KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Tuesday 4 January 2022

CCM TANZANIA WANACHAMA NA WABUNGE KWA UJUMLA MUONDOENI HARAKA SPIKA WA BUNGE MH JOB NDUGAI KWA HESHIMA YA BUNGE KWANI WANANCHI KWA UJUMLA WAMEMSIKIA RAIS AKISEMA MTU ALIYEMWAMINI NA KUWA KIONGOZI WA WABUNGE,KWA KULINDA HESHIMA YA CCM NA WABUNGE NA WANACHAMA WOTE WA CCM NA WANANCHI KWA UJUMLA KWA NINI ASIONDELEWE MH SPIKA KAMA YEYE ASIPOJIUZUU

KUTOKANA NA MANENO ALIYEYATOA rAIS MAMA SAMIA NDUGAI ANGEKUWA AMEISHA ANDIKA BARUA YA KUJIUZULU kIPINDI CHA MWALIMU NYERERE KESHO WANANCHI WANGEANDAMANA KUMUUNGA MKONO RAIS NA KUMWOMBA AMFUTE KAZI SPIKA JOB NDUGAI Matatizo ya Spika Job Ndugai ni mengi na hafai kuwaongoza wabunge hana sifa za kuwa Spika ambaye ni mkuu wa Mhimili wa bunge la Tanzania ni haibu kuwa na kiongozi kama huyo mkuu bungeni. Ni Spika aliwapiga watu kwa fimbo wakati wa kampeni Ni Spika huyu huyu alimsema Yesu Ni Sika huyu huyu alisema yeye ana faili Milembe Sasa wakati umefika kumtoa au Yeye Spika aachie madaraka kwa heshima ya CCM na wabunge wote Kazi kwa CCM vijana wameisha sema sas ni utekelezaji wa vitendo ili iwe fundisho kwa watu viongozi wengine

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS