KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 24 November 2013

VATICAN CITY WAONYESHA MASALIA YA MIFUPA YA PAPA WA KWANZA DUNIANI ST PETERS LEO JUMAPILI,NI MIAKA 72 TANGU WAYAPATA MWAKA 1940 WALIPOGUNDUA KABURI NDANI YA KANISA LA VATICAN

Papa Fransis akionyesha masalia ya Mifupa ya Papa wa kwanza mbele ya waumini Vatican City Jumapili leo.

MTANZANIA ANAUSIKA NA UTUMWA LONDON INASADIKIWA ALIFIKA UINGEREZA MIAKA YA 1960.BADO UCHUNGUZI UNAFANYIKA.

Mwanzilishi wa Taasisi Freedom Charity ndiye aliyefanikisha kukamatwa kwa watu waliowafungia watu kwenye nyumba Kusini mwa London.
Polisi wa Uingereza alisema Jumamosi watuhumiwa wawili katika kesi kubwa utumwa ni kutoka India na Tanzania na alikuja Uingereza katika miaka ya 1960.
Polisi wanaamini mbili ya tatu waathirika wanawake, ambao walidaiwa uliofanyika dhidi ya mapenzi yao kwa zaidi ya miaka 30, alikutana na mtuhumiwa kiume katika London "kwa njia ya itikadi za kisiasa na kwamba waliishi pamoja katika anwani kwamba unaweza ufanisi kuwaita 'pamoja, "'alisema Kamanda Steve Rodhouse.

Saturday 23 November 2013

ENGLAND TIMU HISIYO NA UTAMBULISHO WA KIMPIRA ILA INAPAMBWA NA VYOMBO VYA HABARI.

Mpira wa miguu au Football wanavyoita inakazi kubwa sana kucheza kutokana na mabadiliko ya kiufundi au mbinu.
England waanzilishi na watawala wa zaidi ya nchi 58 duniani wamekuwa wazuri kwa kuitangaza ligi yao na kufatiwa na nchi zote za Jumuia ya madola,kweli mpira wa Uingereza unazidi kwenda kombo.
Mechi mbili za kirafiki Waingereza wamefungwa kama wamesimama Chile imewafunga 2-0 na mwisho wamefungwa 1-0 na Wajerumani.

PICHA BORA YA WANYAMA YA WIKI NI MBWEA WADOGO WAKICHEZA

Mkubwa na Mdogo wakicheka au wakipigana?

CCM NA HARAKATI ZA KUENDELEZA CHAMA NAO CHADEMA NI KUTATUA MIGOGORO NDANI YA CHAMA CHAO KAZI KWETU WANANCHI KUSIKILIZA.


SASA RASMI ZITTO KABWE, DK.KITILA MKUMBO NA SAMSON MWIGAMBA WAVULIWA VYEO VYAO VYOTE CHADEMA

Kazi imeanza kwa CHADEMA sisi wananchi kimya maana tunasubiri matokeo ya Viongozi kuvuliwa hata Ubunge.

Wednesday 6 November 2013

MAN U WATOKA SARE HISPANIA NA PICHA YA CHINI INAMWONYESHA YOUNG WA MAN U AKIJIANGUSHA NA WALIPEWA PENALTI LAKINI HAWAKUPATA GOLI




Brooklyn Beckham ni mtoto wa Staa wa mpira David Beckham akiwa na mama yake Victoria's kwenye Urembo,mtoto wa nyoka ni nyoka.



LOWASSA ASIBEZWE KAULI YAKE IFANYIWE KAZI,TOSAMAWE NAONGEZA TENA LOWASSA ANAMAWAZO MAZURI YAKIFANYIWA KAZI NCHI YETU ITAVUKA MTO RUFIJI KIDOGO,KUTOKANA NA VIONGOZI WETU TULIONAO SASA NI NGUMU KWA HIYO VIONGOZI WETU KAZI YAO KUBWA NI KUKOPI NA KUPASTE NDIO KAZI YETU



Damas Makangale, Mhariri MOblog
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwa mara nyingine tena ameibuka na kauli ambao alishawahi kuitoa huko nyuma ya viongozi wa Serikali ya awamu ya nne kushidwa kuchukua uamuzi mgumu kwa maslahi mapana ya taifa.

AIBU KWA VIONGOZI WA AFRIKA KUSHINDWA KUTATUA MATATIZO YAO MAPEMA MPAKA WAPEWE MSAADA KUTOKA ULAYA,WAKATI WANA MALI ASILI,WATU NA HALI YA HEWA NZURI.PICHA ZA MARAIS WA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA AFRICA CAPACITY FOR IMMEDIATE RESPONSE TO CRISIS


Viongozi wa Afrika Museveni,Kikwete,Zuma na rais wa Chad wakiwa wanaongea kabla ya kuanza kikao cha ACIRC Jijini Pretoria.


 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS