raia.Ninawaangalia hawa jamaa wanapendana sana wenyewe na ukitaki wasiongee Mkaribisha Muethiopia hawataki kuongea naye ndio walivyo.

TAA ZA KRISTMAS ZINAVYOPAMBWA NA WATU KWENYE NYUMBA NA KUSHINDA KUWA BINGWA WA MAPAMBO KAZI NI KUJITAHIDI KUPAMBA NA KUWA BINGWA


MANCHESTER CITY VS LIVERPOOL MPAMBANO BADO UNAENDELEA KWENYE UWANJA WA MAN CITY MATOKEO O-O MPIRA BADO UNAENDELEA

Suarez na Kompany              

MARTIN LUTHER KING NA I HAVE A DREAM KATIKA JIJI LA WASHINGTON NDIO MSINGI MKUBWA KWA WATU WEUSI USA NA ULIMWENGUNI KOTE


HITLER ADOLF ENZI HIZO MUNICH ALIPOKUTANA NA VIONGOZI KUTOKA UINGEREZA,ITALIA NA UFARANSA KUZUNGUMZIA MIPAKA YA ULAYA


MAO ZEDONG MIAKA 120 YA KUZALIWA KWAKE ALIFARIKI MWAKA 1976 MWASISI WA UJAMAA KWA TAIFA LA CHINA

 Mao akiwa kwenye harakati zake mwaka 1933


KRISTMAS BOXING DAY WATU WAENDA MADUKANI KUANZIA SAA 9 ZA USIKU KUPANGA FOLENI ILI WAWAHI KUINGIA MADUKANI KWA SABABU BEI IMEPUNGUA NA KUWAHI VITU VIZURI HALI YA UINGEREZA


 Watu wakiwa katika  foleni kuingia dukani.
 Walinzi wakiwa wanawazuia watu wasiingie ila wajipange kwa mstari.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS