KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 29 January 2014

Monday 13 January 2014

ISRAELI NA KIFO CHA SHARON AMBAYE ALIKUWA MGONJWA TANGU 2006 NA AMEFARIKI ILIKUWA NI VIGUMU KUAMINI KAMA HUU KIONGOZI ALIKUWA BADO HAI

Sharon akiwa na mtoto wake Bungeni enzi za uhai wake,anazikwa leo 

HATARI HATARI HATARI KINGOZI WA WACHIMBA MADINI WA TANZANITE AKIWAELEZA WAGENI JINSI KAZI YA UCHIMBAJI INAVYOFANYIKA KWA UFASAHA LAKINI

Nimeipenda sana hii picha lakini ni hatari kwa kiongozi anayeonyesha wageni lakini akiwa amesimama kwenye kiberenge ambapo kinaweza kurudi nyuma na kumgonga yaani inasikitisha sana.Sijui kama yupo salama au Bongo tambarare.

KIKOSI CHA MAKAMANDOO WAKIONYESHA KAZI ZAO KWA WANANCHI,KWELI UKIWASIMULIA WATU KWAMBA TUNA KIKOSI CHA MAKAMANDOO WATU MITAANI WATAKUITA WEWE UNADANGANYA TANZANIA HATUNA MAKAMANDOO ETI WAPO CUBA TU,STORY ZA MITAANI.

Hawa ni makamandoo wetu na kikosi kikubwa kipo Morogoro wanatisha hawa jamaa ukijidai mjanja wanaweza kukuvunja shingo kwa sekunde.

SHEREHE ZA MAPINDUZI ZAFANA NAMI NAFURAHI KWA WENZETU TULIOWAKOMBOA KWA KUMTOA MWARABU WANAVYOSHEREKEA LAKINI WAPO WENGINE BADO WANASEMA HAWAYAKUBALI MAPINDUZI SAWA KILA MTU ANAWEZA KUSEMA ANALOTAKA

 Askari wakati wa ukoloni hapo anaendesha gwaride na maneno ya kuwasema waafrika wakati naye ni mwafrika ilikuwa vichekesho sana nilipokuwa JKT Afande ananiambia wewe Black People kuja hapa.
Hapa anakuangalia kama umekosea step,ukikosea unalo gongo la mguuni wewe Black People mambo yako mabaya tu

TATIZO LA MAJI DAR ES SALAAM NI SAWA NA KUOKOTA DHAHABU BAHARINI,MIAKA NENDA RUDI TATIZO LIPO PALE PALE


Waziri wa Maji akikagua mitambo ya maji na utandikaji wa mabomba mapya lakini bado wakazi wa Dar ni kilio tu cha maji.

Monday 6 January 2014

MAN U WANAULIZANA KWA NINI MOYES HASIFUKUZWE UKOCHA WA MAN U AMEISHA POTEZA MECHI NYINGI NYUMBANI!!

Moyes akiinamisha kichwa chini baada ya kipigwa kingine jamaa anatia huruma sana hana nafasi ya kujitetea

MESSI MESSI -THAMANI YAKE IMEFIKIA DOLA KARIBU MILIONI 600,ANAWINDWA NA TIMU YA PARI SANT'S GERMANY


Akiwa amemzidi Christiano Ronaldo mara 5,hakuna mchezaji bora hapa anayemzidi Messi.Kuna timu inasaidiwa na serikali imeonyesha nia ya kumnunua,nafikili ni jirani zetu wenye pesa za kuchimba.

MASHOGA WAMJIA JUU EVANDER HOLYFIELD BAADA YA KUSEMA MASHOGA WANAWEZA KUTAFUTA NJIA NYINGINE YA KUTOKUWA MASHOGA AMESAKAMWA NA WATU WENGI WAKISEMA HATOKE KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER


Tyson na Evander,Tyson akimng'ata jino kwenye sikio mwaka 1997.

MGIMWA DR KWA HERI,NDIO MWISHO WA SAFARI YAKE HAPA DUNIANI MAZURI ALIYOFANYA SHUKRANI KWA MUNGU TUIGE MFANO WAKE KWA KUWATUMIKIA WANANCHI ILI KUPIGANA NA UMASKINI NA UJINGA

Tayari kwa pumziko lake la milele alale pema peponi amin.Hatuna la ziada ni kushukuru Mungu.

Sunday 5 January 2014

MAMBO YA UGHAIBUNI NA NYUMBANI TANZANIA HII HABARI NI KUBWA NITAIANDIKIA HABARI KUHUSU WABONGO BWANA SITAKI KUSIKIA LAKINI SIO VIZURI KUSEMA HIVYO.


EUSEBIO MACHINGA WA MSUMBIJI AFARIKI DUNIA MIAKA 71 YA UHAI WAKE.ALIZALIWA MSUMBIJI KISHA AKAENDA URENO KUCHEZA MPIRA NA KUWA NYOTA .

 Nikiwa nafahamu Mmachinga wa Msumbiji Eusebio alizaliwa Msumbiji 25-01-1942 na kwenda Ureno akawa mchezaji kwenye timu ya Benfica akapata zawadi ya viatu vya dhahabu na kuchukua vikombe mara 11.Hapa ndipo umaarufu wa Eusebio unapofahamika.
 Pele akimkabidhi Eusebio jezi yenye majina ya wachezaji kwa kumuenzi umaarufu wake.

Saturday 4 January 2014

IRINGA MJI WENYE MAWE MENGI NA NI KIVUTIO KWA WAGENI WATALII AU WAFANYAKAZI WA MASHIRIKA YA KIGENI WAKIJA WANAPENDA KUTEMBEA KWA NINI?JIBU NI ASILI YAO KUTEMBEA POLINI NA KUANGALIA MAZINGIRA SISI NI WATU WA STAREHE WA KUKAA KIVULINI

 Jiwe lililopo Jijini Iringa kwenye barabara iendayo Dodoma linajilikana kama Jiwe la Igeleke ni utalii tosha kwa serikali kuweka kumbukumbu na kuliwekea mazingira safi ya Utalii.
 Historia niliyonayo hii sehemu ina mawe mengi na rafiki Selemani aliwahi nionyesha Quartz yenye mchongo kama wa Kalamu ya penseli kutoka maeneo hayo ni kitambo kidogo,sehemu ya uwanja wa ndege wa Nduli ni ukanda huu walikuwa na shamba la mahindi.Kuna Historia nzuri sana ya hii sehemu inasadikiwa na Almasi zipo hii sehemu kutokana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi kwenye mashamba ya Tumbaku ya wagiriki.


DK MGIMWA ARUDI NYUMBANI KWA SAFARI YA MWISHO DUNIANI.RATIBA YA MAZISHI

Ratiba ya Mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Marehemu Dkt. William A. Mgimwa
Siku & Tarehe
Muda
Tukio
Mhusika








Jumamosi
4 Januari, 2014
 7:30
Mwili kuwasili JNIA


7:30 – 7:40
Kuutambua mwili na kukamilisha taratibu za uhamiaji

Bwana Bunare wa HAZINA na Mwanafamilia
7:30 -  7:40
Kumpokea mjane kutoka kwenye ndege kwenda VIP
Kaimu Waziri wa Fedha; Mwenyekiti wa Kamati; Mhe. Sophia Simba; Katibu Mkuu NJE; Balozi wa Tanzania Afrika ya Kusini; Monica Mwamunyange; Wanafamilia watatu

7:40 – 8:00
Mwili kubebwa na kuwekwa kwenye gari

Waombolezaji
8:00 – 8:30
Msafara kuelekea nyumbani

Kamati
8:30 – 10:00
Ibada ya Misa Takatifu nyumbani

Padre
10:00 – 10:30
Mwili kupelekwa Hospitali ya Lugalo

Kamati na Familia

10:30 – 12:00
Viongozi wa Kitaifa kutoa pole kwa familia
Mhe. Janeth Mbene na Kamati











Jumapili
5 Januari, 2014






2:00 – 4:00
Kifungua kinywa nyumbani kwa marehemu
Kamati

4:30
Waombolezaji kuwasili Viwanja vya karimjee
Kamati na Wanafamilia

5:00
Mwili kuwasili viwanja vya Karimjee
Kamati

5:45
Mhe. Makamu wa Rais kuwasili Karimjee
Kamati

6:00
Mhe. Rais kuwasili Karimjee
Kamati

6:00 – 6:20
Ibada fupi
Padre

6:20 – 6:25
Wasifu wa marehemu
Katibu Mkuu – HAZINA

6:25 – 6:30
Salamu za rambi rambi
Waziri wa Fedha wa Uganda kwa niaba ya Mawaziri wa Fedha Afrika Mashariki
6:30 – 6:35
Salamu za rambi rambi
Mwakilishi wa Washirika wa Maendeleo (DPs)
6:35 – 6:40
Salamu za rambi rambi
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kwa niaba ya Vyama vya Upinzani
6:40 – 6:45
Salamu za rambi rambi
Kiongozi wa CCM Bungeni

6:45 – 6:55
Salamu za Bunge
Spika wa Bunge

6:55 – 7:00
Salamu za rambi rambi
Waziri wa Fedha, Zanzibar

7:00 – 7:05
Salamu za rambi rambi

Kaimu Waziri wa Fedha SMT
7:05 – 7:10
Shukrani
Mwakilishi wa Familia

7:10 – 7:15
Hitimisho
Mwenyekiti wa Kamati

7:15 – 8:00
Kutoa Heshima za mwisho
Kamati

8:00 – 8:40
Kuelekea Uwanja wa Ndege
Wanaosafiri
10.00-11.00
Mwili kuwasili uwanja wa ndege wa Nduli Iringa na kuelekea katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo kwa heshima za Mwisho
Mkuu wa Mkoa na Kamati
11.00
Mwili kuelekea Kijijini Magunga
Mjane wa Dr Mgimwa akisindikizwa na viongozi wa serikali uwanja wa ndege baada ya kutoka Afrika Kusini akiwa na majonzi Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwa Familia.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS