KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Tuesday 15 October 2013

IRINGA MJI UNAOGEUKA JANGWA,WANANCHI WAKIWA KIMYA NA KUJISIFU IRINGA SASA JIJI,WANYARUKOLO TUNASIKITISHA SANA KWA KUTOKUJALI MAZINGIRA

 Uwanja wa Samora ona jinsi ulivyokuwa jangwa hii ni sehemu ya kati ambapo wanachezea mpira kwa hiyo inaonyesha viongozi wetu wapo bila kufuatilia hali ilivyo na kutatua tatizo.Ninaanza na WABUNGE na kufuatia na SISI WANANCHI.
Ukitembelea uwanja wa Samora utaona vichekesho maana viti hakuna uwanja tangia mwaka 1977 ulipojengwa haujawahi kufanyiwa matengenezo kweli na pesa ipo ya WALIPA KODI ni AIBU kutokulisema hili ILA ni tabia yetu kuwaona Viongozi wetu ni Miungu Watu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS