KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday, 4 December 2017

BOLLYWOOD STAR SHASHI KAPOOR AFARIKI AKIWA NA UMRI WA MIAKA 79.KATIKA MIAKA YA 1975 ALISHIRIKI KATIKA SINEMA YA DEEWAAR AKISHIRIKIANA NA AMITA BACHCHAN

 Shashi Kapoor
 Shashi Kapoor akiwa katika uhigizaji wa sinema
 Shashi Kapoor akiwa na umri wa miaka 79

SANAA YA UJENZI HILI NI JENGO LIKIWA KATIKA HATUA ZA MWANZO AMBAPO WATATUMIA VYUMA NA KUWA JENGO KUBWA NITALETA TENA PICHA LIKIWA KATIKA HATUA YA KATI NA MWISHO.KAZI YA SANAA YA MAJENGOAMITABH BACHCHAN MCHEZA SINEMA WA BOLLYWOOD BADO ANAENDELEA NA KUCHEZA SINEMA NA KUONGOZA SINEMA

 Amitabh Bachchan mcheza sinema wa bollywood ambaye ukikutana naye ni bado kama kijana wa miaka 45

MAUA NA SEHEMU ZA KUPUMZIKIA WAKATI WA JUMAMOSI NI MUHIMU KATIKA MAISHA YETU KWANI YANASAIDIA KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO

 

TOSAMAWE INAWATAKIA MAANDALIZI MEMA YA KRISMAS NA MWAKA MPYA UNAO KUJA 2018


Thursday, 2 November 2017

KISWAHILI KINAHITAJIKA KUFUNDISHWA KWENYE NCHI ZA KONGO,UGANDA,RWANDA,BURUNDI,SUDANI,ZAMBIA ZIMBABWE BURUNDI,MALAWI,MSUMBIJI NA KUSINI KOTE.KAZI HII INATAKIWA KUFANYWA NA SERIKALI YETU IKIWA NI KUENDELEZA LUGHA YA KISWAHILI NA FAIDA YAKE NI KUONGEZA AJIRA KWA TAIFA LETU.SALAMU KWA WAZIRI MWAKYEMBE DR MH MBUNGE

Serikali imesema lugha ya Kiswahili ndio lugha ambayo inatambulisha watanzania hivyo ni wajibu kwa wananchi kutumia lugha hiyo kwa usahihi katika shughuli zao za ndani na nje ya Taifa ili kukikuza na kukiendeleza .
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe alipokua akizungumza katika kipindi cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na Luninga ya Taifa  ambapo amesema ameliagiza Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) kuandaa na kuwasilisha kwake orodha ya wahitimu wa lugha hiyo ili Serikali iwatambue.

WATANZANIA WANAOSOMA NCHINI CHINA (TASAFIC)WAFANYA MKUTANO IKIWA NI NJIA MOJAWAPO WA KUENDELEZA MAENDELEO KWA MANUFAA YA TANZANIA


Ninafurahi sana kuona Watanzania wakiwa na shauku la kuleta maendeleo kwa manufaa ya nchi yetu.Lakini bado tunachangamoto nyingi sana kwani tunaongea bila kujua utaratibu wa kuendesha biashaara kama ya utalii.Tunakimbilia data tu bila kujua kwa nini watalii wachina wanakuja kutalii Tanzania 30,000 wakati Wachina 120 milioni walifanya utalii kutoka China kwenda nchi zingine hili ni swali zuri kulifafanua sio kukimbilia tu tutangaze matangazo kwenye mitandao,kuna vyanzo vya utalii sio kukimbilia tu kusema tuweke matangazo.
Tuna kazi sana ya kuendeleza sekta ya utalii kwa kutumia mawakala sio mitandao ni kazi pasipo faida.Tujifunze kwa vitendo zaidi sio kwa kimasomo ya darasani wala ujawahi ona watu wanaendesha utalii wanavyofanya,mfano watu wa utalii waende Zanzibar na kujifunza kutoka kwa Waitaliano wanavyoendesha utalii.
Ni mimi Franco Mwamfilinge Sindin'gombe nawakilisha

MAGAZETI YETU LEO NA NYALANDU

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS