KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Tuesday 10 March 2015

MAUAJI YA ALBINO NI MWENDELEZO WA IMANI ZA KICHAWI NA UGANGA ZINAZOTUMIWA NA WATU FULANI ILI WAWEZE KUPATA UTAJIRI

Biashara ya viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino ni shughuli zinazowahusu watu wa biashara,katika biashara hizo wapo watu wengi sana kama Wafanyabiashara,wachimba madini,watu wanotaka vyeo iwe Mbunge mkurugenzi kila mtu anayekwenda kwa Mganga wa kienyeji au Mchawi.Utaambiwa kalete kiunggo cha Albino au Damu ya mtu.Kazi ipo kupambana na hiyo biashara.  
Ni HATARI kwa uoenevu kwa Watoto.SASA VITA IANZE KATI YA WAGANGA WA KIENYEJI NA SERIKALI.
KARUNGU YEEE.KAZI KWELI KWELI.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS