KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 4 March 2015

AJALI ZINAWEZA KUPUNGUA KWA KIASI KIKUBWA KAMA KILA MTU ATAFUATA SHERIA ZA BARABARANI,WAENDESHA MAGARI,PIKIPIKI NA BAISKELI.



Ukiwa kwenye Pikipiki au Baiskeli mwenye Gari anaweza kukugonga Wanasema Mishikaki au Mwili wako ni body kwa hiyo anakugonga bila wasiwasi.Kweli inasikitisha lakini hakuna dawa.Sheria ziwe kali kwa kila mtu labda Ajali zitapungua.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS