KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 7 November 2022

AJALI YA NDEGE TANZANIA ZIWA VICTORIA -YAHITAJI UCHUNGUZI WA HALI YA JUU ILI KUZUIA TENA AJALI HIZO ZISITOKEE KWA WANANCHI WENGI WANANOTUMIA USAFIRI WA ANGA

Ninapenda kutoa salamu za rambirambi kwa Rais wetu na wananchi wote kwa Ujumla,Nikiwa niliwahi kusafiri na ndege ya shirika hilo mara mbili na familia yangu kwa kweli tunapoa pole kwa wafiwa na Mungu hawape nguvu katika kipindi hiki cha majonzi. NINA SWALI KUBWA KUHUSIANA NA HII AJALI KWANZA KWA WAZIRI WETU MKUU NA SERIKALI Ninmeona na kusikia Waziri mkuu akisema ndege ilivyoanguka ni kwamba anafahamu kwamba uelekeo wa ndege sio ule unaotumika kama kawaida kwa hiyo kuna makosa Sasa je Waziri mkuu kwa kutumia madaraka yake ameweza kuweka Wachunguzi wachunguze ajali kwa nini imetokea na hali ya hewa ilikuwa mbaya je hao watu wanaongoza Ndege wa kiwanjani walimruhusu Rubani kushuka chini na wakati hali ya hewa ilikuwa mbaya Au je ilikuwa ni matatizo ya Ufundi kwenye ndege kwa mantiki hiyo tulitakiwa kuona hao wahusika wote wanahisaidia Polisi kwa Uchunguzi Naomba tupewe maelezo zaidi ili waliokosea wapewe Adhabu yao kuanzia Shirika la Ndege waongoza ndege uwanjani sio kusikitika na kesho tena tukawa na Ajali ya Kizembe tena

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS