KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Friday 27 December 2013

MTANZANIA AKAMATWA MACAO CHINA NA MADAWA YA KULEVIA KETE 64,MWANAMITINDO MTANZANIA AMBAYE ANAJULIKANA SANA




Mwanamitindo na video vixen maarufu, Jackie Cliff mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kilo 1.1 za dawa za kulevya aina ya heroin huko Macao.

Jackie, ambaye pia aliwahi kushiriki mashindano ya umiss na kushika nafasi ya juu alikutwa na dawa hizo tumboni mwake baada ya kushtukiwa airport na kufanyiwa X-ray.

Baada ya uchunguzi alikutwa na jumla ya vidonge 66 vyenye thamani ya dola za Kimarekani 137,720.Mrembo huyo ambaye hivi karibuni ali-hit kama video vixen katika video ya Nataka Kulewa ya Diamond Platinums, alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita.
Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko China.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS