KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 21 October 2019

SHEFFIELD JIJI LENYE VIVUTIO VYA UTALII.LEO WAMEWAFUNGA ARSENAL

Hii ni bustani ina miti ya kutoka Afrika ukiwa ndani kuna joto lililowekwa sawa na miti inavyotaka
Ukuta wa mjini ni kazi ya sanaa ya watu wa Sheffield,hongera zao kwa kuwafunga Arsenal ya London

UCHAFUZI WA MAZINGIRA NDEGE NI CHANZO KIKUBWA CHA UCHAFUZI MKUBWA WA MAZINGIRA WANAHARAKATI WA KUPIGANIA MAZINGIRA WANASEMA

KWENYE NCHI ZILIZOENDELEA zinazotumia ndege kwa usafiri kama Uingereza kwenye uwanja mmoja kwa siku wanaudumia ndege si chini ya 2200 uwanja mmoja na kuna viwanja zaidi ya 6 vinavohudumia wasafiri kutoka nje ya nchi.
Wana harakati wameanza kuwaambia wasafiri wasitumie ndege zinazosafiri masaa mengi kama ndege kutoka Australia kwenda Uingereza na Australia kwenda Amerika New york.
Kiukweli wateja wamepungua kutokana na kampeni za kupinga uchafuzi wa mazingira.

SALAMU KUTOKA KWA TOSAMAWE.MUDA MREFU SIKUWEZA KUITUMIA HIKI KIBAMBAZA

Ninawashukuru kwa kuona mpo live mimi sikuwa na uwezo wa kutoa habari.Nitajitahidi kutoa habari kama ilivyokuwa kawaida yangu.
Asanteni na tuwe na siku njema.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS