KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Friday 16 April 2021

HAYATI DR JOHN POMBE MAGUFULI SHUJAA WA AFRIKA ALIYEIBADILISHA TANZANIA NA KUANZA KUJULIKANA KIMATAIFA AMEONDOKA HUKU TUKIMUITAJI KWA MAENDELEO ALIYOPANGA KUYAFANYA

Kwa maendeleo ya nchi yetu wananchi wanahitaji utulivu na kuwa na mwendo kasi kama Rais wetu kipenzi Magufuli alivyokuwa

TANGANYIKA -SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA PRINCE PHILIP ALIKUWA MGENI MWALIKWA AKIMUWAKILISHA SERIKALI YA UINGEREZA

BABU PRINCE PHILIP ALIYEKUWA KIPENZI CHA WAJUKUU ZAKE

PRINCE PHILIP

UINGEREZA KESHO SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA 8 NA DAKIKA 53 SHUGHULI YA MZAISHI YA PRINCE PHILIP YATAANZA KUKIWA NA WAGENI 30 KUTOKANA NA SHERIA YA MAAMBUKIZI YA COVID

Msiba katika nchi ya Uingereza ni wenyewe wanasema sherehe yake ya mwisho wa maisha ya mwanadamu ni siku ya kuzikwa ndio hatima ya mtu tuliyekuwa naye sasa ndio hatutamuona na hatuta sikia kutoka kwake ni kusonga mbele na kumuenzi kwa yote aliyetenda hapa duniani. Ukija kwa wenzetu wa Bongo au Tanzania mi masikitiko yasiyo na kifani na watu kuacha shughuli zao za kiuchumi na kuonyesha mapenzi kwa muhusika na hata mawasiliano kukatika kabisa kwa sababu fulani kafa. Uingereza mtu akiwa mgonjwa na Madaktari wanafahamu kutokana na mashine kwamba mgonjwa atakufa basi Hospital utoa taarifa kwamba mgonjwa wenu hata fikia siku fulani kwa hiyo mjitayarishe kwa hilo na familia inakuwa tayari kwa kufahamu mpendwa wao mwisho umefikia na unahitaji kuja kumuona siku yake ya mwisho wakisema sawa wanakaribishwa hospitalin na kusubiri mwisho wa ndugu yao. Sasa tumeisha waona watu Mama yake kafa na anakuja kazini anawasimulia Mama kafa lakini tutamzika baada ya mwezi mimi kesho naenda holiday Thailand niliisha ona sio nasimuliwa. Tujifunze kwamba tumezaliwa na lazima tutarudi kwa muumba wetu.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS