KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 2 October 2013

MAGAZETI YETU YA JUMANNE YA TAREHE 1-10-13 YAMENIFURAHISHA SANA NA HABARI YA UHAMIAJI,TATIZO LANGU NI DOGO TU KWANINI WANAWAPA WATU WASIO RAIA WA TANZANIA PASSPOTI NA AKIKAMATWA MTU NA PASI YA TANZANIA HAKUNA NANI AMEKAMATWA KUHUSIANA NA HIYO PASI.


 Ninapenda kusema UHAMIAJI ni kitengo muhimu sana kwa nchi yetu lakini inasikitisha kuona watu wanavyosumbuliwa kupata pasi ya kusafiria na ndugu zetu wa rangi nyingine akipewa pasi kwa haraka yaani muda mfupi tu.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS