KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 25 March 2020

COVID 19 CORONAVIRUS INAVYOTISHIA DUNIA IKIWA VIFO VIMEONGOZEKA KATIKA NCHI YA ITALIA IDADI YA WATU WALIOKUFA KUFIKIA 740,SPAIN NAO VIFO VYAONGOZEKA .TUNAOMBA MUNGU ATUEPUSHE NA HILI GONJWA

 Michezo ya Olimpiki yafutwa mpaka mwaka 2021 mwezi Julai.
 Safari za Ndege zasitishwa Abiria wateseka
Vatikan wafanyakazi wawili wakumbwa na Corona hakuna mtu kutembelea viwanja vya Mtakatifu Petro kupo kimya/Mungu tusaidie tuepukane na Corona.

KABUL AFGHANISTAN MASINGA SINGA WAUAWA NA GAIDI WA ISIL ALIYETUPA BOMU NA KUPIGA RISASI WATU 25 WAFARIKI NDANI YA JAMAT LA MASINGA SINGA GAIDI AMEUWAWA NA ASKARI WA AFGHANISTAN

 Askari wakiwa nje ya Jamat la Singa Singa na kufanikiwa kumuua Gaidi
Jamii ya Singa Singa wakienda Jamatini kuwatambua ndugu zao.Afghastani Masingasinga wamekuwa wakitishwa na Taliban waondoke warudi kwao India ikiwa ni njia mojawapo ya kuwaabagua hao Masingasinga ambao wamezaliwa Afghanistani wamekulia hapo na Maisha yao ni hapo Afghastani.

CAMEROON SAXOPHONE PLAYER MANU DIBANGO DIES FROM CORONA VIRUS

 - Cameroon saxophone player Manu Dibango dies from coronavirus 

Cameroon-born singer and saxophone player Manu Dibango has died from a coronavirus infection, according to a statement on his official Facebook page.
"It is with deep sadness that we announce the loss of Manu Dibango, our Papy Groove, who passed away on 24th of March 2020, at 86 years old, further to covid 19," 


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS