KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 11 April 2012

NDANI YA UWANJA WA WOLVEHAMPTON WANDERERS HII WANDERERS INANIKUMBUSHA IRINGA CITY KULIKUWA NA TIMU INAITWA AFRICAN WANDERERS MASKANI YALIKUWA IRINGA MJINI MIYOMBONI


Mpira bado kuanza wanamwagilia maji majani ili wachezaji wasiumie wakiteleza kufuata mpira

Siku hiyo kabla ya mpira kuanza watu wote walisimama ili kumwombea dua Fabrice Muamba

Balooni linaloonekana juu ni kwa ajili ya matangazo ya Tairi lilikuwa mbali kamera yangu nilichelewa kuzoom 

Hizo ni sehemu za uwanja wamezipanga kwa ajili ya familia na walemavu hapo panapo onekana sehemu ya kati bei yake ni kubwa mishahara ya watu watatu wanakaa wakurugenzi na watu mashuhuri wanapewa mpaka chakula na vinywaji.ukiwaangalia wao wanaongea tu hawaangalii sana mpira.

Wakati wa mapumziko watu wanaenda kula na kunywa

SEHEMU YA ULINZI NA UWANJA NA TIKETI

siku ya mechi kuna kuwa na ulinzi zaidi ya Polisi Mia Nne wakishirikiana na walinzi wa kampuni za binafsi ambao wao uwa ndani ya uwanja ukileta fujo wanakupeleka kwa Polisi.
Hili ni gari Gereza ukileta fujo unawekwa ndani ukifungiwa ndani Polisi wanaendelea na kazi zao wewe upo ndani.
Ukikata tiketi ni lazima ueleze unakotoka wapi unataja nyumba unayoishi na mtaa ndio maana wana sehemu wanaita ticket information.
Uwanja kwa upande wa kaskazini
Uwanja kwa upande wa kusini.

KAMERA YA TOSA MAWE ILIWAKILISHA KATIKA MECHI YA MAN UNITED NA WOLVEHAMPTON

Njia kwendea uwanjani ni uwanja wa timu ya wolvehampton
Mashabiki wakiwa nje wakipata chakula kabla ya mechi kuanza.
Magari ya kurushia matangazo kwa njia ya Luninga ni SKY TV.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS