KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Tuesday 23 December 2014

KRISMAS NJEMA WANDUGU WENGINE TULIISHA MALIZA


MAPAMBO MAUA NI UBUNIFU TU HATA MAUA YA ALIZETI YANAPENDEZA NA MANISPAA NA WILAYA ZITUMIE PESA ZA WALIPA KODI KWA KUWEKA MAZINGIRA YA MJI KWA KUPANDA MAJANI NA MAUA

KAZI YA BUSTANI NI KUVUTIA NA KUWAFUNZA WATU KUTUNZA MAZINGIRA

TIBA HOSPITALI HAKUNA DAWA NJE WAZIRI WA KWANZA KUFUKUZWA NA RAIS KIKWETE


RAIS AHUTUBIA WAZEE WA DAR ES SALAAM


 Hapa Rais akiwaambia Wazee Poeni nyie ndio wenyewe hawa watu wa Bara kelele nitawaondoa kazi kama nilivyowapa nani ana nguvu kushinda Mimi Wazee hoya hoya kijana
Sasa namwanzishia huyo Proooo haondoke hana maadili ya kazi za serikali Rungu Pwaaaaa
Kingunge mkubwa naye anafurahia Proooo kupigwa nje
 Sisi ndio wajanja wa Mji Dar ukiingia jijini kwanza Wilaya Kinondoni lakini wenye mji ni Kariakoo ILALA






Wednesday 17 December 2014

KIJANA ALIYENUSURIKA KUFA ABAKI PEKE YAKE DARASANI WENZAKE WOTE WALIUAWA NA PICHA ZA WAALIMU WALIO UAWA ZIMEZUNGUSHIWA DUARA JEKUNDU

 Hajaenda shule maana wenzake wote darasani waliuawa
Picha ya waalimu

WATALIBAN WAKIWA KATIKA PICHA YA KUMBUKUMBU KABLA YA KWENDA KUFANYA MAUAJI YA ZAIDI YA WATU 132 PAKISTANI


 Wakiwa katika picha ya pozi wanamgambo hao wa Taliban Pakistani walipata picha ya kumbukumbu yao kabla ya kwenda kuwaua watoto na watu wazima shuleni wao walisema wataenda kukutana Ahera wasie na wasiwasi ndio KAULI yao



IRINGA CHADEMA YASHINDA KATA 13 BAADA YA MARUDIO YA KURA.SASA KAZI KWAO CCM


WAKATI jana   wananchi  wa  mitaa 11  katika manispaa ya  Iringa  wamefanya marudio  ya  uchaguzi  wa serikali  za mitaa  chama cha  demokrasia na maendeleo  (Chadema)  kimefanikiwa  kukizika rasmi  chama  cha mapinduzi (CCM) baada  ya  kuibuka  kifua mbele  katika  mitaa  yote  ukiwemo mtaa  nyeti  wa ofisi ya mkuu  wa  mkoa na ofisi ya  CCM mkoa.
Ushindi  huu  kwa  chadema  umeelezwa kuwa ni  wa  kimbunga na ni  kipimo  kwa CCM  kujitathimini baada ya Chadema  kuonyesha  kufanya kufuru  hiyo kwa  kuchukua mtaa hadi  wa makao makuu  ya CCM..

Tuesday 16 December 2014

TALIBAN WAFANYA SHAMBULIO KWENYE SHULE NA KUUA WATOTO NA WATU WAKUBWA ZAIDI 120 JESHI LA PAKISTANI LAFANIKIWA KUWAUA WATALIBANI 6.HATARI ILIYOPO NI KUWAUA WATOTO WASIO NA KOSA KISA WANASOMA SHULE




HHARON MONSI AHITINGISHA AUSTRALIA SYDNEY KWA MASAA 16 GAIDI LILILO KUWA NA KESI ZAIDI 47.HARON ANAJULIKANA KAMA MNAJIMU NA MGANGA WA KUANGALIA NYOTA ALIONEKANA KAMA SIO TISHIO KWA AUSTRALIA SASA MWISHO WAKE UMEFIKA NI FUNZO KWA NCHI ZINGINE


Haron Monsi mkimbizi aliyeingia Australia mwaka 1996 na kupinga serikali ya Australia kupeleka wanajeshi wake Afghanistani,juzi aliteka Hoteli na wateja wa Hotel zaidi ya masaa 16 kisha kuuwawa na polisi na watu wawili kufariki ni pigo kwa wananchi wa Australia
Mwanamke akikimbia baada ya kutoroka kutoka kwa gaidi aliyewateka ndani ya Hotel jijini Sydney.

MAGAZETI YETU NA USHABIKI




BUKOBA KUWA NA UWANJA WA NDEGE WA KISASA HIZO NI BAADHI YA PICHA ZA UWANJA WA NDEGE WA KISASA BUKOBA

 Ujenzi ukiendelea mafundi wakiwa kazini.
Kweli sasa ni maendeleo makubwa katika sekta ya Usafiriwa Anga nchini mwenzangu nyumbani anashangilia sina raha maana huo uwanja ungejengwa Iringa.Hongera watu wa Bukoba.

SAYANSI INAPOKUWA KILA KITU NI COMPUTER SIJUI BABU ZETU WATAFAIDIKA LINI VIJIJINI KILA KUKICHA NI INTERNET

Wanasayansi wametengeneza risasi ambayo inaweza kukata kona yaani kumfuata mtu aliyerengwa ata ukikimbia na kukata kona

Thursday 11 December 2014

SHEREHE ZA UHURU 9 DESEMBA ZAFANA UWANJA WA TAIFA DAR HONGERA KWA KILA MTANZANIA NI SHEREHE KUBWA KWETU INGAWAJE TUNACHANGAMOTO NYINGI MUNGU ATATUVUKISHA SALAMA TUOMBA MUNGU ZAIDI






PICHA KUPIGA PICHA NI KAZI AMBAYO KILA MTU ANATAKIWA AWEZE KUFANYA KAMA UNA SIMU UNA KAMERA PIGA PICHA KISA IWEKE KAMA KUMBUKUMBU KWAKO NA KIZAZI CHAKO ZINGATIA KUAKISHA MWANGA UNATOSHA NA PICHA NI NZURI

Mti ukiwa umepigwa na jua la kuzama jioni hiyo ni kazi kwa watu kupiga picha na kupeleka kwenye mashindano ya picha bora

WAZIRI HAKANA KUCHANGIA ELFU 15,000 KWELI HAIWEZEKANI KWA WAZIRI ANALIPWA PESA NYINGI KUCHANGIA ELFU 15.HIZO NI SIASA CHAFU


Aidha, Mheshimiwa waziri wangu Chana ambae ndiye Wizara yake inahusika na watoto, kwa kuliona tatizo hilo la vyumba vya madarasa kuezuliwa alionyesha kuguswa zaidi na hata kuwa kiongozi wa kwanza kuanza kuchangia mchango kwa ajili ya harambee ya ujenzi wa vyumba hivyo kwa kuchangia kiasi cha Tsh 15,000/= kupitia kwa mkuu wa shule hiyo Agnes Mageza ambaye pia kulingana na utaratibu wa ukusanyaji wa fedha hizo na kuepuka matumizi yasiyotarajiwa na fedha za maafa,  alilazimika kuzipeleka fedha hizo kwa Afisa Mtendaji wa kijiji ili kuzihifadhi kwa taratibu na kutoa stakabadhi kwa kila mchangiaji kama ilivyo taratibu za upokeaji wa fedha za michago mbalimbali.

Saturday 20 September 2014

SCOTLAND NAIBU WAZIRI MKUU WA SCOTLAND HAAMINI KAMA WAMESHINDWA KUTOKANA NA KAMPENI WALIZOFANYA NDIO KAZI YA SIASA KUSHINDA AU KUSHINDWA

Naibu Waziri mkuu wa Scotland Nicole akiwa na majozi baada ya kushindwa kwa kura za YES.Waziri mkuu Alex salmond amejiengua kutoka nafasi ya Uwaziri mkuu,SNP wanatafuta atakaye shika nafasi ya Uwaziri mkuu.Kazi ipo 

MICHEZO,WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU WANAVYOENDESHA MAGARI YA GHARAMA KAMA SEHEMU MOJAWAPO YA UMAARUFU DUNIANI

 Baloteli na gari lake jipya ndio habari ya wachezaji mpira kwa sasa
 Muntali akiwa na gari lake Italia alionekana amekosa kufuata sheria za barabarani
 Alhaji Diofu na Cadillac
 Rolls royce magari wanayomiliki wachezaji mpira wa miguu Uk.
Gari la Benzema wa Real Madrid akiwa mitaani
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS