KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 23 December 2013

NIPASHE GAZETI LINA HABARI SLAA:USHABIKI KUMFUKUZISHA ZITTO KABWE-


Hii habari ya Zitto niliandika jana kuhusu NIDHAMU katika maisha na Utendaji wa kazi kuna masuala muhimu ya nidhamu,Utanashati na ufahamu wa wanadamu unayekutana naye anataka nini na wewe ufanye nini ili ukabiliane naye.Haya ukizingatia uwezi kuwa na matatizo.
Ukija kwenye Siasa Mchezo mchafu Nguvu ya watu inakusaidia kushinda UCHAGUZI ukija kiutendaji KAZI unafuata Misingi na taratibu za kazi,sasa kwa wanaSIASA wanasahau na kubakia kuwasikiliza Washabiki ndio tatizo.Ukienda CCM wao wanautaratibu yaani NIDHAMU yao ni kubwa kuliko kitu kingine.Waswahili wanasema Umoja au team work sina uhakika.Muhimu kuwa na utulivu ili kukabiliana na tatizo linalokukabili sio kurudi kwa wananchi na kuomba MSAADA.
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS