KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Tuesday 10 March 2015

YANGA SASA KUFUNGWA NA SIMBA HIYO SASA NI DEAL,HAIWEZEKANI KILA SIKU KUFUNGWA NA SIMBA!!!!!!



KILA SIKU YANGA KUFUNGWA HIYO NI DEAL HAKUNA KITU 
Ukiwa Buguruni sokoni ukiwauliza wapenzi wa Simba na Yanga,wapenzi wa Simba watakuambia tu tutawafunga Yanga kwa goli au Magoli.Sasa nimeanza kuamini kwamba Yanga atafungwa tu na Simba kama utakujua ushindi nenda Buguruni watakuambia nani anashinda au Draw.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS