KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 20 September 2014

SCOTLAND NAIBU WAZIRI MKUU WA SCOTLAND HAAMINI KAMA WAMESHINDWA KUTOKANA NA KAMPENI WALIZOFANYA NDIO KAZI YA SIASA KUSHINDA AU KUSHINDWA

Naibu Waziri mkuu wa Scotland Nicole akiwa na majozi baada ya kushindwa kwa kura za YES.Waziri mkuu Alex salmond amejiengua kutoka nafasi ya Uwaziri mkuu,SNP wanatafuta atakaye shika nafasi ya Uwaziri mkuu.Kazi ipo 

MICHEZO,WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU WANAVYOENDESHA MAGARI YA GHARAMA KAMA SEHEMU MOJAWAPO YA UMAARUFU DUNIANI

 Baloteli na gari lake jipya ndio habari ya wachezaji mpira kwa sasa
 Muntali akiwa na gari lake Italia alionekana amekosa kufuata sheria za barabarani
 Alhaji Diofu na Cadillac
 Rolls royce magari wanayomiliki wachezaji mpira wa miguu Uk.
Gari la Benzema wa Real Madrid akiwa mitaani

SCOTLAND WAZIRI MKUU ALEX SALMOND ABWAGA MANYANGA BAADA YA KUSHINDWA KWA UPANDA WA YES

 Matokeo yakionyesha NO wameshinda
 Akiutubia baada ya kushindwa Alex Salmond kwa huzuni na kutangaza kuachia madaraka ni pigo kwa chama chake cha SNP 
Hakutegemea kama watashindwa lakini wataalamu wa mambo ya siasa waliisha sema itakuwa pigo kwa chama chake kwa sababu watu wataangalia tena kwa undani kwa uchaguzi ujao.

SCOTLAND ILIKUWA KAMA CCM NA CHADEMA NA CUF MASHABIKI WA YES WALIKUWA NA SURA ZA UJEURI LAKINI WA NO WALIKUWA WATULIVU


 Waziri mkuuwa Scotland naye alionyesha kutowapenda watu wanaopiga kura za NO hapa alikuwa anaonyesha hapendi
Washabiki wa YES wakimzomea Shabiki wa NO ilikuwa ni vituko lakini mwisho wake NO walishinda.
Mashabiki wa YES wakiwa hawana raha ni Vijana wa Miaka 16 na 17 waliopiga kura kwa mara ya kwanza  inaonyesha hawana ujuzi wa kupiga kura na wapiga kelele mara nyingi uwa sio washindi.

ARSENAL SASA KUWAPITA CHELSEA KWA KULIPA MISHAHARA MINONO KWA WACHEZAJI WAKE NI MARA YA KWANZA KWA ARSENAL KULIPA MISHAHARA

Baada ya kuwasajili wachezaji hawa Arsenal itawapita Chelsea kwa kuwalipa mishahara minono kwa wachezaji wake.Hii ni mara ya kwanza kwa Arsenal kuwa timu inayolipa mishahara minene kwa timu za Uingereza.

MAGAZETI YETU LEO








Friday 19 September 2014

IPHONE 6 YAWAWEKA WATU KULALA NJE WAKIWA WAMEPANGA FOLENI KWENDA KUNUNUA KATIKA JIJI LA LONDON


 Hii ni foleni kama vile Unga wa Yanga na sukari na sabuni Enzi zile
Mteja namba One kununua Iphone akiruka na kushangilia 

HAYATI MWALIMU WETU BABA WA TAIFA ALIYEPENDA WATU WAKE,ELIMU BURE,USAWA NA UMOJA,MISINGI MIZURI YA UONGOZI,LAKINI WACHACHE WAMEISHA IBADILISHA NA KUJIENDELEZA WENYEWE

Ujamaa uliweza kuwaweka Wananchi katika hali ya kutegemea kilimo kuzalisha bidhaa zetu na kupunguza kuwategemea Watu kutoka Nje,leo hakuna

SCOTLAND WABAKIA UK VIONGOZI WA YES KAMPENI WAKUBALI KUSHINDWA WASUBIRI AHADI TOKA LONDON,UKIP WASEMA NAO INABIDI KUANGALIA ENGLAND ZAIDI

 Huyu naye hana raha kabisa analia kwa kushindwa SCOTLAND

 Kushindwa ni kubaya ona huyu anavyolia
Viongozi wa UK wakiwa na furaha baada ya ushindi wa NO kwa YES ila wanasema uchaguzi ulikuwa SHINGO kwa shingo

POLISI WANAVYOTEMBEZA KIPIGO KWA MTU AU WATU PASIPO KUJUA WEWE NI NANI,MWANAHABARI WA ITV AKIMWONYESHEA KIDOLE ASKARI ALIYEMPIGA HAKUNA MCHEZO WALA KUCHEZEA POLISI

Wewe Askari wewe utanikoma anaonekana mwanahabari akilia huku akimwonyesha hana uwezo wa kufanya ila kuomba vyombo vya sheria vimsaidie
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS