KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 28 April 2013

PESA INAVYOSUMBUA WATU-VITUKO AU MAJIGAMBO YA MASTAA WA DUNIANI NI MICHAEL JORDAN MCHEZA BASKET BALL ALIYEKUWA AKICHEZEA CHICAGO BULLS

Michael Jordan 23 namba yake ya jezi akiwa na mpenzi wake Yvete Prieto wakiwa wanaangalia mechi.Huyu ni mchumba baada ya kumpa taraka mke wake wa kwanza waliyeishi naye miaka 17 alikuwa na watoto wawili wa kiume.

 Arusi hii ya Michael Jordan imefanyika kwenye Hema ambalo ni kubwa kuliko nyumba ya MJ,hili hema limekusanya wageni 2500 kwa wakati mmoja na vifaa vya muziki vilikuwa vimebebwa na magari makubwa yenye tera futi 40 manne.
Hili ni hema ambalo lilikusanya watu 2500 ndani kwa ajili ya arusi ya Michael Jordan na huyo mrembo wa zamani 

RAIS KIKWETE AKIMKARIBISHA RAIS KENYATTA KUTOKA KENYA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA AFRIKA MASHARIKI.

Rais Kikwete akimwambia Uhuru Kenyatta karibu wewe Baba yako alikuwa Rais na wewe pia haaaaaaaa,Karibu Tanzania Arusha.

Wamasai wakicheza ngoma zao.

Ngoma zilikuwa zinatoa burudani.

ROONEY TAJIRI WA KWANZA KWA WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU FOOTBALL UINGEREZA

Wachezaji 10 matajiri kutoka ligi kuu ya Uingereza ni hawa wafuatao.
                                          1.Wayne Rooney -Man united £51 million.
                                                         2.Rio Ferdinand-Man united £42 million.
                                                          3.Michael Owen-Stock City £38 million.
                                                            4.Ryan Giggs-Man united £34 million
                                                              5.Frank Lampard-Chelsea £34 million.
                                                                 6.Steven Gerrard-Liverpool £33 million
                                                                     7.Fernando Torres-Chelsea £26 million
                                                                       8.John Terry-Chelsea £24 million
                                                                         9.Joe Cole-West Ham united £21 million.
                                                                          10.Petr Cech-Chelsea £20 million    

MATUKIO YALIYOTOKEA NCHI MBALIMBALI

 Kwa upande wetu ni kurudisha bendera.Hii ni sifa kubwa kwetu kwa kurudisha bendera na ndio alama ya ushindani kwetu.Ukirudisha kadi ni furaha na kupambwa kwa furaha na vifijo.
Man united ni mabingwa wa England na Wales.

 Mazishi ya Iron Lady Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza yalikuwa na visa vingi vya watu kupinga na kusema yeye aliligawa familia Uingereza.Mazishi yake yalikuwa ya Kitaifa kwa kuonyesha uwezo wake alioweza kuongoza taif akiwa Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri mkuu.



PSY naye na wimbo wake mpya umeisha tembelewa na Watu millioni 35.Huyu mwanamuziki ndiye anayeongoza duniani kwa kutembelewa na watu wengi kwenye You tube .

MAGAZETI YETU LEO









Monday 22 April 2013

Sunday 14 April 2013

RAIS KENYATTA AKIWA NA VIONGOZI WAKE WA UPINZANI ODINGA,KILONZO NA MAKAMU WA RAIS WILLIAM RUTO BAADA YA MAZUNGUZO YAO LEO HII IKULU

 Wanaonekana na furaha na vicheko lakini sijui kama wanaweza kuwatuliza wananchi wao wasifuate Ukabila.
Musyoka na Odinga baada ya kutoka Afrika kusini waliongea na waandishi wa habari,wanazungumzia amani na upendo kwa wananchi wao.

Thursday 11 April 2013

MCHEZAJI ANAYEWIKA NA KOGOMBEWA NA TIMU NYINGI ZA UINGEREZA

Mkorombia Radamel Falcao anayechezea Atletico Madrid ya Hispania ndiye anayewindwa na timu nyingi za Uingereza ikiwepo Chelsea,Man United na Man City.Tatizo linakuja ni bei sana kumnunua  huyu jamaa na timu yake imemwongezea dau.

MATUKIO YA KUMPINGA WAZIRI MKUU BARONESS THATCHER YAKIENDELEA KATIKA MIJI YA UINGEREZA NA TISHIO NI SIKU YA MAZISHI YAKE WANAUSALAMA WAPO TAYARI KWA ULINZI





MAGRATER THATCHER AU BARONESS THATCHER KUZIKWA KWA HESHIMA JUMATANO.WATU 2000 WAALIKWA KWENYE MAZISHI HAYO

                                                                  Baroness Thatcher
 Mume wake Sir Denise Thatcher alifariki mwaka 2003 akiwa na umri wa miaka 88
Mazishi yake yatafanyika katika kanisa la mtakatifu Paulo London

MKUTANO MKUU WA PASAKA MJINI READING UK -PICHA ZA MATUKIO





Mchungaji Hiza kutoka Dar es salaam akiwaombea wananchi waliofika katika mkutano mkuu wa pasaka mjini Reading Uingereza.

Baadhi ya Watanzania wakisikiliza mahubiri kutoka kwa Mchungaji Hiza.


 Diana na Bubele wakiwa na bendi ya CITE wakiwatumbuiza wahumini katika mkutano wa pasaka.
Picha na Bubele.

MAGAZETI YETU LEO







Monday 8 April 2013

MANCHESTER UNITED 1 NA MANCHESTER CITY 2.AGUERO AWAPITA WACHEZAJI 5 NA KUFUNGA GOLI

Goli lake lafunga mwaka kwa kuwafungasha wachezaji watano na kufunga kwa shuti kali lililomzidi kipa haaa.

MARGRET THATCHER AU BARONESS THATCHER MWANAMKE CHUMA AAGA DUNIA KWA KUPATA STROKE LEO.NI MAJONZI KWA WANANCHI WA UINGEREZA NA DUNIANI KWA KUONDOKEWA MAMA HUYU JASIRI.

 Baada ya kuchaguliwa kuwa Waziri mkuu wa kwanza Mwanamke Uingerza mwaka 1979 katika ofisi ya Nyumba namba 10 alipata nafasi ya kuongea na Wanahabari mbalimbali nje ya Ofisi yake.
 Alipinga harakati za ANC za kutumia nguvu lakini mwisho wake walikubali na kuwatambua ANC mwisho wake wakasaidia mpaka Mandera kutolewa gerezani mwaka 1990 na kutembelea Uingereza Nelson Mandera.
 Akiwa mshirika wake Mkuu Rais wa Marekani enzi hizo R.Reagan wakiangalia gwaride la heshima.
 Yeye ndiye alikuwa Jemedari mkuu wakati wa vita vya Farkland kati ya Uingereza na Arjentina mwaka 1979
Akiwa na wabunge wake walipomtembelea Malkia Elizabeth mwaka 1985.
Alipotembelea Zambia mwaka 1988 akicheza muziki na Rais K.Kaunda enzi hizo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS